secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Ila waafrika tunaona aibu kwenye vitu ambavyo Kila mtu hufanya. Kipindi fulani (mwanzoni mwa mwaka 48) hata mtu kusema choo anaona aibu, Mzee Grahams ni shahidi .Aisee😆
Basi ni mimi tu ndio sina aibu, nitapoo hata kwenye first date😅Ila waafrika tunaona aibu kwenye vitu ambavyo Kila mtu hufanya. Kipindi fulani (mwanzoni mwa mwaka 48) hata mtu kusema choo anaona aibu, Mzee Grahams ni shahidi .
Tunashukuru siku hizi masuala ya choo popote yannasemwa hata kwenye vyombo vya habari bila watu kuona aibu.
We mzee umeshindikana!!!Hata wanyama wengine nao wanatoa gesi (farting)
Useme mkiwa kwenye mahusiano mageni, mnaweza kumaliza hata miezi 6 hamjambiani
Wengine wanakuwa kwenye ndoa hata miaka 5 husikii wakijambiana, Kila mmoja anaubana 🙌
Juzi nulisikia (kwenye redio) kuwa mwanamke mmoja kule Scotland, amepata tatizo la kiafya baada ya kuzuia ushuzi kwa zaidi ya miaka 20 kwa sababu yuko na mwenza wake.Hahaha 😂
Huo uthubutu wapenzi wengi hawana
Nahisi ni wajapani kama sijakosea wanatoa gesi public fresh tu na wala hawawaziIla waafrika tunaona aibu kwenye vitu ambavyo Kila mtu hufanya. Kipindi fulani (mwanzoni mwa mwaka 48) hata mtu kusema choo anaona aibu, Mzee Grahams ni shahidi .
Tunashukuru siku hizi masuala ya choo popote yannasemwa hata kwenye vyombo vya habari bila watu kuona aibu.
Hiyo ni nzuri sana, mimi huwa nawakubali sana wazungu kwa sababu mara nyingi hawana aibu.Basi ni mimi tu ndio sina aibu, nitapoo hata kwenye first date😅
Miaka 20 sio mchezo 🙌Juzi nulisikia (kwenye redio) kuwa mwanamke mmoja kule Scotland, amepata tatizo la kiafya baada ya kuzuia ushuzi kwa zaidi ya miaka 20 kwa sababu yuko na mwenza wake.
Nilichoka 🙌
Ila jamaa naye Katia fora 😅🙌Nahisi ni wajapani kama sijakosea wanatoa gesi public fresh tu na wala hawawazi
Siku moja nikiwa maeneo ya Agakhan Upanga beach,nilikaa karibu nadhani na mjapani akaachia gesi fresh ila aibu niliona mimi yeye wala hajajishtukia
Nimeandika ukweli uliopo kwenye Jamii zetuWe mzee umeshindikana!!!
Kwa hali ya sasa vijana wajifikirie sana kabla hawajaingia kwenye ndoa mkuu.Miaka 20 sio mchezo 🙌
Huyo aliolewa na Mwanaume asiyemfanya rafiki
Wale Wanaume wenzetu makauzu
Walau miaka hii kuna nafuu kidogoIla waafrika tunaona aibu kwenye vitu ambavyo Kila mtu hufanya. Kipindi fulani (mwanzoni mwa mwaka 48) hata mtu kusema choo anaona aibu, Mzee Grahams ni shahidi .
Tunashukuru siku hizi masuala ya choo popote yannasemwa hata kwenye vyombo vya habari bila watu kuona aibu.
Ni kukosa kifua tuKwa hali ya sasa vijana wajifikirie sana kabla hawajaingia kwenye ndoa mkuu.
Watu wanatafita points mdogo mdogo ili siku wakiachana zitumike kama makombora ya kibalistiki.
Waswahili tuna baniana sana,hata mashuzi nayo tunabaniana🤣🤣Nimeandika ukweli uliopo kwenye Jamii zetu
Tatizo letu Waafrika tunaongozwa na unafiki
Nilikuwa na rafiki yangu mzungu, hatukuwa wapenzi lakini alikuwa anajamba mbele yangu tena kwa nguvu tu
Wakati mpenzi wako wa Kibongo mnawejza kudate hadi mkaachana, usisikie akipumua mbele yako 🙌
Umesema ukweli. Ni ujinga kutangaza udhaifu wa mtu Kwa watu Ili wewe uonekane huna udhaifu huo.Ni kukosa kifua tu
Kila mmoja ana mapungufu yake, haifai kuyatumia kuumizana
Mimi nikiona baby wangu ana hivyo viashiria, nitatafuta sababu nimkimbie hata kama Sina mbio kwa Uzee 😅
We acha tu, tulikotoka ni gizani haswa!Walau miaka hii kuna nafuu kidogo
Miaka ya 47 hali ilikuwa mbaya zaidi Mzee mwenzangu 😅
Unaweza kufikiri jirani kanunua jenereta kumbe mwamba anakoromaUmesema ukweli. Ni ujinga kutangaza udhaifu wa mtu Kwa watu Ili wewe uonekane huna udhaifu huo.
Mara nyingi huwa nasikia watu wanatangaza wazi kuwa wenzi wao wanakoroma kama jenereta, dah!