Hodi Mtwara

Hodi Mtwara

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
5,305
Reaction score
5,355
Naingia Mtwara jioni hii kwa ziara ya kikazi siku tatu naomba kujuzwa lodge nzuri gharama isizidi 35,000 pia sehemu nzuri ya kupata bia mbili tatu ,kamziki katamu na wadada wazuri ambao sio wachoyo na hawana roho mbaya.
 
Naingia mtwara jioni hii kwa ziara ya kikazi siku tatu naomba kujuzwa lodge nzuri gharama isizidi 35,000 pia sehemu nzuri ya kupata bia mbili tatu ,kamziki katamu na wadada wazuri ambao sio wachoyo na hawana roho mbaya
Safiiii
 
Huko si huwa wanasema ukilala lodge usiku wanakuja kukugongea wenyewe .....
 
Maana kule bwana ukicheza hata ziara ya kazi utaharibu,kuwa makini ya mabinti wa hapo,wengi wanatego jeusi,Mimi huku ndio home...
Tego jeusi ndio kitu gani mkuu
 
Karibu mtwara

Ukifika ulizia baa moja inaitwa shutazi....hpo ndani utakula bia na watot kam wote na kuhusu lodge,ipo moja hiyo inaitwa Efl lodge.

Warning
Hakikisha unayo ela maisha ya mtwara yatakusprise.

Naomba kuwasilisha
 
Tego jeusi ndio kitu gani mkuu
Unafanya mapenzi na binti,kumbe mchawi,ukitanaye kimwili tu,asubuhi unashangaa boss anakupigia cm,flan rudi Mara moja ofisini,kuna dharura,na nauli unatumiwa,ukirudi na ndio kazi imeishia hapo,kuwa makini mkuu,jamaa zangu wa tatu hii kitu imewatokea,wakiwa hapohapo mtwara,kwenye kazi moja hivi ya Halmashauri
 
Hapo itabidi ulipwe pesa nyingi mkuu,maana huwezi kuachishwa kazi bila kosa
 
Karibu mtwara

Ukifika ulizia baa moja inaitwa shutazi....hpo ndani utakula bia na watot kam wote na kuhusu lodge,ipo moja hiyo inaitwa Efl lodge.

Warning
Hakikisha unayo ela maisha ya mtwara yatakusprise.

Naomba kuwasilisha
Shukran mkuu ,nitaleta mrejesho
 
Unafanya mapenzi na binti,kumbe mchawi,ukitanaye kimwili tu,asubuhi unashangaa boss anakupigia cm,flan rudi Mara moja ofisini,kuna dharura,na nauli unatumiwa,ukirudi na ndio kazi imeishia hapo,kuwa makini mkuu,jamaa zangu wa tatu hii kitu imewatokea,wakiwa hapohapo mtwara,kwenye kazi moja hivi ya Halmashauri
[emoji3516]
KITU CHA TATEPA.
 
Acha uongo boss
 
Back
Top Bottom