Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
- Thread starter
-
- #101
Asante... hauna madharaa😊😊Subiri kwanza tunavaa!!
Haya pita, karibu.
Itakuwa vyema ukitaja hata mbili..😉Zipo nyingi sanaaaa tena kitambo tangia 2014....
Nyingi ni riwaya, hadithi na simulizi mkuu😊Itakuwa vyema ukitaja hata mbili..😉
Na nyuzi mbalimbali za jamii intelligence...Itakuwa vyema ukitaja hata mbili..😉
Vyema sana.. ulishawahi soma peniela..?Nyingi ni riwaya, hadithi na simulizi mkuu😊
Sina hakika ila nafikiri atakuwepo sema ndo vile majukumu n.kNa nyuzi mbalimbali za jamii intelligence...
Hivi mzizimkuu yupo??
Story nzuri sana ya kijasusi🙌Vyema sana.. ulishawahi soma peniela..?
Story nzuri sana ya kijasusi🙌Vyema sana.. ulishawahi soma peniela..?
AlaaahSina hakika ila nafikiri atakuwepo sema ndo vile majukumu n.k
Yeah ni story nzuri mwandishi alikuwa yuko vyema ila binafsi zaidi napendelea riwaya za ben mtobwa.. ulishasoma mikataba ya kishetani..??Story nzuri sana ya kijasusi🙌
Kuna story moja nmesoma humu inanitesa mpaka leo nimekua muoga... nalala taa ikiwa inawaka🤦♀️Vyema sana.. ulishawahi soma peniela..?
Joram kiango nimemsoma pia... mkataba wa shetani skumbuki kama nilishasoma... ila tutarudi na roho zetu nlishaisoma.Yeah ni story nzuri mwandishi alikuwa yuko vyema ila binafsi zaidi napendelea riwaya za ben mtobwa.. ulishasoma mikataba ya kishetani..??
Tutarudi na roho zetu je..??
Pole sana.. usiogope ni stori tu si uhalisiaKuna story moja nmesoma humu inanitesa mpaka leo nimekua muoga... nalala taa ikiwa inawaka🤦♀️
Inaitwa "niliolewa na jini bila kutarajia" ... nimekuwa muoga sanaaaaa
Inaonekana unapenda sana kusoma!Joram kiango nimemsoma pia... mkataba wa shetani skumbuki kama nilishasoma... ila tutarudi na roho zetu nlishaisoma.
Asante... yani nashindwa napambana vipi na hii hali..Pole sana.. usiogope ni stori tu si uhalisia
Usiweke kichwani stori za namna hiyo,usijitishe nazo feel free kabisa utakuwa huna uoga take it easy..
Unachotakiwa ni kuchukulia ni hadithi tu usijipe presha kivile.. baada ya kumaliza kusoma hizo hadithi jitahidi kufanya kitu kitakacho relax kichwa chako.. wazo likija unawaza vyengine unaachana na kushuhurisha kichwa chako na hizo hadithi za kutisha..Asante... yani nashindwa napambana vipi na hii hali..
Tatizo napenda sana story...
Ndio napenda sanaaaa... haswa hizi za kijasusi.. visa vya mapenzi sivutiwi navyo sana maana nkishasoma mwanzo tu najikuta mwisho nshaujua.. na nkienda mwisho wa story nakuta ni vilevile na nilivyowaza...Inaonekana unapenda sana kusoma!
Ben mtobwa ndie muandishi wakwanza ninae mkubali,haswa uandishi wake nauona wa pekee ni burudani kusoma riwaya zake..
Kwa kweli sku izi nkikutana na uzi wa story ambayo inahusu nguvu za giza huwa sisomi..Unachotakiwa ni kuchukulia ni hadithi tu usijipe presha kivile.. baada ya kumaliza kusoma hizo hadithi jitahidi kufanya kitu kitakacho relax kichwa chako.. wazo likija unawaza vyengine unaachana na kushuhurisha kichwa chako na hizo hadithi za kutisha..
Nina lakujivunia juu yako!!Ndio napenda sanaaaa... haswa hizi za kijasusi.. visa vya mapenzi sivutiwi navyo sana maana nkishasoma mwanzo tu najikuta mwisho nshaujua.. na nkienda mwisho wa story nakuta ni vilevile na nilivyowaza...
Ila za kina joram lazima nisumbue akiliiii... yani akili haituliii... kama kuna story moja inaitwa "hatia" mwanzo mwisho unashughulisha ubongo😂 ... unatabiri hivi halafu mambo yanageukaaa weee... very interesting 😋
Ahahahaaa... mishughuliko imekua mingi au ni kwanini?Nina lakujivunia juu yako!!
Naona nimepata memba mwenzangu msomaji.. ila sahivi nimekuwa mtoro kwenye usomaji!!!!