Hatuna ubavu huo ushasema wamewekeza, wao ni madonor kwetu. Ndiyo maana screening ya sisi kwenda kwao ni kali kuliko wao kuja hukuKama waamerika wakizua visa kwa nchi za Afrika nazo hazitotoa visa za waamerika kuingia Afrika na elewe wao wamewekaza sana ktk nchi za Afrika
Unachobisha hasa ni nini sasa wakati unaelewa.Hatuna ubavu huo ushasema wamewekeza, wao ni madonor kwetu. Ndiyo maana screening ya sisi kwenda kwao ni kali kuliko wao kuja huku
Upo vizuri, hii elimu yafaa utafute namna ya kuelimisha na wengine isiishie kwako.wale wenye undugu na wazungu, ama waafrika wapumbav, watakuja hapa kukutukana na kukukosoa,
sio wazungu tu, hata mataifa ya Asia hushirikiana na mataifa ya magharib na USA kuigandamiza afrika, lengo kuu la kugandamiza ni kucontrol population na ulaji wa resources za afrika, wanajua kuwa materials zao nying hutolewa huku, na mali nyingi hutoa uku ili kuendesha nchi zao, pia afrika ni dampo kuu la bidhaa zao feki, ambapo bila afrika baazi ya viwanda vyao vingekufa kabisa, bila afrika masoko ya simu&computer yangekuwa magumu sana, kuanzia vifaa vya uundaji mpk masoko ya computer&simu za hovyo kuwa mashakani.
sera za wachina znawataka kuwa na mtoto mmoja, lkn sahiv wamebadir, hapo awali ilikuwa wakituma baazi ya vijana wao wakiume kuja afrika kufanya kaz maisha yao yote, na ili lilikuwa lengo la kuzaa na wafrika ili kuleta species mpya za machotara ya kichina ambayo baadae yangekuwa kama wachina wenye jamii mbili, ama wachina wapya ktk bara la afrika(watawala wapya), ili nalo limesaidia ku push mahusiano ya china na afrika, kwa bahat mbaya hile lengo nalo lilifeli.
kwa hao watu weupe wa magharibi, hawa ndio wana penda kucontrol Afrika kwa mabavu na roho mbaya, kuliko watu wa Asia ambao hutumia akili kwenye ulaji baran afrika,
watu wa magharib&USA wao hupenda kutumia ubabe kuikomoa afrika na kuicontrol kupitia,
[emoji117]vikwazo vya kiuchumi
[emoji117]magonjwa feki& tiba zake
[emoji117]mikopo umiza
[emoji117]dini zote
[emoji117]elimu uchwara
[emoji117]siasa ya demokrasia
[emoji117]vita vya wenyewe kwa wenyew& makundi ya ugaidi
[emoji117]utegemezi kwnye technology & mawasiliano
hizi zote ni baazi ya njia hutumiwa na mataifa ya magharibi kuinyonya na kuikandamiza afrika, lkn ukwel unabaki pale pale, ni vigumu kuiharibu asili ya ulimwengu huu, mtu mweusi anatambuliwa na nguvu za asili znazoiongoza dunia kwa miaka yote, kwa hiyo inakuwa ngumu kumpoteza ktk ramani mtu mweusi.
ndiomaana nguvu hizo za asili zmkekuwa zikiwashawish watu weusi kutawanyika dunia nzma kwenda kuish huko, kuzaa na wenyeji wa huko, ili kupata uzao wao, na huu uzao , utakuwa ukivifuta vizaz vya white races taratibu, ili kuurudisha uzao wa asili, ambao ni mweusi, haya yanafanyika chini ya sheria za asili za dunia kujisafisha kwa kuondoa takataka za viumbe visivyo vya asili, na hii haifanyik kwa wanadamu tu, bali hata kwa mimea na wanyama walio tengenezwa kwa mchanganyo wa mbegu, mfano makuku ya kisasa, ngombe, mbwa,paka, mimea ya mashambani nk.
mtu mweusi ni lazma aenee dunia nzma na kuijaza kama sheria za ulmwengu znavyomcomand, ndiomana imekuwa ngumu kumzuia, we fikilia tu uko mataifa ya uarabuni kuna kila aina za ukatili na unyanyasaj lkn watu weusi wamekuwa wabishi hawaachi kwenda, miaka yote wanaongezeka, ili nalo ni kwazo kwa watu weupe
kwa msiojua ni kuwa, njama za kumuangamiza mtu mweusi hazijaanza leo wala jana, zmeanza karne nying, ni vile tu historia za vitabu vyao zmeficha mambo, znawaeleza hadith za uongo, mfano history ya afrika yaanzia ktk utumwa, lkn B.C hawaelez kitu kuhusu afrika, haya yote wanajua kuwa mtu mweusi alishawai tawala dunia nzima, na njma zilifanyika kuibomoa ngome za afrika kwa kuzipunguza nguvu, afrika imekuwa ikivamiwa mara nying sana hata kabla ya utumwa, afrika ilivamiwa na watu weup,.lkn walkuwa wakshindwa, mpka pale nguvu za asili zliporuhusu afrika itawaliwe na kupelekwa utumwani kwa miaka400 kwa sabbu yao kuvunja sheria za asili, ikiwa kama azabu ,lkn baada ya muda itajirudi kama mwanzo na kutawala dunia.
watu weupe wote walijarbu kuiangamiza afrika kupitia mambo mengi sana, walianza wazaz wao (alien/fallen Angels) kwa kuleta species mpya za wanyama na wanadamu(white races) ili kufuta viumbe vya asili na kuleta maviumbe ya kisasa ambayo yangekuwa yakitawala pamoja na wanadamu(machotara)
viumbe hao walioletwa il kufuta uzao wa asili ni kama , wanyama wakisasa wafugwao, mimea yote ya kisas, wanyama wa porini mfano manyani, masokwe, mijusi wa kubwa wale dinasor, samaki wakubwa ,hawa wote walikuja ili kuangamiza uzao wa asili ,kwakuwa hawa viumbe wapya walikuwa wakubwa sana basi waliweza kuangamiza viumbe wa asili kiwepes, machotara hao hawakuwa wanyama tu bali mpka wanadamu wakubwa sana(nephilims) ambao ndio chimbuko la uzao wa watu weupe wote dunian,.
hawa viumbe wa asili walipotea baazi baada ya dunia kujisafisha kupitia mafuriko, ambayo ktk stori za vitabu vyao vya dini wanaita gharika la nuhu, uzao wa viumbe wakubwa ulifutika wote, isipokuwa viumbe wadogo ambao ndyo hawa watu weupe wote wanaojarbu mpka leo kuikandamiza afrika kwa kuficha na kuibadiri historia ya dunia, magonjwa ya kutengeneza, na mambo mengi ya hovyo.
Afrika lazma itarud ktk ubora wake, na hili kinafanyika chini ya nguvu za asili za Muumba wa kwel(sio hao miungu wenu wa dini), MUUMBA huyu ndye anayeiongoza dunia kupitia misingi ya sheria zake alizoziweka ili kubalance nature ya maisha bila uarbifu wa mazingira& viumbe,
ndiomaana sheria hizo zivunjwapo huleta negative effects as a results kwa mtu, kwa wazivunjao, sheria hizo ni kama, kutunza mazingira&viumbe hai, sheria za kitamadun, miiko, amri za Muumba kwa watu znazowaongoza kuish vzur ktk jamii mfano, usiue, usitamani chamtu, usiibe, muabudu Muumba wa kweli tu, usizini na mke wa mtu, haya yote yapo kto sheria za asili alzopewa mtu mweus pale alipoumbwa,
Ndizo hizi , hiz sheria hutumiwa na tamaduni zote za mtu mweusi dunia nzima, tangu kale,mpka sasa maana asili bado ipo ndan yao, na pale watu weusi walipozvunja ndpo uzao wa haya mademon na mitoto yao yakaja(mapepo, majini, watu weupe wote,) hawa wote ni zao la uvunjwaji wa sheria kwa mtu mweusi...View attachment 1970078
Wanatuscreen kwasababu hawataki mzigo wa watu kujazana kwao wakati hawana wanachochangia. Huo siyo uoga bali ni akili. Huwezi achia tu watu wakae kae kwakoUnachobisha hasa ni nini sasa wakati unaelewa.
Viongozi wa Afrika wengi ni mapuppet leaders...hawafanyi mambo kwa maslahi ya nchi zao...wazungu wamekuwa wakichukua rasilimali ambazo ndio fedha halisi na kutupa makaratasi au fedha ya kidigitali ambayo haina thamani yeyote...Afrika vizazi vyetu vipo Karibu Sana, ni gusa unate...
Kutuchukua utumwani miaka 500 ilichangia kupunguza saana population...
Wazungu wanajifunza kwa China, so lazima watuwahi, pia viongozi wetu ni taahira hio inachingia pakubwa kufanikisha agenda zao...
Huu ni utopolo kama utopolo mwingine.
Hivi Wazungu wakituacha tubaki na nguo zetu, vyombo vyetu na kila kitu chetu na wao wabaki na vitu vyao nani ataumia?
Wazungu wanaleta kitu ambacho wao pia wanakifanya.
Uzazi wa mpango ni sera ambayo hata wao wanaiishi.
Ni kweli kabisa...nliona kwenye documentary...baadhi ya wahamiaji wamesoma mpka Masters level ..lakini kutokana na uhaba wa ajira wameona bora wakajaribu bahati yao sehemu ingine...kitu ambacho wengi hawajui ni kwamba kwenye nchi za wenzetu wana viwanda vingi hivo uhitaji wa hand workers (cheap labors) ni mkubwa sana...tofauti na kwetu ambapo mwajiri mkubwa ni serikali...Waweza kuta ni graduates wazuri tu!
Zamani walichukuliwa utumwani kwa lazima siku hizi wanagombea wenyewe tena kwa njia za panya au halali viza ubalozini.
Leo biashara ya utumwa ikirudi afrika sidhani kama kuna kijana atakubali kubakia afrika.
Yote hii chanzo ni watawala wa kiafrica wameshindwa kuwakomboa waafrika.Ule msemo wa mwafrika hana uwezo wa kuongoza Jamii ikastawi unapata maksi.
Wakoloni walichukua raslimali kiduchu sana hata robo tu haifiki kulingana na raslimali tele zilizojaa na hazitumiki.
Wakoloni waliweza waletea waafrika maendeleo makubwa Sana ikiwemo kumaliza kabisa tatizo la ajira,masoko ya mazao yao nk.
Watawala wa kiafrica wameshindwa zitumia raslimali tele zilizojaa kuleta ustawi wa maendeleo wa kiafrica.
Matatizo ya mwafrika chanzo ni mwafrika mwenyewe chanzo cha vita congo ni ubinafsi wa mobutu.Congo itakuwa na amani siku kagame akifa, kagame na mseveni ndio wanufaika wakuu wa vurugu za Congo kwa kumiliki makundi ya waasi yanayoiba raslimali za Congo.
Hapa Mzungu anahusika vipi na ukosefu wa amani afrika, ubinafsi ndio chanzo cha vita na vurugu zote afrika.Ubinafsi ni tabia ya watawala wa kiafrica ni kama wapangaji yaani awatazami future ya afrika bali ustawi wa familia zao.
Now that's Crayz joeHalaf kitu kitawamaliza wazungu wengi ni ushoga, wanaume wengi hawawezi kudindisha, wengi ni mapunga. Sasa wamejaribu kupenyeza ushoga Africa wameshindwa. Na bado tunatumia miti shamba kuongeza nguvu za kiume. Hivyo ipo siku wazungu wa kike watakuja kufata marijali huku Africa. Na wamekwisha anza..
Wengi kiasi gani? Mbona CCM wako wachache pale juu na wanatawala Watanzania zaidi ya mil 50 vyovyote watakavyo? Wamarekani ni wangapi? Mbona ubabe wao umetamalaki dunia nzima? Ulevi wa kahawa acheni jamani mnadanganyika mno. Nguvu ya kutawala imo kwenye maarifa sio idadi.Basi wewe utakuwa unaishi dunia yako, Watu wakishakuwa wengi hawatawaliki kirahisi
Hapo tatizo ni mwafrika.principle ya ubinafsi imeapply hapo.Issue ni kuwa hata viongozi wa Afrika wana mabosi zao...ivo ni chaguo lake kuchagua kati ya bosi au wananchi...kagame na museveni wapo pale strategically kuhakikisha wazungu wanapata raw materials cheaply toka Congo...ndomana hawasumbuliwi na west kuhusu demokrasia...hao watatawala mpaka pale western powers watakapopata warithi wao...mfano kagame anataka tena atawale mpaka 2034 huko...
Mmarekani anapata wapinzan China na Russia sio yule unaemzani kashindwa kutua syria anamuogopa Russia.Wengi kiasi gani? Mbona CCM wako wachache pale juu na wanatawala Watanzania zaidi ya mil 50 vyovyote watakavyo? Wamarekani ni wangapi? Mbona ubabe wao umetamalaki dunia nzima? Ulevi wa kahawa acheni jamani mnadanganyika mno. Nguvu ya kutawala imo kwenye maarifa sio idadi.
Mleta Mada Big up!! nimekutamani bure tu jinsi ulivo kichwani daaa!! JF! Ina watu hazina tukiwakusanya wooote nyie tutafungua kampuni kubwa yenye Mafanikio!!Baadhi ya waafrika wakiwa wanavuka kwenda ng'ambo.View attachment 1969988View attachment 1969990View attachment 1969989
Kweli kabisaNyie msioweza kujenga matundu ya vyoo kwa watoto wenu wa shule ndio muwe tishio kwa watu wanaochunguza maisha sayari nyingine huko? Huu ulevi wa kahawa umewazidia naona
Mzungu siku zote halali anatengeneza shida miongoni mwa waafrica!!.... then anatafuta suruhisho kwa kumshawishi adui au anatumia udhaifu wa Mwafrica! kummaliza mweusi! kila mtu hata wao wana udhaifu fiche! na2.Wapi Mzungu anashika silaha kumuua mwafrika.
Hizo silaha wanatuuzia kwa nguvu,hizo silaha zinauzwa afrika pekee,mbona mabara mengine wao awapigani.Mzungu siku zote halali anatengeneza shida miongoni mwa waafrica!!.... then anatafuta suruhisho kwa kumshawishi adui au anatumia udhaifu wa Mwafrica! kummaliza mweusi! kila mtu hata wao wana udhaifu fiche! na
sisi tunaudhaifu pia!! wanatumia huo mwanya kutupiganisha! kutunyonya,kututawala.....wao wajijengea uzio kitambo hawafikiki kirahisi!! na sisi tulio wengi hatulijui hilo bali tunawaona ni watakatifu! sijui umenielewa?!...
km hawashiki silaha wapi kunakiwanda cha kuzalisha silaha, magari ya kijeshi, mabomu vifaru, risasi nk africa hii?....wanajua tu! siku tukishikamana tukawa wamoja hivi wao wamekwisha!!
Hkn tajiri Africa anaeweza kupiganisha vita km ile ya ANGOLA hata kwa mwaka mmoja tu na asifirisike, hizi akili zako ni sawa sawa kabisa na saddamu au Gaddafi walivo kufa utasema ni waliuawa na waarabu wenzao.... sasa utakuwa una akili kweli weye!
Hizo silaha wanatuuzia kwa nguvu,
Siraha unapewa bure tu! Mabara mengine hawana Mali nyingi km Africa na wala siyo tishio!mbona mabara mengine wao awapigani.
wapiganie nini wkt hawana Mali! sisi huku africa tuna kila aina ya Mali Duniani! kwenye ardhi hii!! kwanza ni salama hatuna majangakabisaa!Mbona wazungu wenzao wanaunua silaha lakini awapigani.
uchonganishi na kukuza migogoro ya africa!wanapiganishwa Mzungu kosa lake lipo wapi,
sasa kama counter za police kuna vyoo vinatumika!! self cotainer kunaubaya gani msamaria mwema akinishauri kwenda kujisaidia?? uzuzu wangu uko wapi hapo??kajisaidie kaunta za police nawe unaenda kama zuzu kosa ni la nani.
Km fisadi tunalo hapa kwetu limejenga hapa, linatumia hela hapa kosa liko wapi!! siyo km wao wanapeleka Ulaya! sisi siyo wavivu mabarabara yoote haya nchi nzima. maghorofa ya kufa mtu tumejenga sisi wenyewe!! labda kwenu huko nanjilinji ndo wavivu.Je ufisadi, uvivu, uchawi, upigaji,rushwa,ukabila, ubinafsi,udikteta vimeletwa na Mzungu?
haki zikizidi ni uwenda wazimu!! haki iwe na mipaka shetani alitaka haki ya kukaa kiti cha enzi cha Mungu!! alichokipata unakijua! je na wewe unafuata mfano wake!! hata paradiso kuna madaraja huwezi kuwa daraja moja na wateule tulio waweka sisi wengi ni ukichaa huo!ukosefu wa haki unapotoweka panapo haki uongozi bora vita itokee wapi?
sijashindwa kuvitumia bali kila chenye thamani kwangu nimevihifadhi!! kwa matumizi ya baadae! ni ujinga kula chakula chote gharani ukafikiri ndo ujanja kwa familia yako! napo yaacha yale madini kunafaida nazo pata kimazingira!Umepewa KILA kitu ambacho mabara mengine hawana unashindwa kutumia unamlaumu Mzungu.Umepewa chuma then pembeni umepewa makaa ya mawe unashindwa zalisha chuma, umepewa ardhi yenye rutuba ukapewa mto Mzungu kosa lake nn.
kwani hujui ya kale dhahabu au ndo maatizo ya kusomea St kayumba!! jiongeze bro!Mliosoma zamani mnaufinyu wa mawazo silabus za ujamaa ziliwalimit fikra.
