Hizo ndio kampuni 27 zinazoshikilia tenda za Uagizaji Mafuta yanayotumika Tanzania kila mwezi

Hizo ndio kampuni 27 zinazoshikilia tenda za Uagizaji Mafuta yanayotumika Tanzania kila mwezi

No
Jina la Kampuni
Eneo Inalotoka
1
Oilcom (T) Ltd​
Kampuni ya Uuzaji wa Mafuta ya Ndani
2
Lake Oil​
Kampuni ya Uuzaji wa Mafuta ya Kikanda
3
Augusta Energy​
Kampuni ya Ndani
4
Puma Energy​
Kampuni ya Kimataifa
5
Total Tanzania​
Kampuni ya Kimataifa
6
Oryx Energies​
Kampuni ya Kimataifa
7
MOIL​
Kampuni ya Ndani
8
Camel Oil​
Kampuni ya Ndani
9
Petroafrica​
Kampuni ya Ndani
10
Vivo Energy​
Kampuni ya Kimataifa
11
Hass Petroleum​
Kampuni ya Ndani
12
Sahara Energy(T) Ltd​
Kampuni ya Kimataifa
13
GBP(T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
14
Dalbit Petroleum​
Kampuni ya Ndani
15
TIPER Ltd​
Kampuni ya Ndani
16
Mogas International (T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
17
General Petroleum (T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
18
Olympic Petroleum (T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
19
ATN Petroleum​
Kampuni ya Ndani
20
Petrofuel (T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
21
Natoil (T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
22
Acer Petroleum​
Kampuni ya Kikanda
23
Mount Meru Group​
Kampuni ya Uuzaji wa Mafuta ya Kikanda
24
GAPCO Ltd​
Kampuni ya Uuzaji wa Mafuta ya Ndani
25
G.M & Company (T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
26
Afroil Investment Ltd​
Kampuni ya Ndani
27
Star Oil Tanzania Ltd​
Kampuni ya Ndani
Mkuu umeacha kampuni nyingi sana za mafuta
28. EFS
29. KSK
30. Suma JKT
31. State oil
Nk..........orodha ndefu halafu baada ya kupata majina ya kampuni hizo nenda Brela uombe taarifa za usajili na umiliki wake utastaajabu
 
Makampuni hayo ndiyo yanayoizuia Tz kuchimba mafuta.
Watanzania Uchumi mnao mnaukalia -Julius Kambarage Nyerere
 
Tanzania Association of Oil Marketing Companies (TAOMAC) ni shirika ambalo lilianzishwa tarehe 23 Machi 2000 chini ya Sheria ya Vyama, SURA 337.

TAOMAC inajitahidi kukuza sekta endelevu na yenye ushindani wa mafuta ya petroli, ambapo makampuni yote ya uuzaji wa mafuta (OMCs) yanaendesha shughuli zao.

Biashara kwa uadilifu na haki. Inatoa jukwaa kwa wanachama wake wote, bila kujali ukubwa wao, kujadiliana na kutatua masuala yanayoathiri sekta hiyo.

TAOMAC pia hufanya kazi kama mpatanishi kati ya OMC na wadhibiti wa sekta na wizara na mashirika ya Serikali kupitia ushirikiano wa haraka na shirikishi ambao huhakikisha kwamba sheria mpya, kanuni na uundaji wa sera za umma hushughulikia maswala muhimu ya maendeleo endelevu ya tasnia.

Wanachama wa TAOMAC wanawakilisha takriban tisini (90%) ya soko la ndani la usambazaji wa petroli.
No
Jina la Kampuni
Eneo Inalotoka
1
Oilcom (T) Ltd​
Kampuni ya Uuzaji wa Mafuta ya Ndani
2
Lake Oil​
Kampuni ya Uuzaji wa Mafuta ya Kikanda
3
Augusta Energy​
Kampuni ya Ndani
4
Puma Energy​
Kampuni ya Kimataifa
5
Total Tanzania​
Kampuni ya Kimataifa
6
Oryx Energies​
Kampuni ya Kimataifa
7
MOIL​
Kampuni ya Ndani
8
Camel Oil​
Kampuni ya Ndani
9
Petroafrica​
Kampuni ya Ndani
10
Vivo Energy​
Kampuni ya Kimataifa
11
Hass Petroleum​
Kampuni ya Ndani
12
Sahara Energy(T) Ltd​
Kampuni ya Kimataifa
13
GBP(T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
14
Dalbit Petroleum​
Kampuni ya Ndani
15
TIPER Ltd​
Kampuni ya Ndani
16
Mogas International (T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
17
General Petroleum (T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
18
Olympic Petroleum (T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
19
ATN Petroleum​
Kampuni ya Ndani
20
Petrofuel (T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
21
Natoil (T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
22
Acer Petroleum​
Kampuni ya Kikanda
23
Mount Meru Group​
Kampuni ya Uuzaji wa Mafuta ya Kikanda
24
GAPCO Ltd​
Kampuni ya Uuzaji wa Mafuta ya Ndani
25
G.M & Company (T) Ltd​
Kampuni ya Ndani
26
Afroil Investment Ltd​
Kampuni ya Ndani
27
Star Oil Tanzania Ltd​
Kampuni ya Ndani
Hii imeenda tuwajue na wamiliki wake pia
 
Yaani Kampuni Tele Na Bado Mafuta Yanapanda Bei Na Kuadimika Nchini Kweli
Tusemeje Sisi Wa Huku West Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom