Hizi stock za chakula tulizo nunua tunazipeleka wapi Sasa?

kiredio Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2024
Posts
1,161
Reaction score
2,202
Baada ya siku ya leo, nadhani kesho shuhuli zitaendelea kama kawaida, Sasa najiuliza Kwa wale walio nunua vyakula vingi na kuweka ndani, vinywaji na huduma nyinginezo je watajutia maamuzi yao au watakomaa na Michele yao?

Mimi nilichukua michupa yangu ya mvinjo kadhaa, nikidhani tutakaa ndani Kwa zaidi ya siku kadhaa, Sina budi kukubali matokeo na kupambana na miznga yangu mdogo mdogo.
 
Tumenunua kama hakiba na si kwa ajili ya kukaa ndani
 
Tumelazimishwa kununua stock ya mwezi, hivyo bidhaa za chakula zitashuka sana bei wiki hizi mbili zijazo.

Waliosafiri kwa woga ndio wameumia zaidi, maana kukaa Moshi hadi Xmas nayo kazi.

Nafurahi tu kuwa polisi na wajeda wamefanyishwa kazi kama punda, toka 29th hadi leo jeshi limetumia pesa nyingi sana, huku serikali ikiwa haijui ianzie wapi na kuishia wapi.
 
Baada ya siku ya leo, nadhani kesho shuhuli zitaendelea kama kawaida, Sasa najiuliza Kwa wale walio nunua vyakula vingi na kuweka ndani, vinywaji na huduma nyinginezo je watajutia maamuzi yao au watakomaa na Michele yao?

Mimi nilichukua michupa yangu ya mvinjo kadhaa, nikidhani tutakaa ndani Kwa zaidi ya siku kadhaa, Sina budi kukubali matokeo na kupambana na miznga yangu mdogo mdogo.
Ongeza stock kazi ndiyo kwanza inaanza....maandamano yatakuwa mabaya siku za kazi na za mashule ...
 
Back
Top Bottom