Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu. Sijui umri unanienda au? Kuna baadhi ya "trend" za magari naona zinazidi kushika kasi. Najua "maybe" ata Automatic transmission zinavyoingia kuna watu waliona jau, ila ishazoeleka sahivi.
Ngoja niwape mifano yangu muone:
1. Gear Knobs za kuongeza kama Sauti
Hizi nimeona kwenye Disco kuanzia 4 na Range Rover.
Yaani sijui kwann, naona kama sio unyama kabisa.
Jumlisha na hizi wanaiita "electronic gear shifter" dah..
Kwa upande wangu naona too much. Napenda tech ila duh. Sijawa mzembe kiasi hiki.
2. Side "cameras" badala ya Mirrors
Sawa, najua mna sababu za kuleta hii kitu ila mi hapana.
Nawaza zikianza kuharibika kama risk sana. Gari inavyozidi kua complicated kwa vitu unnecessary ndio ku-maintain inakua gharama.
3. Yoke steering (Half moon)
Me nadhani steering ilitakiwa kubaki ya duara. Ova.
Sijui experience ya kuendesha hizi halfmoon ila dah naona kama jau sana.
4. Hidden Door Handles.
Hivi navyo naona kama jau sana. Haviwezi kuvunjika kweli ukitumia nguvu?
Zile za mawaida zilikua na ziko poa tu. Najua wanasema issue za aerodynamics ila inachangia padogo sana.
5. Rain sensing wipers na Automatic High Beams
Sijui nielezeeje ila hii kitu sioni umuhimu wake. Why unipangie muda wa kuwasha wipers? Muda wa kuwasha high beams?
Me hivyo vitano naonaga hapana aisee.