Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #41
Uongo mtupu. Women Don't cheat. And when they happen to do something that you men would call cheatting, they are simply using their wisdom in response to one of your own behaviors. the person to blame is always the guy.
Women don't lie neither, they just can't. And as everybody knows, they can't keep secrets. Alie andika hivo ana matatizo yake binafsi na wanawake, maybe he is cheating on his wife. or he drove his wife to tht point where she had no choice but see somebody else in secret (technically not cheating lakini)
Imagine I had to chose between being completely irrational,You have officially lost it. But then again I don't think you are serious...but, I could be wrong.
Imagine I had to chose between being completely irrational,
using stereotypes and founding my arguments on my own bias
or being satiric and sarcastic, using my most maieutical approach.
tough one... So which one do you think I chose in the end?
Dah..Mwali...Where is my oxford dictionary?? Anyway...your signature summarizes this...Imagine I had to chose between being completely irrational, using stereotypes and founding my arguments on my own bias or being satiric and sarcastic, using my most maieutical approach. tough one... So which one do you think I chose in the end?
Absolutely Kaunga...Mie nakubaliana na wewe 100% ninyi viumbe mkiamua ni wabaya kuliko sisi Nina experience ya rafiki zangu watatu wanne hivi....wenziwao walipogundua hakuna aliyekubali ni visasi tu... Unfortunately wanaume hawakugundua wala hawakuwa na sababu ya kugundua... Kwakuwa mmojawapo aliamua kunishirikisha mchezo walikuwa wakiucheza na mengine niliweza pia kuyashuhudia ....in terms of preparations... sina hamu hadi kesho....Pamoja na ujanja wao (my friends) walikuwa wakidanganywa kama watoto..From there i started to have a due "respect" to these creatures...wewe fanya yako tu lakini akikunasa na akaprove beyond doubt you are in for it...Wakati wewe unafanya kwa ubabe yeye atafanya as if hafanyi lolote which is the worst case...Better cheaters! it is not a new revelation. Tumesema humu mara nyingi. TukiAMUA kucheat tunaweza vizuri kuliko men. Cheating is up because we have the means and the motive! Motivation ya kucheat sidhani kama ni moja kwa kila mwanamke; uwezo wa kifedha humfanya mwanamke kuweza kuamua kuend up mahusiano na si kuvumilia na kuamua kucheat! Kwenye article hiyo ninachokubaliana nacho ni kuwa mwanamke akiamua kucheat anafanya vizuri kuliko mwanaume. Na list ya wapenzi, huoni kuwa wanaume wengi husababisha kudanganywa kwa kuwa hawawezi meza ukweli! Refer thread za Erotica kuhusu mwanaume wa 40. Alishambuliwa na wanaume wengi sana. Sasa mtu akija na list ya ukweli say in my 10 years ya mahusiano nimekuwa na mahusiano mara 5 na hit n run 4 utamwelewa kweli? Ndio maana mnaishia kupata wewe ni wapili! LOL
Na list ya wapenzi, huoni kuwa wanaume wengi husababisha kudanganywa kwa kuwa hawawezi meza ukweli! Refer thread za Erotica kuhusu mwanaume wa 40. Alishambuliwa na wanaume wengi sana. Sasa mtu akija na list ya ukweli say in my 10 years ya mahusiano nimekuwa na mahusiano mara 5 na hit n run 4 utamwelewa kweli? Ndio maana mnaishia kupata wewe ni wapili! LOL
Ahahahahaaa kwenye hilo kumbe wengi huwa tunadanganywa. Ila uzuri baadhi yetu huwa tunajua kuwa tunadanganywa lakini tunakaa kimya tu.
Ukiambiwa wewe ni wa nne jua kuna hata 15 waliokutangulia....
Inaweza kuwa ni wanne kweli kama hahesabu zile accident za clubs na the like. Do better kuspecify unamaaminisha nini unavyouliza umeshawahi kuwa na wanaume wangapi! Lkn what is the use, nikikiambia nimekuwa na wengi coz l was searching for some one like u na kwamba u are hard to find kwenye ulimwengu wa sasa, itaongeza mapenzi au utaniona fuksa au sidumu ktk mahusiano?
Sioni sababu ya kudanganya kwenye hayo mambo. Na hata kama umeshapitia 30 kama nimekupenda kikweli kweli basi hilo kwangu halitakuwa kigezo ingawa pia kichwani mwangu ntajiuliza mengi...
Nimekupenda, na ninataka kuwa nawe why gamble? Si bora ni wthhold some truth ili nipunguze chances za kukuloose?
Hiyo ndio thinking yetu wengi. Wewe mwenyewe umesema utajiuliza maswali mengi; na nikojivika uvictim kuwa mimi ndio niliyendwa wakati mimi ndio nilikuwa say nawachuna, baada ya kuishiwa nadump?
Hivi Boss, umeshawahi kusifiwa na mwanamke au wanawake kuhusu sexual prowess yako? Ushawahi kuambiwa 'that was good' (meaning the sex)'?
hua tunawasifia lakini mara nyingi hatumaanishi lol! Ni trick tu ya kuwajengea confidence ili msijisikie vibaya. Nyani Ngabu usiwe una amini sana hizo sifa in most cases ni wizi mtupu:israel:
Babu, big respect to you, busara zako aisee!
Mie kuna ndugu yangu alimcheat mkewe muda mrefu tu tukanyamazia. Akaanza kuleta dharau kwa mkewe na ku-play hard to get. Hadi akastukiwa. Nikamuonya kesi ilipofika kwangu. Sasa hivi mkewe ana affair ya kufa mtu. Na mie formula yangu siingilii maisha ya mtu. Namngoja alete kesi nimuambie wewe ndo mwalimu wake, sahihisha daftari uwe mupolee!
Mwanaume akiwa cheated anatia huruma as if it is the end of the world! Sikilizia akikamatwa yeye anavyokuwa m'babe na kulazimishia asamehewe!
Comrades Nyani Ngabu, The Boss na babu mwenzangu Dark Cityhata sijaelewa ur angle
but nikupe a very true story...
nilikuwa na rafiki ambae tulikuwa tuna party pamoja sana
na huko mitaani akichukua wanawake wa pembeni anawaleta kwangu
zamani kidogo
na wanawake walikuwa wanamsifia mno utundu wake kitandani
but guess what...niliwahi kutoka na gf wake na akawa
anamdanganya jamaa ili tu asi sex nae
anakuja kwangu
na i was not that good.....
but his gf preferred me than him...
sijui unaelewa hiii?
Uongo mtupu. Women Don't cheat. And when they happen to do something that you men would call cheating, they are simply using their wisdom in response to one of your own behaviors. the person to blame is always the guy. Women don't lie neither, they just can't. And as everybody knows, they can't keep secrets.
Alie andika hivo ana matatizo yake binafsi na wanawake, maybe he is cheating on his wife. or he drove his wife to tht point where she had no choice but see somebody else in secret (technically not cheating lakini)
Mimi nadhani ukweli humuweka mtu kuwa huru. Sioni sababu ya kudanganya kwenye hayo mambo. Na hata kama umeshapitia 30 kama nimekupenda kikweli kweli basi hilo kwangu halitakuwa kigezo ingawa pia kichwani mwangu ntajiuliza mengi...
hua tunawasifia lakini mara nyingi hatumaanishi lol! Ni trick tu ya kuwajengea confidence ili msijisikie vibaya. Nyani Ngabu usiwe una amini sana hizo sifa in most cases ni wizi mtupu:israel: