Hizi sio mboga ni jaza tumbo

Unahitaji elimu juu ya Nutrition.

Otherwise subiri kuandikiwa na daktari baada ya kukosa choo,kushambuliwa na magonjwa,kupata bawasiri na kupungukiwa damu.

Tatizo la waafrika wakipata visenti kidogo mabega yanainuka na kuanza kudharau vyakula muhimu na kukimbilia junk foods[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Elimu!!! Elimu!!! Elimu!!!
 
Matembele. Hii ndio mboga ninayoichukia kuliko hata kabeji
 
Nakula.. chinese cabbage, mchicha, tembele, kisamvu, mlenda, cabbage kwa kiasi, mboga ya salad iwe ktk nyama

Sili.. mnafu, spinach, biringanya, utumbo, majani ya kunde na kunde zenyewe, choroko.
 
Ushakula majani ya maboga yaliyopikiwa tui la Karanga.....
 
Mkuu, Mboga za majani zina heshima yake.Hayo majani ya maboga yaliyokaushwa ukiweka Karanga huniambii kitu, nyie mliokulia kwenye 🍕 Pizza na 🍔 hamuwezi kujua
 
Tatizo ni umaskini ila mboga za majani inatakiwa iwe kama attachment kwenye mboga kuu kama nyama au samaki. Ukiona unakula mboga za majani kama mboga kuu bila kampan ya nyama au samaki basi unatakiwa kupambana sana utoke kwenye umaskini uliokithiri
 
Sahihi kabisa. Sub attachment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…