Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Wasalaam.
Kwa mujibu wa kumbukumbu kutoka maktaba inasemekana mzee kikwete alihusika kuuza migodi yote ya madini kwa mikataba mibovu ambayo inalitafuna taifa mpaka leo.
Sikiliza mwenyewe kutoka bungeni kisha angalia leo hii mh alivyokaribu na madam, je tutapona? au ndo tunaenda kupigwa bei sisi wananchi masikini malofa wa tanganyika?
Yeye mwenyewe, mwanae na Bumbuli Estate wanasemaje?Wasalaam.
Kwa mujibu wa kumbukumbu kutoka maktaba inasemekana mzee kikwete alihusika kuuza migodi yote ya madini kwa mikataba mibovu ambayo inalitafuna taifa mpaka leo.
Sikiliza mwenyewe kutoka bungeni kisha angalia leo hii mh alivyokaribu na madam, je tutapona? au ndo tunaenda kupigwa bei sisi wananchi masikini malofa wa tanganyika?
Kila mtu ataenda kaburini,acha kujadili mambo kiwepesi.JK anadhani anawakomoa watanzania, lakini tamaa zake hizi zitampeleka kaburini kwa aibu sana.
Walishatengeneza mifumo ambayo sio rahisi kwa raia wa kawaida anaweza kufurukuta.Kila mtu ataenda kaburini,acha kujadili mambo kiwepesi.
Tatizo watz hamnaga solution juu ya mambo nyeto ya kitaifa. Mnapenda kummwachia Mungu.
Empty headMsoga anatupiga sana ila ndo hvy watz ni vichwa maji
Mungu wa mwamposaWalishatengeneza mifumo ambayo sio rahisi kwa raia wa kawaida anaweza kufurukuta.
Lips za afande zimekolea moshi
ππππ
Ndege ya pilot samia ipo off pilot.anahitaji consultation za mara kwa mara. Mtu huyu hajui lolote kuhusu siasa za Tanzania πΉπΏ sembuse za kwaoUkicheki jinsi anavyotokea kila mialiko mikubwa ya Bi chura, ni kama anakaimu nafasi ya Bw chura...
Hata sijui nimeandika nini!
Hilo swali au?Ndio maana Hayati JPM alimchukia?.