Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Asababishe vita Ili iweje sasa hali raslimali yeyeto waitakayo afrika uipata kama wawekezaji pasipohaja ya kuingia gharama kugharamia vita.
Na huwezi ukaanzisha vita palipo na haki. Eti kupunguza race ya waafrika huu ni utopolo na muendelezo wa propaganda mfu za miaka ya 70.
Wachina na wahindi ndio wengi duniani kuliko weusi hata kama tunazaliana Sana still tuna kufa mapema mno kwa maradhi,njaa,lishe duni.
Sisi tutatue matatizo yetu wenyewe tusiwape wengine lawama ya kushindwa kwetu.