Hizo ndio kampuni 27 zinazoshikilia tenda za Uagizaji Mafuta yanayotumika Tanzania kila mwezi

Mkuu umeacha kampuni nyingi sana za mafuta
28. EFS
29. KSK
30. Suma JKT
31. State oil
Nk..........orodha ndefu halafu baada ya kupata majina ya kampuni hizo nenda Brela uombe taarifa za usajili na umiliki wake utastaajabu
 
Hiki ulichoandika hapa ... Kinanisaidia nini mimi mwananchi wa kawaida!?....

Ama ni hints umetoa kwa wanafunzi kwa ajili ya kujibu kwenye mtihani!!??
 
Makampuni hayo ndiyo yanayoizuia Tz kuchimba mafuta.
Watanzania Uchumi mnao mnaukalia -Julius Kambarage Nyerere
 
Hii imeenda tuwajue na wamiliki wake pia
 
Yaani Kampuni Tele Na Bado Mafuta Yanapanda Bei Na Kuadimika Nchini Kweli
Tusemeje Sisi Wa Huku West Kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…