Mpasuko uko since way back, so it's survival of the fittest. Nadhani what bothers you ni kuona WCB artists peke yao ndiyo wamekula shavu, fan base yao inachangia sana kuwapa nguvu na hata organizers wa hizo events wanaliewa hilo hivyo kuwalalamikia eti wajaribu kumridhisha kila mtu that shit ain't easy.
Hao waliotumbuiza ni A list hivyo na hiyo inatosha, next time wanaweza wakawa wengine kwani haiwezekani kila event wapatiwe nafasi the so called A list wote.
Probably pia vigezo na masharti vinazingatiwa(just assuming).