Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiiiiNaingia mtwara jioni hii kwa ziara ya kikazi siku tatu naomba kujuzwa lodge nzuri gharama isizidi 35,000 pia sehemu nzuri ya kupata bia mbili tatu ,kamziki katamu na wadada wazuri ambao sio wachoyo na hawana roho mbaya
Maana kule bwana ukicheza hata ziara ya kazi utaharibu,kuwa makini ya mabinti wa hapo,wengi wanatego jeusi,Mimi huku ndio home...Kivipi mkuu? Unaifahamu mtwara? Au na wewe ni kama mimi
Ilinitokea kahama hyo nakumbuka niligongewa kufungua mlango nikakutana na totoz Kali Kama nne hiviHuko si huwa wanasema ukilala lodge usiku wanakuja kukugongea wenyewe .....
Ulisalimika kweliIlinitokea kahama hyo nakumbuka niligongewa kufungua mlango nikakutana na totoz Kali Kama nne hivi
Unafanya mapenzi na binti,kumbe mchawi,ukitanaye kimwili tu,asubuhi unashangaa boss anakupigia cm,flan rudi Mara moja ofisini,kuna dharura,na nauli unatumiwa,ukirudi na ndio kazi imeishia hapo,kuwa makini mkuu,jamaa zangu wa tatu hii kitu imewatokea,wakiwa hapohapo mtwara,kwenye kazi moja hivi ya HalmashauriTego jeusi ndio kitu gani mkuu
Hapo itabidi ulipwe pesa nyingi mkuu,maana huwezi kuachishwa kazi bila kosaUnafanya mapenzi na binti,kumbe mchawi,ukitanaye kimwili tu,asubuhi unashangaa boss anakupigia cm,flan rudi Mara moja ofisini,kuna dharura,na nauli unatumiwa,ukirudi na ndio kazi imeishia hapo,kuwa makini mkuu,jamaa zangu wa tatu hii kitu imewatokea,wakiwa hapohapo mtwara,kwenye kazi moja hivi ya Halmashauri
Shukran mkuu ,nitaleta mrejeshoKaribu mtwara
Ukifika ulizia baa moja inaitwa shutazi....hpo ndani utakula bia na watot kam wote na kuhusu lodge,ipo moja hiyo inaitwa Efl lodge.
Warning
Hakikisha unayo ela maisha ya mtwara yatakusprise.
Naomba kuwasilisha
[emoji3516]Unafanya mapenzi na binti,kumbe mchawi,ukitanaye kimwili tu,asubuhi unashangaa boss anakupigia cm,flan rudi Mara moja ofisini,kuna dharura,na nauli unatumiwa,ukirudi na ndio kazi imeishia hapo,kuwa makini mkuu,jamaa zangu wa tatu hii kitu imewatokea,wakiwa hapohapo mtwara,kwenye kazi moja hivi ya Halmashauri
Acha uongo bossUnafanya mapenzi na binti,kumbe mchawi,ukitanaye kimwili tu,asubuhi unashangaa boss anakupigia cm,flan rudi Mara moja ofisini,kuna dharura,na nauli unatumiwa,ukirudi na ndio kazi imeishia hapo,kuwa makini mkuu,jamaa zangu wa tatu hii kitu imewatokea,wakiwa hapohapo mtwara,kwenye kazi moja hivi ya Halmashauri