secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Ubaya wa kukoroma ni kwamba unaweza ukakoroma na hujui. Siku moja niliamka ghafla nikakuta nakorama, ndipo nikagundua kuwa hata wale wanaowasema wenzao kuwa wanakora huenda nao wanakoroma.Unaweza kufikiri jirani kanunua jenereta kumbe mwamba anakoroma
Kwa kweli, ni neema tu kufika hapaWe acha tu, tulikotoka ni gizani haswa!
Ni kukoseana heshima tuUmesema ukweli. Ni ujinga kutangaza udhaifu wa mtu Kwa watu Ili wewe uonekane huna udhaifu huo.
Mara nyingi huwa nasikia watu wanatangaza wazi kuwa wenzi wao wanakoroma kama jenereta, dah!
Ni sahihi kabisa,kuna kipindi nilipiga kazi mkoani mkoani miezi miwili non stopUbaya wa kukoroma ni kwamba unaweza ukakoroma na hujui. Siku moja niliamka ghafla nikakuta nakorama, ndipo nikagundua kuwa hata wale wanaowasema wenzao kuwa wanakora huenda nao wanakoroma.
Mapenzi yenye urafiki ndani yake huwa ni mazuri sanaWaswahili tuna baniana sana,hata mashuzi nayo tunabaniana🤣🤣
Jirani na chumba changu cha kulala wanakaa Gen Z sogea tukae, nikamsikia baby girl anamwambia boy wake " baby umej..... "
Homeboy akamaindi akajibu "baby mbona unanikosea heshima"
Watu kama hawa hata wakae miaka 20 watakuwa wanaoneana aibu
ila binafsi sifanyi hivyo mbele ya mwenza wangu🤣🤣
Safi sana mkuu,unakuwa upo free sanaMapenzi yenye urafiki ndani yake huwa ni mazuri sana
Ni rahisi kuambiana mapungufu kupitia utani
Nahisi Mimi niko social, kwahiyo nimebahatika sana kupata mahusiano yenye hii ladha
Hata bibienu ameshanifanya mume rafiki, so we enjoy a lot
Hapo umeonge na kunivusa mno!Ni kukoseana heshima tu
Hawa ndiyo wamewaambukiza bibi zao kuona style nyingine nje ya Missionary eti ni dhambi
Yaani nashindwa kuelewa...😅
Ila kulala natu anayakoroma sometimes inakera, yaani ni kama anayakoroma anakudharau anavyokoroma.Ni sahihi kabisa,kuna kipindi nilipiga kazi mkoani mkoani miezi miwili non stop
Siku nimerudi home,ile mchana nilikoroma mpaka mama watoto akaja kuniamsha kwa maana ilikuwa sio poa
Ila kikawaida sikoromi labda nikiwa na uchovu sana
Ila nikiishi na mtu anayekoroma nahisi sitolala aisee
😅😅😅Hapo umeonge na kunivusa mno!
Mke wangu hataki kabisa habari ya po-po sijui kanyea mbingu, sijui mende kafanyeje huko.... Hii yote ni kutokana na tabia mbovu za wakuu zake.
Imagine mimi na wife tunafanya tendo tukiwa tumenyooka tu japo kuwa styles mpya zipo, inauma sana 🥲
kwamba hakuna kitu utamfanya🤣🤣Ila kulala natu anayakoroma sometimes inakera, yaani ni kama anayakoroma anakudharau anavyokoroma.
Nimelia sana🤣🤣🤣Hapo umeonge na kunivusa mno!
Mke wangu hataki kabisa habari ya popo sijui kanyea mbingu, sijui mende kafanyeje huko.... Hii yote ni kutokana na tabia mbovu za wajukuu zake.
Imagine mimi na wife tunafanya tendo tukiwa tumenyooka tu japo kuwa styles mpya zipo, inauma sana 🥲
Ina saidia sana kwenye kuongeza miaka ya kuishi pamoja, maana ndoa Kuna Mikasa mingi ya kufanya zivunjike hasa kama hamna bond ya kuwafanya muwe pamojaSafi sana mkuu,unakuwa upo free sana
Kabisa 😂kwamba hakuna kitu utamfanya🤣🤣
Halafu chanzo ni wajukuu wasio na staha 🥲Nimelia sana🤣🤣🤣
Na hiyo huchangia sana mapenzi kudumuIna saidia sana kwenye kuongeza miaka ya kuishi pamoja, maana ndoa Kuna Mikasa mingi ya kufanya zivunjike hasa kama hamna bond ya kuwafanya muwe pamoja
Hata mkitaka kujifunza jambo jipya, inakuwa rahisi
Mwisho wa siku mnakuwa vijana Kila siku pamoja na kula chumvi nyingi 🤗
Well said Mzee mwenzangu. Halafu kingine ni kwamba enzi zetu, kutokana na teknolojia duni, tulitumia uwezo wetu wote kiwapata hawa wake zetu, imagine ili umuone binti umpendaye lazima urushe jiwe juu ya nyumba yao Ili atike, umuone kisha umkonyeze, pia ulikutana naye kisimani lazima uonesha una nguvu kwa kujitwisha ndoo kwa mkono mmoja, kubwa zaidi ni kwamba unapokwenda kutongoza unakuwa uko nondo haswa, unamwaga points za kutosha hadi unaeleweka.Ina saidia sana kwenye kuongeza miaka ya kuishi pamoja, maana ndoa Kuna Mikasa mingi ya kufanya zivunjike hasa kama hamna bond ya kuwafanya muwe pamoja
Hata mkitaka kujifunza jambo jipya, inakuwa rahisi
Mwisho wa siku mnakuwa vijana Kila siku pamoja na kula chumvi nyingi 🤗
Noma sanaTafiti juu ya tafiti 🙌
Umesema sahihi Mkuu, kunapokuwa na bond ndoa hudumu.Na hiyo huchangia sana mapenzi kudumu
Inasemwa sometimes kinacho wafanya wapenzi wadumu pamoja sio pesa au sijui kusimamia ukucha kama hawa wapuuzi wa 2000 wanavyoongopeana
Ni kuwa na kitu ambacho kinawaunganisha na kuwafanya siku zote mtamani kuwa pamoja
Yaani tafrani 🙌Noma sana