Hodi jaman

Hodi jaman

Halafu sasa huku huwa hawaweki majina halisi , au picha au namba za simu.
Kwa sababu utakosa Uhuru wa kuchangia.
Ila kama utakuwa unachangia mada bila kusema chochote kuhusu serekali haina shida.
Dah

Unapenda kuharibu mambo wewe [emoji28]
 
Wewe kabila gani?
Leo unaenda shule?
Unaishi mtaani gani hapo Kahama?
Jamii Forum umeijulia wapi ? (Unafahamu nini kuhusu jamii ?
 
Back
Top Bottom