Hodi hodi naingia...

Hodi hodi naingia...

Vyema sana.. ulishawahi soma peniela..?
Kuna story moja nmesoma humu inanitesa mpaka leo nimekua muoga... nalala taa ikiwa inawaka🤦‍♀️
Inaitwa "niliolewa na jini bila kutarajia" ... nimekuwa muoga sanaaaaa
 
Yeah ni story nzuri mwandishi alikuwa yuko vyema ila binafsi zaidi napendelea riwaya za ben mtobwa.. ulishasoma mikataba ya kishetani..??
Tutarudi na roho zetu je..??
Joram kiango nimemsoma pia... mkataba wa shetani skumbuki kama nilishasoma... ila tutarudi na roho zetu nlishaisoma.
 
Kuna story moja nmesoma humu inanitesa mpaka leo nimekua muoga... nalala taa ikiwa inawaka🤦‍♀️
Inaitwa "niliolewa na jini bila kutarajia" ... nimekuwa muoga sanaaaaa
Pole sana.. usiogope ni stori tu si uhalisia
Usiweke kichwani stori za namna hiyo,usijitishe nazo feel free kabisa utakuwa huna uoga take it easy..
 
Joram kiango nimemsoma pia... mkataba wa shetani skumbuki kama nilishasoma... ila tutarudi na roho zetu nlishaisoma.
Inaonekana unapenda sana kusoma!
Ben mtobwa ndie muandishi wakwanza ninae mkubali,haswa uandishi wake nauona wa pekee ni burudani kusoma riwaya zake..
 
Pole sana.. usiogope ni stori tu si uhalisia
Usiweke kichwani stori za namna hiyo,usijitishe nazo feel free kabisa utakuwa huna uoga take it easy..
Asante... yani nashindwa napambana vipi na hii hali..
Tatizo napenda sana story...
 
Unachotakiwa ni kuchukulia ni hadithi tu usijipe presha kivile.. baada ya kumaliza kusoma hizo hadithi jitahidi kufanya kitu kitakacho relax kichwa chako.. wazo likija unawaza vyengine unaachana na kushuhurisha kichwa chako na hizo hadithi za kutisha..
 
Inaonekana unapenda sana kusoma!
Ben mtobwa ndie muandishi wakwanza ninae mkubali,haswa uandishi wake nauona wa pekee ni burudani kusoma riwaya zake..
Ndio napenda sanaaaa... haswa hizi za kijasusi.. visa vya mapenzi sivutiwi navyo sana maana nkishasoma mwanzo tu najikuta mwisho nshaujua.. na nkienda mwisho wa story nakuta ni vilevile na nilivyowaza...
Ila za kina joram lazima nisumbue akiliiii... yani akili haituliii... kama kuna story moja inaitwa "hatia" mwanzo mwisho unashughulisha ubongo😂 ... unatabiri hivi halafu mambo yanageukaaa weee... very interesting 😋
 
Unachotakiwa ni kuchukulia ni hadithi tu usijipe presha kivile.. baada ya kumaliza kusoma hizo hadithi jitahidi kufanya kitu kitakacho relax kichwa chako.. wazo likija unawaza vyengine unaachana na kushuhurisha kichwa chako na hizo hadithi za kutisha..
Kwa kweli sku izi nkikutana na uzi wa story ambayo inahusu nguvu za giza huwa sisomi..
 
Ndio napenda sanaaaa... haswa hizi za kijasusi.. visa vya mapenzi sivutiwi navyo sana maana nkishasoma mwanzo tu najikuta mwisho nshaujua.. na nkienda mwisho wa story nakuta ni vilevile na nilivyowaza...
Ila za kina joram lazima nisumbue akiliiii... yani akili haituliii... kama kuna story moja inaitwa "hatia" mwanzo mwisho unashughulisha ubongo😂 ... unatabiri hivi halafu mambo yanageukaaa weee... very interesting 😋
Nina lakujivunia juu yako!!
Naona nimepata memba mwenzangu msomaji.. ila sahivi nimekuwa mtoro kwenye usomaji!!!!
 
Ahahahaaa... mishughuliko imekua mingi au ni kwanini?
 
Back
Top Bottom