Hizi shule za English Medium zimetugeuza Wazazi kuwa Walimu?

ili suala linanifanya nirudi home mapema kwa ajili kufanya homework ya mwanangu ni shiiiiida
 
Shukrani kwa ushauri wako mkuu,ila vitabu karibia vyote anavyo..ni jana tu nme experience homework aliyo pewa ikiwa advanced mnoo..haijawahi tokea.
Nliperuzi kwenye kitabu sikupata majibu,ikanilazimu ku goggle pia sikufanikiwa.
 
[emoji28] Yaani kuna wakati napiga chenga, nampasia kwa wife!
Wife akiirudisha namwambie twende Google haya mambo nishayasahau!!
 
Jana tumediscuss hili na mwenza wangu.. Ualimu ni kipaji, kiukweli inaboa
 
Issue ni pale umemsaidia mwanao halafu anakwenda shule anakosa yale majibu kumbe ulimlisha sumu.hapo unakuwa umekosa wewe siyo mtoto
Kuna jamaa yangu yeye ni std 7 but kwa kweli anajitahidi sana watoto wasome hizi English medium. Sasa katoto kake ambako kako std one baada ya kugundua baba akimsaidia home work huwa mara nyingi anakosa, basi dogo akielekezwa anaandika vizuri but akifika shule ana rafiki yake wanakaa tena anafuta majibu yote aliyofanya na baba yake na kuandika ya rafiki yake, na huwa anapata.
 
Hao sio walimu ni makanjanja aseeh
Unakuta namjazia dogo halafu anaenda kukosa yote imagine...
 
Shule za Tanzania ni majanga. Wanakaririsha watoto mambo magumu bila kuelewa.
 
Punguza jazba huwo ni wajibu wako
Acheni unafiki aseee...!
Hakuna homework inayofanywa na mwanafunzi akishirikiana na mzazi NO HAKUNA..!.

Mzazi huwa anafuatilia kama dogo amefanya hiyo homework nani pale ambapo mwalimu alimfundisha so hiyo homework ni kumpima kama ameelewa that why mzazi unafuatilia.

Sijui shule mlizosoma ziliwafundisha kitu gani 😬!.
 
Mtahangaika saana na hizo elimu za wakenya,Ila mtakutana na wanetu wa kayumba kule chuo na fm 6 hapo ndipo mtajua kwa nn mtt hapaswi kufundishwa kila kitu, nyie waleeni km maboya huku wakipunguza upendo kwenu na kuwapenda akina madam,toto linamaliza shule hata lugha ya Salam ya kwao halijui,halijui hata kufua nguo zake za ndani lenyewe ni kulia tu dadaaaaaa ,mwisho wa siku likienda boarding 6 au chuo linakuwa shoga ,vidada vinaliwa mparange hadi baasi,tumewaona vyuoni na tumesoma nao
Elimu and shirikishi,pole usichoke

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Hizi shule ni vituko sana. Uzi huu ulikiwa wa maana sana kwao.
Halafu kuna topic haziwafai wale wadogo sana. Mwingine wa std 3 walifundishwa mambo ya malaria na matende. Niko na mgeni siku hiyo tena mkwe akaniita "Mabusha ni nini", nilishtuka nikamwambia nenda nje dada (wa kazi) atakuambia...
 
Unachotakiwa ni kumfafanulia aelewe nini swali linataka si kumpa jibu.
Jibu atakaloandika kama si sahihi unajitahidi kujadili nae zaidi ili apate kufikiri na kuona wapi kakosea arekebishe. Katika madarasa ya chini huwa wanasomewa waseme majibu sababu hata kusoma wanakuwa hawawezi lakini akiulizwa what is the colour of your hair anatoa jibu.
 
Mwl misenyi wanasemaje hapo

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Halafu kuna topic haziwafai wale wadogo sana. Mwingine wa std 3 walifundishwa mambo ya malaria na matende. Niko na mgeni siku hiyo tena mkwe akaniita "Mabusha ni nini", nilishtuka nikamwambia nenda nje dada (wa kazi) atakuambia...
Hamtaki wajue matumizi yakondom mapema

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Usitoe tuone watamfanyaje huyo mtoto,kuna shule wanafikiri wazazi hela wanaokota mxiuuuu
 
Usitoe tuone watamfanyaje huyo mtoto,kuna shule wanafikiri wazazi hela wanaokota mxiuuuu
Nawasikilizia na nitafutilia nijue miongozo, laki 3 nyingi sana ni hela familia wanakula mwezi mzima hata na zaidi wenyewe wanaitaka kwa mtoto mmoja tu.
 
Sasa unabisha nini mkuu, au unajua mazingira ya shule zote nchi hii?
 
Niliwahi kumfanyia dogo homework akaenda akakosa yote
Hebu kila mtu afanye kazi yake wasee mi na stress zangu za pesa na kujipiga na nyundo kwenye vidole badala mwalimu ufanye kaz yako unaniongezea mzigo na mm tena?
Ha ha ha ha
Mtoto alijua Mzazi yupo Nondo
 
1. Permanent farming
2. Shifting farming

Kama nimekosea wadau watanisahihisha maana mimi mwenyewe elimu yangu ni ya form 4 ya kufeli tena QT
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sedentary farming
Nomadic /shifting cultivation
Maswali ya form 2 topic ya Agriculture
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…