Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

wanastahili kufa tena wachapeni viboko mahiti zao maana ni mikosi.......ardhi yooote hii!...ukicheka na nyani ndo hao sasa!!! sawa na walee watumishi waliopewa talanta na bwana wao wakachimbia.......
We kama unasaza jua watz wengi tu hata mlo kwa siku ni tabu,watu wakila leo kesho wanapiga deshi hadi kesho kutwa.
Ndo maana nikasema ukiwa unashiba ni rahisi kumwaga chakula.
Ukimudu kupanda daladala uamini mtembea kwa miguu ni mjinga mvivu.
Ungetembea hata kijiji kimoja uyajue maisha halisi ungeelewa.
 
wao ni wao sisi ni sisi tuna taratibu zetu zifuate hutaki si kaishi nao! uone muziki wake!! km hujakuja huku unalia....MUZiki wa china urusi uko kivingine kabisa wala haufanani na wa iraq
Kule awapigani sababu watawala na watawaliwa utimizana wajibu.
Sisi tunalipa kodi lakini zinaenda kutumika kufadhili hitaji la wanasiasa na sio la walipa kodi nani alikuwa shida ya watz ni kujenga Dodoma, kununua ndege, kununua wapinzani, kujenga Chato airport, kupambana na upinzani.
 
Angalia report ya leo kuhusu world population,aliyekudanganya eti waafrika ni wengi duniani kuliko race zote nani.
Hata tu jumla ya wazungu wote tu hatuwafikii
Distribution of the global population 2021, by continent

Wirld population leo ni 7.9billion.

Share of the global population

Asia 59.33%
Africa 17.51%
Europe 9.77%
Latin America and the Carribean
8.37%
Northern America 4.73%
Oceania 0.56%

Ref: © Statista 2022
I rest my case.
 
Manyara mifugo inakufa ukame
walikurupika kufuga na hawana akili!! Mtwara yooote ile, Mikindani, Lindi, bonde la rufiji, kuleee Mto mara Tarime, ukija mpaka isbania, haya Msimbati yoote ile!! huko malisho ni karibu na bureee!

wanashindwa nini kupeleka mifugo yao huko?? hawako strategic!! ni suala la ku survey tu wanaongea na sirikali za kijiji husika baaasi wanapewa eneo tena buuuure!

Hao wamekurupuka kufuga! ile Elimu ya kufuga ya asili waliidharau ndo km hayo sasa! kuhusu mifugo yao!! Tarime yoote kule wamehifadhi misitu ajili ya mvua! vyanzo vya maji vimelindwa na kuheshimiwa vibaya sana tangu zama!!

tena wana akili hiyo vizazi na vizazi kwa hiyo maji si tatizo kwao! mpaka kesho na hawatumii mabomba ya kisasa, wao ni matank ya udongo kam tanuri ya tofali ya kienyeji makubwa km mitungi yanahifadhi hata lita laki nne!

na elimu km hii siyo mpaka uende shule!! ni wazee wa kimila kukaa tu nakuamua tufanyeje sasa!! hao huko manyara wamekumbatia usasa wakasahu mila na desturi zao mbona zamani waliishi na mvua za kutosha?
images (4).jpg
ukikusanya maji yako ya mvua ukaweka humu tenki la tope la kuchoma hili ajili ya mifugo na matumizi!! nani ata kudai kodi??/ nakuuliza!! km mvua zipo za kutosha!! hazipo km kiji mjiulize kwa nini? je mnatunza mazingira vizuri? iteni wazee wa kimila tatizo lenu mana wadharau ajili ya kukumbatia usasa!! wanakufa na ujuzi wao!
 
Habari za muda huu wadau wote wa Jf!

Naomba niandike nakala fupi tu kwa leo ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema.

Ukweli ni kwamba Mataifa ya ulaya hata magharibi yamekuwa na hofu kubwa sana juu ya waafrika pamoja na bara lao. Hofu hii inakuja baada ya mipango yao kufeli kwa kiasi kikubwa katika bara hili.

Nitazungumzia mipango miwili mikubwa ambayo imefeli wa kwanza ni uzazi wa mpango.

Uzazi wa mpango kwa Afrika umefeli kiasi kikubwa sana, Wazungu walidhani wangeweza kucontrol African population kwa kutumia uzazi wa mpango na kuwaminya viongozi wetu kuhakikisha uzazi wa mpango unafanya kazi pia kuwapa conditions kali za kuwafanya watu wasizaane hasa mimba za mapema. Pia walileta organizations mbali mbali kuhakikisha wanafuatilia population ya Africa kwa umakini, Organizations ambazo hata sasa baadhi bado zipo hata Tanzania. Pamoja na hilo walihakikisha uzazi wa mpango unawafikia wa Africa upesi sana na bure au kwa gharama nafuu hii yote ni kucontrol population ya waafrica.

Njia ya pili ilikuwa ni kuwagombanisha Waafrica. Yaani kuwapa support waasi na kuanzisha mapigano dhidi ga serikali kuu. Waliiamini Taifa lenye mali kama mafuta, dhahabu na almasi yatakuwa ni mataifa imara siku moja na yenye watu wengi. Hivyo walitumia njia hizi ambazo kwa sasa zinaenda zikiisha nguvu kwa kasi kubwa sana.

Mfano Congo ambao wamepigana mda mrefu na sasa mapigano yakienda kutulia baadhi ya sehemu. Na pia Congo kukataa uzazi wa mpango nchini kwao nakusema watu wazaane nchi bado ni kubwa mapori ni mengi.

Wazungu waliona jambo hili mapema sana kwao wakadhani watamwadaa mwafrika katika maisha yao yote sababu hana uwezo wa kufikiri.

