Hmmm....eti ni kweli...?

Hicho ndicho kisingizio chenu kikubwa. Hakuna kitu kama hicho.... Hivi hao wanaume wanaocheat wanacheat na manyani? Wote wanaume kwa wanawake wanacheat kwa sababu zilezile.... Tamaa, tabia, visasi, ushawishi nk nk nk
 
Ndo maana wewe ni babu mwenzangu!!!

Ni kweli kabisa....mara nyingine dada/mama zetu wanajiingiza mkenge kwe kusema vitu ambavyo ni uongo tena bila kuulizwa. Mwisho wa siku wanakuja kuumbuka. Na kwa vile huwa tunawanyamazia, wanatuona kama vile sie ni mafala fulani vile!

Kuhusu midume kutokiri hata wakifumaniwa....hilo ni kweli kabisa na tulifundishwa na wazee wetu kwamba inasaidia kuto-erode imani ya mwanamke kwa mwanamume...Tuliambiwa kuwa mara unapokiri kuwa kweli umetumbukiza hiyo kitu yako kwa mwanake mwingine,....basi toka siku hiyo, huyo mdau wako umempoteza..!! Ila nasikia uongo kama huo uliousema hapo juu huwa wanauamini (with doubts) na inasaidia kuendelea kubeba kura za kukuamini ambazo sometimes zinaweza kuwa above 50%!!

Babu DC!!
 
Hicho ndicho kisingizio chenu kikubwa. Hakuna kitu kama hicho.... Hivi hao wanaume wanaocheat wanacheat na manyani? Wote wanaume kwa wanawake wanacheat kwa sababu zilezile.... Tamaa, tabia, visasi, ushawishi nk nk nk
asilimia kubwa ya wanawake wanaotoka nje chanzo ni wanaume...maudhi ...revenge ...nk...always tupo good ..sijawai kucheat... but huwa nashawishiwa kucheat....
 
Some intels better left classified!:yawn:
 
HApa ni kuapsuana vichwa tu, namba yangu inakuhusu nini???
 
Sasa unafanyia revenge mwili wako tena???

(Kwa tetesi, sex bila connection haina tofauti na kubakwa na stranger yeyote)

Si bora umfanye mwanamme huyo aliyekukosea abakwe na wanawake wengine ili mwili wake uzidi kuchafuka??

asilimia kubwa ya wanawake wanaotoka nje chanzo ni wanaume...maudhi ...revenge ...nk...always tupo good ..sijawai kucheat... but huwa nashawishiwa kucheat....
 
Hahahahahahaha,

Kaka,... ndo umegundua leo kwamba watu wenye pyepye nyingi (kama wanaume) mara nyingi huwa wana zero score kwenye maunjanja ya maisha??

Ndiyo maana hawa wadau huwa wanatu-enjoy!!

Anyway, if you can't fight them.....!!

Babu DC!!
join them lol
 
Sasa unafanyia revenge mwili wako tena???

(Kwa tetesi, sex bila connection haina tofauti na kubakwa na stranger yeyote)

Si bora umfanye mwanamme huyo aliyekukosea abakwe na wanawake wengine ili mwili wake uzidi kuchafuka??
lakini ndo ivo
 
Kongosho ulishawahi sikia ule wimbo wa Mwana FA washikaji wakikumegea demu wako na wewe .......(malizia hapo palipobaki) na kwa wanawake inapply hivyo hivyo!
 
Kongosho ulishawahi sikia ule wimbo wa Mwana FA washikaji wakikumegea demu wako na wewe .......(malizia hapo palipobaki) na kwa wanawake inapply hivyo hivyo!

Kwa nini usiwamege hao waliokumegea badala yake unaenda kummega mtu mwingine ambaye wala hausiki??

Babu DC!!
 
mwanamke akifanikiwa kunidanganya ujue
ama i pretend nimedanganyika au i dont love her that much....
otherwise i can tell the truth....so fast
boss i wish i met you before aisee ningekuliza, yaani do you know the secrets behind us? do you know that women posses secret phone numbers which you don't know and you will never find it?
sasa ngoja nikwambie hivi i have an office mate we are very close and tuko wasiri sana btn me and her. ana mcheat hubby wake but you wont know it. kwanza she never uses her mobile phone, nor her hand set. ana simu mpya iko kwa droo yake ambayo inafunguliwa anapotaka kuwasiliana na patna wake. akimaliza anaswitch off.

wakitaka kukutana wana meet at the hotel kila mtu anakwenda kivyake na anatoka kivyake and not near by atakwenda bagamyo ama zanzibar kwa hiyo siku anafanya mambo yake anarud kimya kivyake. ana kanda maeneo na barafu baada ya hiyo kazi kisha anaweka liners kwenye pant yake mpaka afike home kakauka wala hujui kama kaingiliwa. and hili linafanyika mara moja kwa mwezi ena she neva switch off her phone so akipigiwa na hubby anaongea nae and so forth. acha kabisa.
 
Last edited by a moderator:
unamcheat mtu aliyekucheat, huwezi anza kumcheat mtu mwema kwako,
 
gfsonwin yaani nimepapenda hapo kwny blue sijui hata kwanini!
 
gfsonwin yaani nimepapenda hapo kwny blue sijui hata kwanini!

unajua nemic4u, kuna watu ambao wanadhani kwamba wao wanaweza kuwacontrol wanwake kumbe bwana mwanake huwez kumcontrol wana kumfuatilia and believe me ni mwanamke mwenyewe aamue kutulia manake this world is full of alternatives and options to women. halafu wanasahau kwamba women a good pretenders and above all wana tekniksi nyingi kweli.
 
Last edited by a moderator:
asilimia kubwa ya wanawake wanaotoka nje chanzo ni wanaume...maudhi ...revenge ...nk...always tupo good ..sijawai kucheat... but huwa nashawishiwa kucheat....

na mwanamke yoyote atakae cheat na "kuhisiwa"...wachia mbali "kufumaniwa" siku zote nawaitaga wapumbavu/wajinga wa mwisho kwenye hii dunia, kama huwezi/muoga/hofu tulizana......na hao wanaosema mwanamke hana koromeo basi cjui wanakutana na wanawake wa namna gani, wengi wetu tuna makoromeo balaa...sidhani kama kuna kiumbe anaejua kuficha siri kama mwanamke, mie nimefuzu hii kitu....weekend njema.

Kama anacheat kwa sababu kaamua, then it is okay

Ila kama ancheat kwa revenge ya mme, is it worthy shida yote hiyo?? Hasa hapo kwenye blue lol

Mie nadhani kuna Cheating Syndrome, ila hakuna tu mtu aliyeamua kufanya research
Yaani sasa hivi inataka kujengeka kuwa cheating is inevitable, kweli?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…