Moi, je ne parle pas bien,mais je comprends tous,quand qualqun parle.
Alors,comment vous allez?
Dans une ane'e il'ya combie'n du jours?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moi, je ne parle pas bien,mais je comprends tous,quand qualqun parle.
Alors,comment vous allez?
Ndio maana natafuta hela ili niwalipe ada wamfundishe vizuri aelewe.Hehehehehee mtoe hapo mpeleke kayumba aje awe kama wewe...asiweze kufikiri zaidi
1. SEDENTARY AGRICULTUREAcha kabisa mkuu, binafsi pia inaniboa mnoo.
Hapa dogo kaniletea maswali,nmejibu lakini kuna maswali mawili nmechemka.wajuzi wanisaidie please.
1.Farming involving permanent settlement is called...........
2.Farming with no permanent settlement is called.............
Nmemuambia akalale,namtafutia majibu atajaza alfajiri..nmejaribu ku Google lakini wapi
1. Sedentary farmingAcha kabisa mkuu, binafsi pia inaniboa mnoo.
Hapa dogo kaniletea maswali,nmejibu lakini kuna maswali mawili nmechemka.wajuzi wanisaidie please.
1.Farming involving permanent settlement is called...........
2.Farming with no permanent settlement is called.............
Nmemuambia akalale,namtafutia majibu atajaza alfajiri..nmejaribu ku Google lakini wapi
Masomo kama SOCIAL STUDIES ni magumu kweli kweli. Mtoto darasa la tano anapewa swali la homework utadhani ni A level- "Explain in details the benefits and challenges of Regional integration by siting examples in economic, social and other aspects "!! [emoji86][emoji86][emoji86]
Mimi mzazi, I am like...seriously? [emoji56].
Sijui elimu siku hizi ipoje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi nimempiga mkwara akija na homework zake aje na text book ya Hilo somo coz majibu lazima yawemo umo. Maana anakawaida ya kuacha vitabu shule. Sitakangi ujinga.
Nilidhani tatizo liko kwangu tu, kumbe hata kwa wengine? Mtoto wangu ameanza darasa la kwanza 'medium school'. Mbali na ada kuna tuition. Halafu naona kwamba watoto wanafundishwa kwa kukaririshwa na siyo kuelewa. Nijuavyo mimi tuition inahitajika labda kwa mtoto mwenye mahitaji maalumu na siyo kwamba ni aina ya ku'catch up' kwa mwanafunzi darasani. Ada tunalipa kubwa, mtoto haelewi na hata anayofundishwa tuition haelewi na tuition iko kwenye Sh25,000 kwa mwanafunzi. Watoto wanapewa diary kuleta nyumbani, halafu unakuta mtoto ndiye anayeambiwa aandike kwenye diary. Sasa kama mtoto hajaelewa anachotakiwa kufanya, mzazi hajui mwalimu anachohitaji. Watoto pia wanafundishwa na walimu ambao wako trained kufundisha madarasa ya juu, lakini hawana skills za kuwafundisha watoto wadogo. Ni shida na inanipa hasira sana maana naona kama ada ninayolipa inakufa bure!Watoto kila siku wanarudi na homework mpya mzazi uwasaidie. Ukimuuliza anakuambia mwalimu hajamuelekeza akaelewa.
Sasa nalipia ada zaidi ya milioni ili watoto wapewe homework niwe mwalimu wao?
Kwa nini hawawafundishi wanafunzi wakaelewa ndipo wawape hizo home work wakazifanye!?
Wazazi wengine hatuna hulka ya kufundisha na wengine ndio tuliishia la sababa.
Tunatafuta hela na kulipa ada ili walimu wawafundishe sio watuletee homework kuja kutupima ujinga wetu..!! Walimu fanyeni kazi yenu ya kufundisha msihamishe goli.
Mbona kwenye ada hatupunguziwi kwamba tumeshiriki kufundisha watoto hivyo tulipwe stahiki zetu!?
Forex ni nini?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Acha kabisa mkuu, binafsi pia inaniboa mnoo.
Hapa dogo kaniletea maswali,nmejibu lakini kuna maswali mawili nmechemka.wajuzi wanisaidie please.
1.Farming involving permanent settlement is called...........
2.Farming with no permanent settlement is called.............
Nmemuambia akalale,namtafutia majibu atajaza alfajiri..nmejaribu ku Google lakini wapi
Kama mfumo umebadilika na sisi wazazi kuwa sehemu shirikishi mbona ada zinaendelea kupanda bila kufikiria tunafanya kazi ya ualimu pia.!!Hayo ya kuwategemea 100% ndio yaliyotufikisha hapa hivi sasa, hata mwanao akikuuliza kitu unashindwa kujibu kwa kuwa hukufunzwa kujishughulisha!
Japo mimi sina taaluma ya kufundisha lakini kwa sasa bila shaka mfumo wa utoaji elimu umebadilika!
Umetoka kwenye content based hivi sasa ni competence based, ambapo mwanafunzi ndiye anayepaswa kuwajibika zaidi! Mwalimu kazi yake ni kumwelekeza mtoto cha kufanya, hivyo kumtengenezea namna ya kufikiri na kutafiti zaidi!
Binafsi mwanangu anapofika nyumbani na homework ninavyoona anavyopambana kutafuta maelezo, nafurahia sana! Japo mara chache nipatapo nafasi namsaidia kidogo ila ameshazoea, na mara nyingi inabidi kitu kiwe kigumu sana ndio aulize!
Na hiyo ni baada ya kukosa majibu aliyoyaelewa maana hapendi kabisa kuandika kitu ambacho hakielewi!
Hivyo tusiwalaumu waalimu wa watoto wetu hivi sasa kwamba wanawabebesha mizigo, badala yake tuulaumu mfumo tuliopitia sisi ambao zaidi ulitufanya tuwe tegemezi pasipo kupata ujuzi wa kutosha!
Niliwahi jibu swali la Ubepari vs Ujamaa nikiwa darasa la tano na kwenye mtaala hakuna tena. Mwalimu alishangaa nimejuaje, kata nzima walikosa swali. Mitihani ya kushirikisha shule nyingi huwa kuna maswali baadhi magumu kimakusudi.Masomo kama SOCIAL STUDIES ni magumu kweli kweli. Mtoto darasa la tano anapewa swali la homework utadhani ni A level- "Explain in details the benefits and challenges of Regional integration by siting examples in economic, social and other aspects "!! [emoji86][emoji86][emoji86]
Mimi mzazi, I am like...seriously? [emoji56].
Sijui elimu siku hizi ipoje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtoto wangu Homework ya Kiswahili alikosa methali na nahau, mtoto akaulizwa nani kakusaidia akajibu baba... Mwalimu akamwambia babaako na wewe wote akili hamna....
Taarifa ikanifikia, nikaona isiwe tabu, kwakuwa ni class VII nimemhamisha mkoa yupo boarding na homework hainihusu tena.
[emoji23][emoji23][emoji23] juzi kato hapa nimechomaIssue ni pale umemsaidia mwanao halafu anakwenda shule anakosa yale majibu kumbe ulimlisha sumu.hapo unakuwa umekosa wewe siyo mtoto
Hii elimu shirikishi inaendana na tunacholipia?!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee hii ni shida mwanangu maswali ya darasa la pili uafikir form3 du watamuua mwanangu, kweli mtoto wa std 2 una muuliza swali la mention four symptoms of tuberculosis kweli, mpaka nikampigia rafiki yanyu doctor mana mimi nilikua najua 2 tu. Sasa sijui nasoma mimi au mwanangu