goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 805
- 877
- Thread starter
-
- #21
Kama Shaka ndo ameanza huu ujinga ache Mara moja.tunataka equal chance kwa wanamziki wote kila mmoja afaidi keki ya taifa.A list artist wote wapewe nafasi aisee Mambo ya kila siku WCB tumechokaBoss wao alivyoenda kukutana na shaka nyie wengine mlikuwa wapi
Mimi sikumponda kwenye izo issue zake za tuzo ila nawapa taarifa viongozi wangu wa chama waache kuwakumbatia Sana Hawa peke yao wanatakiwa wajue Kuna watoto wengine icho chakula wanakihitaji pia.Badae inaweza leta mpasuko miongoni mwa A list artistAlipokuwa anasagiwa kunguni na wanaharakati mlitulia kimya, tulia vile vile na sasa hivi akila kivulini, Diamond alitukanwa kisa ccm halafu unashanga wasanii wake kuitwa katika shughuli za serikali ya ccm!!!Ahahahahaha nchi hii kuna watu wanachekesha sana
Wewe ulitaka waletwe wasanii gani? Tuanzie kwanza hapoMimi sikumponda kwenye izo issue zake za tuzo ila nawapa taarifa viongozi wangu wa chama waache kuwakumbatia Sana Hawa peke yao wanatakiwa wajue Kuna watoto wengine icho chakula wanakihitaji pia.Badae inaweza leta mpasuko miongoni mwa A list artist
Konde gang.Wewe ulitaka waletwe wasanii gani? Tuanzie kwanza hapo
Kitu cha kwanza kabisa, usifanye kazi au biashara kwa minajili ya "hiki chakula watoto wanakihitaji".Mimi sikumponda kwenye izo issue zake za tuzo ila nawapa taarifa viongozi wangu wa chama waache kuwakumbatia Sana Hawa peke yao wanatakiwa wajue Kuna watoto wengine icho chakula wanakihitaji pia.Badae inaweza leta mpasuko miongoni mwa A list artist
Wanamziki wanaofanya vizuri kwa Sasa wao wengi wapewe nafasi
Ndio nasema wakati wanaharakati wamemfanya Diamond ndio mfano wa kumaliza hasira zao na serikali ya ccm, hao wasanii wengine walikuwa wametulia kimya, sasa kwa vile Diamond ndio alieumia sana, wacha ccm wamfute machozi maana aliumia kwa ajili yaoMimi sikumponda kwenye izo issue zake za tuzo ila nawapa taarifa viongozi wangu wa chama waache kuwakumbatia Sana Hawa peke yao wanatakiwa wajue Kuna watoto wengine icho chakula wanakihitaji pia.Badae inaweza leta mpasuko miongoni mwa A list artist
Hafla Kama izi wanamziki wanaenda kutoa burudani sio show zenye mlengo wa kuvuta maahabiki juzi vijana walienda kuongea na Rais sio walienda kumfuata zuchu japo show inakua ni Kama sehemu ya burudani tu ndani ya Jambo husikaKitu cha kwanza kabisa, usifanye kazi au biashara kwa minajili ya "hiki chakula watoto wanakihitaji".
Yani, usiende kwa ntu kumuomba kazi ufanye akulipe, au kumtaka awe mteja wako anunue bidhaa/ huduma zako, kwa sababu watoto wako wanakufa njaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Boss wao alivyoenda kukutana na shaka nyie wengine mlikuwa wapi
Roho kwatuuuh mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio nasema wakati wanaharakati wamemfanya Diamond ndio mfano wa kumaliza hasira zao na serikali ya ccm, hao wasanii wengine walikuwa wametulia kimya, sasa kwa vile Diamond ndio alieumia sana, wacha ccm wamfute machozi maana aliumia kwa ajili yao
Basi waondoe kabisa huo muziki vijana waongee na Rais tu.Hafla Kama izi wanamziki wanaenda kutoa burudani sio show zenye mlengo wa kuvuta maahabiki juzi vijana walienda kuongea na Rais sio walienda kumfuata zuchu japo show inakua ni Kama sehemu ya burudani tu ndani ya Jambo husika
Mpasuko uko since way back, so it's survival of the fittest. Nadhani what bothers you ni kuona WCB artists peke yao ndiyo wamekula shavu, fan base yao inachangia sana kuwapa nguvu na hata organizers wa hizo events wanaliewa hilo hivyo kuwalalamikia eti wajaribu kumridhisha kila mtu that shit ain't easy.Mimi sikumponda kwenye izo issue zake za tuzo ila nawapa taarifa viongozi wangu wa chama waache kuwakumbatia Sana Hawa peke yao wanatakiwa wajue Kuna watoto wengine icho chakula wanakihitaji pia.Badae inaweza leta mpasuko miongoni mwa A list artist
Wanamashabiki wangapi au Wana influence gani kwenye mziki
Ndio ndio ahahahahahaRoho kwatuuuh mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] nakuona tyuuh.Ndio ndio ahahahahaha
Tunapiga pasi fupi fupi na mashambulizi ya kushtukiza[emoji23][emoji23][emoji23] nakuona tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha weeTunapiga pasi fupi fupi na mashambulizi ya kushtukiza
Vipi lakini mumeo ajambo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee
Umechoka wewe na nani? Hivi uandae Tanasha la kisiasa linalohitaji watu wengi, alafu umepeleka Abdu Kiba?Kama Shaka ndo ameanza huu ujinga ache Mara moja.tunataka equal chance kwa wanamziki wote kila mmoja afaidi keki ya taifa.A list artist wote wapewe nafasi aisee Mambo ya kila siku WCB tumechoka