Hizo ndio kampuni 27 zinazoshikilia tenda za Uagizaji Mafuta yanayotumika Tanzania kila mwezi

Hizo ndio kampuni 27 zinazoshikilia tenda za Uagizaji Mafuta yanayotumika Tanzania kila mwezi

Smart naye sijamuona...ana vituo Kanda ya Ziwa nadhani
1. Kibaha hadi Chalinze kuna kila aina ya vituo vya mafuta mpaka kuna Karagwe oil, Kiroho safi oil nk
2. Mwandege hadi Lindi na Mtwara humo njiana kuna aina zingine za vituo vya mafuta
3. Mapinga hadi Msata kuna aina zingine tena za vituo vya mafuta
 
Back
Top Bottom