Comrades
Nyani Ngabu,
The Boss na babu mwenzangu
Dark City
Huu mfano wa TB unaweka wazi na ukweli jinsi hawa watu wa jinsia pinzani walivyo wazuri kwenye kucheat/kupretend. Lakini mwisho wa siku utakuta wana udhaifu wa kuiweka siri kwa muda mrefu.
Nlishawahi kukutana na mama mmoja ambaye mmewe alikuwa mbali kwa muda mrefu sana. Alionekana alivutiwa nami na kutaka nimkatie kiu. Mi si mtu nayependa kutoka na wake za watu lakini mmama huyu bana... I think you know what I mean....
Alinambia mmewe ndo alikuwa mwanaume wa kwanza kukutana naye kimwili. Yaani ndie aliyembikiri! Ofcourse nlijua ananidanganya lakini alipohusisha jina la Yesu kwenye kuapa kidooogo nikaanza kumuamini. Then ikawa vile kwa bahati mbaya (shetani na ashindwe)
Haukupita muda sana nikaja nikagundua si tu kuwa aliolewa na aliyembikiri, bali pia aliolewa akiwa na mtoto tayari!! Mwanamke ukimbana kwenye kona, ni mwepesi wa kufunguka na kuomba msamaha. Vidume ni vigumu kukiri asee. Nakumbuka kuna kidume kilifumaniwa live gesti na mkewe lakini kikakataa katakata kuwa hakijammega ila kilikuwa kwenye process ya kummega wakati kilishatumbukiza goli tatu nyavuni. Tena kikamshukuru mkewe kwa kumuwahi kabla hajavunja amri ya sita na kusema kuwa kwa mkewe kufika pale ulikuwa mpango wa Mungu ili kumwepusha na dhambi na maradhi!!
Naungana na wote kuwa wanawake ni wazuri sana kuficha siri zihusuzo mapenzi na ni wazuri sana kupretend lakini pia wana kasoro ya kutotunza siri hizo kwa muda mrefu. Wanakamatika kirahisi sana baada ya muda.
Natamani sana
King'asti na wake zangu
BADILI TABIA,
cacico na
Yummy wasisome hii post.