Hizi stock za chakula tulizo nunua tunazipeleka wapi Sasa?

Huna akili umnadhani hii imeisha?kaa kimachale
 
Waliosafiri ndiyo wametumia gharama kubwa wao na familia zao, ajabu ni kwamba Kila saa wanapiga Simu kuuliza hali
 
Nimejifunza vitu vingi aisee
Ila pia nashukuru Mungu Kwa sie tusio nacho Cha kujaza ndani.
 

Walizidi Uzembe, Na bado 🤣
 
Mambo mabaya yatakuja siku na saa usiyoijua wewe, endelea kuviweka vitakusaidia katika wakati usiokusudiwa.
 
Nimeopoa toto la kiha hapa nimeshamwaga mara nane nashindwa hata kuinuka.ushauri wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…