Hizi tozo kubwa kwenye uingizaji magari zinalenga nini hasa?

Kwa hiyo gari ikiwa mpya ndio inakuwa na kodi zaidi??.
Ndio maana huwa nasema katika Taasisi za Serikali ambazo ni hovyo ni hiyo TRA.
Hao jamaa wanafata MSRP ya gari husika kisha wanakuja na 90% ya charge kama kodi.

Kitu kinachofanya gari ya 2024 na ile ya 2022 kupishana kodi ni mfano gari la 2024 linauzwa $38,000 Japan unakuta la mwaka wa chini bei inapungua kidogo labda ni $34,000 wanakupigia 70%-90% ya hio hela unayotakiwa kulipa Japan ndo wanai term kama kodi.

Hii iko kinyume na tafsiri yao kana kwamba gari inavyozidi kuwa mpya ndio kodi inazidi kuwa ndogo. Its irrelevant na mfumo kabisa.
 
Hoja yako ya kwanza ningepanda kukuelewesha, hizo Gari zote tatu, hakuna hata moja iliyotozwa Kodi ya uchakavu, Gari ya 2024 imekupa Kodi kubwa sababu, bei yake ya kununua ni kubwa kuliko ya 2023 na 2022. Rate ya kuchaji iko flat Kwa zote so automatically chenye bei kubwa na Kodi yake ndivyo hivyo itakuwa kubwa kuliko chenye bei ndogo, mfano 1gari umenunua Shingi 1000, 2gari Shingi 600 na 3gari shingi 400 then zote ukachaji 20% so automatically 1gari itakuwa na Kodi kubwa.

Kuhusu hoja zingine Nami nakusapoti upo sawa kabisa kiufupi Kodi ya magari ingepigwa flat iwe 30% badala ya 75%
 
Serikali ingeanzisha viwanda v
ya kuzalisha magari ya kawaida na kuondokana na ujinga wa kujazana makodi.
 
Serikali ingeanzisha viwanda v

ya kuzalisha magari ya kawaida na kuondokana na ujinga wa kujazana makodi.
Pointi ya kwanza ndio muhimu zaidi, hizo zingine ni za kujibia swali
Hizi kodi zitaendelea kuongezeka kwa sababu ya deni la taifa
 
Ukimudu kununua gari maana akee una mahelaa ya kuchangiaaa serikali yako pendwaa iwezee kununua vieteeeee.
 
boss hivi inawezekana nikanunua ndinga ili nikwepe kodi kubwa niipeleke Lusaka nikalipe kodi kidogo halafu isajiliwe huko number plate ya Zambia halafu nije nayo bongo mazima tupishane mitaani usajili wa zambia.

iwe kama natumia gari nililokodi nchi nyingine, hii imekaaje? au bado TRA watanibamba kodi kuendesha gari ya nchi nyingine kwa matumizi yangu hapa town?
 
Watakusumbua mkuu ingawaje wapo watu wanafanya hivyo maana kule kodi ni kidogo inalipwa kwa GVM sio mwaka wala aina ya gari Hilux ya 2020 kodi ni Z kwatcha 60,000 sawa na Tsh 6,000,000..
 
Ni wivu tu mkuu, hawataki tuwe kama wao
 
Watakusumbua mkuu ingawaje wapo watu wanafanya hivyo maana kule kodi ni kidogo inalipwa kwa GVM sio mwaka wala aina ya gari Hilux ya 2020 kodi ni Z kwatcha 60,000 sawa na Tsh 6,000,000..
yaanii kamavipi naanzisha kikampuni uchwara kule cha kukodisha magari ila lengo langu sio hiyo biashara,

lengo langu ni gari ntalonunua nijikodishie, so vibali vyote paperwork mimi kukodi hilo gari ntakuwanavyo usumbufu upi ntakaopata?
 
Bado vipuli, bado mafuta labda yangekuwa yanatumia maji sawa
 
Na bora sasa hiyo kodi yenyewe ingekuwa inatumika vizuri...zaidi zaidi inaishia mifukoni mwa mafisadi na matumizi mengi tu mabovu ya serikali.
 
Hakuna mafomula fomula kama hii calcutor ya zakayo?
Yani kuna ma formula ya kupunguza bei mengi tu.

Mimi nimeenda kununua BMW yangu ya pili, nilikuwa natoka kuenxesha X3 naenda kununua X5, nikakuta kuna formula ya kwamba ukirudia kununua BMW unapewa discount ya $500 na dealer.

Yani mara nyingine unapigwa punguzo la bei kwa formula ambayo hata hukuijua.

Kwa sababu wanajua competition ni kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…