Wazungu hawakutuletea maendeleo wamekudanganya mnooo! barabara viwanda, shule nzuri tumejenga, nyumba nzuri, umeme nchi nzima sisi wenyewe! kwa mikono yetu! siyo weupe!Mengi tuliosoma kuhusu historia ni uongo na chuki silabus zile ziliandaliwa na watawala wa kiafrica kama namna ya kuwatupia lawama wazungu juu ya kushindwa kwao kuwaletea waafrika maendeleo.
Kwann hatuendelei hali tuna kila kitu.Siraha unapewa bure tu! Mabara mengine hawana Mali nyingi km Africa na wala siyo tishio!
wapiganie nini wkt hawana Mali! sisi huku africa tuna kila aina ya Mali Duniani! kwenye ardhi hii!! kwanza ni salama hatuna majangakabisaa!
uchonganishi na kukuza migogoro ya africa!
sasa kama counter za police kuna vyoo vinatumika!! self cotainer kunaubaya gani msamaria mwema akinishauri kwenda kujisaidia?? uzuzu wangu uko wapi hapo??
Km fisadi tunalo hapa kwetu limejenga hapa, linatumia hela hapa kosa liko wapi!! siyo km wao wanapeleka Ulaya! sisi siyo wavivu mabarabara yoote haya nchi nzima. maghorofa ya kufa mtu tumejenga sisi wenyewe!! labda kwenu huko nanjilinji ndo wavivu.
kusimami nchi kiukakamavu siyo madikteta labda umekariri! uchawi ni udaktari wetu wa asili tunauenzi, kujipenda siyo ubinafsi, sisi ni wabantu siyo wakabila!
haki zikizidi ni uwenda wazimu!! haki iwe na mipaka shetani alitaka haki ya kukaa kiti cha enzi cha Mungu!! alichokipata unakijua! je na wewe unafuata mfano wake!! hata paradiso kuna madaraja huwezi kuwa daraja moja na wateule tulio waweka sisi wengi ni ukichaa huo!
sijashindwa kuvitumia bali kila chenye thamani kwangu nimevihifadhi!! kwa matumizi ya baadae! ni ujinga kula chakula chote gharani ukafikiri ndo ujanja kwa familia yako! napo yaacha yale madini kunafaida nazo pata kimazingira!
kwani hujui ya kale dhahabu au ndo maatizo ya kusomea St kayumba!! jiongeze bro!
Wazungu hawakutuletea maendeleo wamekudanganya mnooo! barabara viwanda, shule nzuri tumejenga, nyumba nzuri, umeme nchi nzima sisi wenyewe! kwa mikono yetu! siyo weupe!
Hayo mengi ya historia ulio soma ni Yenu wana vijii mtapata wapi historia nzuri km sisi wkt Meli haifiki huko??? huko mbwinde kwenu sie Maborn town tulisoma syrabus za kimataifa...
zile bana hazina hayo makorokocho! ndo maana tuna uelewa wa hali ya juu kuhusu kilicho chetu!! hatudanganyiki... sasa je! na sisi ndo tuna shika mihimili ya nchi! hakuna jinsi kwa siasa zako hizo itakubdi utufuate tunavotaka sisi!
Ngoja nikwambie wewe ktk sylubus yeyote ile kuna vitabu vya kiada na ziada walimu wazuri waliotufundisha wanalijua hili wewe ulifundishwa na wasio jua ukabaki sehemu moja tu ndo maana uko ivi uongo? kanusha!!!
Sasa km huyo Mwalimu wako wa Upe alikufundisha historia ya uongo, hata teaching methodology haijui wajameni kosa letu sisi nini?mwee!! unalaumu vipi watawala?? Kwanza washukuru drs uliliona,
km wazungu walitupiwa lawama mbona hawakanushi?? wewe nani mpaka ujikombe ivo??? Maria sarungi si mzungu nusu yule hata humu yumo mbona hakanushi?? unawasafisha ili iweje???? au wapi wewe uliye soma vizuri umewasafisha hao wauza watumwa hao???
tena walivo na dharau watakutemea hata mate!! unadhani ukisema ivo watakupenda mweee!! muulize savimbi aliwaramba miguuwakamfundisha lugha zao kumi na tisa lkn kilicho mpata mpaka leo ni historia hayaaaaa.....utarudi huku tu ni suala la muda!