goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 805
- 877
Mbona wasanii wa zamani hawakuwa na mambo hayaOSATA wamedominate Music Industry ,ni wazee wa fitina,wazee wakuda na wanajua kusagia kunguni wasanii wengine nje ya dabliyusibii.
Sio wazuri kuliko wengine sema hivi Wana ushawishi kijamii na kisiasaSi ndo label yenye wasanii wazuri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mfano uliotoa ni mzuri sanaunachouliza kaka ni sawa na kusema kila ukienda mgahawan wat wanaitisha wali tu.Kwan ugali hawauon?
Mziki umejaa siasa now days tunashindwa hata kupata vitu vizuri kwa ajili ya masikio yetu.Mbona wasanii wa zamani hawakua na mambo haya
Mziki nowdays umeharibika mno