Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mbinguni lazima tuende kwa nini hupendi tukaribishe wageni [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbinguni lazima tuende kwa nini hupendi tukaribishe wageni [emoji28]
Jina halisi naitwa David Christopher
Mahali ninapoishi ni Kahama
Umri wangu ni miaka 19
Jina halisi naitwa David Christopher
Mahali ninapoishi ni Kahama
Umri wangu ni miaka 19
Acha dharau jiheshumu ueshimiweUnajishughulisha na nini labda.... Binti...
Duuh siyo kwa staili hiyo.Mbinguni lazima tuende kwa nini hupendi tukaribishe wageni [emoji28]
Hahahaha hi kelebu afu kajaa mazimaKaribu, jitambulishe.
Ili utambulisho ukamilike ni lazima uweke
-Jina lako halisi
-Picha yako halisi
-Namba yako ya simu
-Umri wako
-Mahali unapoishi.
Hongera sana mkuu..Me nmehitimu mwaka Jana kwa Sasa nangojea tare za kulipoti chuo coz nmechaguliwa butimba Ttc
Kawaida Sana mbona ni kulingana na ulivo tafsir weweHahahaha hi kelebu afu kajaa mazima
Acha ujinga.Unajishughulisha na nini labda.... Binti...
Kwasabu2 napenda kuwa member coz Kuna vitu vingi uwa najifunza kupitia JfHongera sana mkuu..
Je ni kitu gani kilikufanya ujiunge JamiiForum?
Halafu sasa huku huwa hawaweki majina halisi , au picha au namba za simu.Asantee
Poor boy.Namba ya some
O758569880
Asantee kwa kunielewesha maana sikujua I'll mwanzoHalafu sasa huku huwa hawaweki majina halisi , au picha au namba za simu.
Kwa sababu utakosa Uhuru wa kuchangia.
Ila kama utakuwa unachangia mada bila kusema chochote kuhusu serekali haina shida.
😀😀Naomba nikuite kwa jina LA mkuu
Karibu sana jamii forums jisikie upo fb au instagram
DahHalafu sasa huku huwa hawaweki majina halisi , au picha au namba za simu.
Kwa sababu utakosa Uhuru wa kuchangia.
Ila kama utakuwa unachangia mada bila kusema chochote kuhusu serekali haina shida.
Siku za mbele hawezi kuitumia tena hii ID.Poor boy.
Siku za mbele utapitia hii sredi utamani kupigana na watu flani. 🤣🤣🤣🤣🤣
Poor boy.
Siku za mbele utapitia hii sredi utamani kupigana na watu flani. 🤣🤣🤣🤣🤣