Hizi tuzo zinaenda fasta kama vyeti vya form kwenye mahafali

Hizi tuzo zinaenda fasta kama vyeti vya form kwenye mahafali

Sidhani kama ishu ni kujiandaa bali ni makusudi kwavile timu ya Yanga ndio iliyo dominate kwenye vitu vingi, hivyo kupendesha shughuli ni kuwapendesha Yanga. Msimu wote top scorers wanapewa kiatu leo kinatolewa vitu vya ajabu kabisa. Halafu tuzo zote muundo unafanana si bora wangeacha tu. Wanafanya kama wamelezimishwa
Binafsi nakubaliana na mtizamo wako
 
Jamaa elimu imemlipa hatari halafu ni kwenye umri mdogo kabisa
Sana asee afanye atuachie na sie jobless tule shavu ilo[emoji16][emoji16]

Sema izi pisi zinazosukumuka kabumbu kumbe nazo ni mali safi
 
Hii tuzo ya mvp wa shirikisho wameitengeneza ili jamaa yao mla sukari apate chochote kitu.
 
Back
Top Bottom