Hizi sio mboga ni jaza tumbo

Sasa mkuu ukitoa hizo mboga zote za majani itabaki mboga gani natural?
 
Mimi kisamvu sili maisha yangu yote, siipendi hata ipikwe kwa nazi 10!
Vijijini huko kipindi umeme ni adimu, watu wamewatwanga Sana vinyonga wadogo,si inajua mama amerudi Giza limeingia katoka shamba ndio aanze kuchuma,kutwanga....n.k
 
You know nothing about nutrients

Dig more knowledge as to get rid from the ignorance hole.
Mkuu, huenda hajui kweli lakini kupitia uzi wake atapata majibu ya vitu asivoona havina maana kwake. Mfano mmoja

Bamia kwa wasioijua ambayo ikipikwa huja kutengeneza mlenda huo mleta mada anaousema ni kishushio cha ugali ni grisi ya mwili. Kama uko na viungo vyako ukivinyoosha iwe ni mkono au ni mguu ukiunyoosha unasikia kwenye joint kama umevunjika, jua kwamba grisi yako eneo hilo imeisha na unatakiwa uwongeze grisi ili kuzui msuguano eneo hili na maeneo mengine ya mwili pili unyooshapo viungo vyako.

Grisi unaipataje sasa kupitia kula bamia? Katakat vipisi vidogo, weka maji kidogo na uchemshe, uache ipoe kisha kula... Hiyo kula mara moja au kula mara 2 after 2 day njoo namajibu hapa.....
 
Mchunga ndio funga kazi, km una maralia wewe piga huo 🤣🤣🤣
 
Aisee me siwezi kula ugali au wali bila mbogamboga aisee,,, Napenda sana... Wewe mwenzetu unakulaga nini kama mbadala wa hizo tujuze na Sisi tujue
 
Nmekaa kwa masai uko oldonyo nmeshangaa wanakula majan ya sungura asee ngoja niyatafute pch yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…