kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
Ni huzuni kwakweli, ukweli ni kwamba watu wamekula hasara Kwa bajeti isiyo ya lazimaHapo inabidi muziuze tena 🤣 watu wabaya nyie, Na bado.
Mkuu vingine havifai kukaa mpaka Xmas, mfano mbogamboga na matunda🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu kula taratibu hadi xmass
Kweli, lakini akiba inayotokana na bajeti isiyo na ulazima au mipango, hiyo ni sawa na hasara tu.Akiba haiozi
Tumenunua kama hakiba na si kwa ajili ya kukaa ndaniBaada ya siku ya leo, nadhani kesho shuhuli zitaendelea kama kawaida, Sasa najiuliza Kwa wale walio nunua vyakula vingi na kuweka ndani, vinywaji na huduma nyinginezo je watajutia maamuzi yao au watakomaa na Michele yao?
Mimi nilichukua michupa yangu ya mvinjo kadhaa, nikidhani tutakaa ndani Kwa zaidi ya siku kadhaa, Sina budi kukubali matokeo na kupambana na miznga yangu mdogo mdogo.
Je ingetokea vile ulivyotarajia ulikuwa unakaa navyo kwa muda gani? Huo muda ishi nao huo huo mbona jibu ni simpo sana.Mkuu vingine havifai kukaa mpaka Xmas, mfano mbogamboga na matunda
Genge atakuja kununua nani wakati kilamtu anayo stock yake ndani?Fungua genge
Kuweka akiba ni utamaduni wa mtu, hii ni kama emergency watu hawajazoea kuweka vyakula vingi ndaniTumenunua kama hakiba na si kwa ajili ya kukaa ndani
Hapana kabisa. Hapa natofautiana na weweWatanzania waoga mno
Mimi kwangu kunanikia kama buchani, maana hamna aina ya nyama ambayo sijaweka ndaniKwasasa ukiingia nyumbani kwa mtu kunanukia harufu ya genge
Ongeza stock kazi ndiyo kwanza inaanza....maandamano yatakuwa mabaya siku za kazi na za mashule ...Baada ya siku ya leo, nadhani kesho shuhuli zitaendelea kama kawaida, Sasa najiuliza Kwa wale walio nunua vyakula vingi na kuweka ndani, vinywaji na huduma nyinginezo je watajutia maamuzi yao au watakomaa na Michele yao?
Mimi nilichukua michupa yangu ya mvinjo kadhaa, nikidhani tutakaa ndani Kwa zaidi ya siku kadhaa, Sina budi kukubali matokeo na kupambana na miznga yangu mdogo mdogo.