The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
πππHizi tuzo Kuna matukio naangalia Hadi Mimi niliyekaa nyumbani kwenye TV naona aibu kha!!
Binafsi nakubaliana na mtizamo wakoSidhani kama ishu ni kujiandaa bali ni makusudi kwavile timu ya Yanga ndio iliyo dominate kwenye vitu vingi, hivyo kupendesha shughuli ni kuwapendesha Yanga. Msimu wote top scorers wanapewa kiatu leo kinatolewa vitu vya ajabu kabisa. Halafu tuzo zote muundo unafanana si bora wangeacha tu. Wanafanya kama wamelezimishwa
NaamIla kuna watu wanakula hela sana imagine uyu vice president wa Yanga kumbe pia ni CEO PBZbank daaah imagine anakula mishahara kotekote
Pesa za maandalizi..watu badala wafanye vitu bora waboreshe hela zinaminywa...Tuzo zina pesa au kuuza sura tu??
Ulitakaje sasa na wewe...kuhusu MatampiHatimae matampi kapewa bado Faisal ili Karia aondoke akiwa na amani ya moyo
Sana asee afanye atuachie na sie jobless tule shavu ilo[emoji16][emoji16]Jamaa elimu imemlipa hatari halafu ni kwenye umri mdogo kabisa
Sana lakn ni ujinga mtupuKesho Oruma na Jemedari wataandika magazeti marefu.