Kwanini Population ya waafrika ni tishio ulaya?

Population ya waafrika ni tishio kubwa sana Katika nchi za ulaya. Hii kwamba wanaamini ndani ya miaka hamsini ijayo hadi mia basi sehemu kubwa ya dunia itakuwa inatawalia na waafrika.

Pia wamekuwa na hofu kubwa sana juu Race yao na kupotea kwa origin yao. Hii ni kutokana na dhana yao ya "Civilisation" kwamba mtu aliye elimika basi kuwa na mtoto mmoja au wawili.

Sera hii ambayo kwa sasa imewafanya nchi zao kuwa na wazee wengi na vijana wachache ambao wanazaa watoto wachache tena uzeeni au mwanzo wa uzee.

Wakati Afrika ni ngumu sana kumkuta mwanamke wa miaka 28 hana mtoto. Tafiti zilizofanyika na shirika la watoto duniani. Mwaka 2019 zilisema katika nyumba kumi za waafrika, kuna watoto kumi hadi kumi na tano wenye umri chini ya miaka nane, pia katika nyumba hizi kumi ni nyumba mbili ambazo unaweza kuta hamna watoto maani ni asilimia 20 tu. Wewe pia unaweza fanya tafiti hii ndogo hapo mtaani kwako.

Ongezeko la waafrika limekuwa ni hofu kubwa sana kwa mataifa ya Ulaya kama nilivyosema hapo awali. Hii ni kutokana na waafrika wengi kuondoka nchini mwao au barani mwao kwenda kutafuta maisha Ulaya na nchi za magharibi. Wakifika huko waafrika wamekuwa na utamaduni ule ule wa kuzaa na kuendelea kuongezeka hata huko walipo na kufanya wazidi kuendelea kuongezeka kwa kasi.

Wikipedia inasema hivi,

Since the 1960s, the main source countries of migration from Africa to Europe have been Morocco, Algeria and Tunisia, resulting in large diasporas with origins in these countries by the end of the 20th century. In the period following the 1973 oil crisis, immigration controls in European states were tightened. The effect of this was not to reduce migration from North Africa but rather to encourage permanent settlement of previously temporary migrants and associated family migration. Much of this migration was from the Maghreb to France, The Netherlands, Belgium and Germany. From the second half of the 1980s, the destination countries for migrants from the Maghreb broadened to include Spain and Italy, as a result of increased demand for low-skilled labour in those countries.[8]

Spain and Italy imposed visa requirements on migrants from the Maghreb in the early 1990s, and the result was an increase in illegal migration across the Mediterranean. Since 2000, the source countries of this illegal migration have grown to include sub-Saharan African states.[8]

During 2000–2005, an estimated 440,000 people per year emigrated from Africa, most of them to Europe.[9] According to Hein de Haas, the director of the International Migration Institute at the University of Oxford, public discourse on African migration to Europe portrays the phenomenon as an "exodus", largely composed of illegal migrants, driven by conflict and poverty. He criticises this portrayal, arguing that the illegal migrants are often well educated and able to afford the considerable cost of the journey to Europe.

Migration from Africa to Europe, he argues, "is fuelled by a structural demand for cheap migrant labour in informal sectors". Most migrate on their own initiative, rather than being the victims of traffickers. Furthermore, he argues that whereas the media and popular perceptions see irregular migrants as mostly arriving by sea, most actually arrive on tourist visas or with false documentation, or enter via the Spanish enclaves, Ceuta and Melilla. He states that "the majority of irregular African migrants enter Europe legally and subsequently overstay their visas".[8] Similarly, migration expert Stephen Castles argues that "Despite the media hysteria on the growth of African migration to Europe, actual numbers seem quite small – although there is a surprising lack of precision in the data".[10]

According to the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD), migration from African countries to more developed states is small in comparison to overall migration worldwide. The BBC reported in 2007 that the International Organization for Migration estimates that around 4.6 million African migrants live in Europe, but that the Migration Policy Institute estimates that between 7 and 8 million illegal migrants from Africa live in the EU.[11]

Kwa sasa Tafiti zinasema kwamba kwa siku waafrika zaidi ya elfu kumi wanahamia Ulaya kwa njia ambazo sio halali. Hii ni kila siku unayoiona wewe waafrika elfu kumi wanavuka Mediteranian sea kwenda ulaya.
Kumekuwa na njama nyingi za kuwaua waafrika hawa na kusema boat zao zimezama watu kadhaa wamefariki ila ukweli kuna jambo nyuma ya pazia. Nadhani wachangia hoja wataweka baadhi.

Ukweli ukitafakali sana mwendo anaoenda nao mwafrika ni kweli ipo siku hii Race itakuwa ni race yenye nguvu duniani sio kwa Teknolojia au Elimu bali kwa wingi wao. Miaka inayokuja viongozi wa mataifa ya ulaya tusishangae kuona ni wamatumbi. Kama Tulivyoanza na USA na amini ipo siku itakuwa duniani kote.

Na waasa sana Waafrika tujichunge sana maana Ongezeko letu sio pendezo kwa mataifa mengine. Chunga uhai wako tuwe wadadisi kwa vitu tunavyoletewa. Pia waafrika wenzangu tuwatunze watoto tunaowazaa kwa kuwalea vyema kwa kufanya kazi kuwalisha ili waweze kuwa imara wenye afya.
Hatua ya kwanza. USICHANJEEEE lije jua Ije mvua!!!
 
We kama unasaza jua watz wengi tu hata mlo kwa siku ni tabu,watu wakila leo kesho wanapiga deshi hadi kesho kutwa.
Ndo maana nikasema ukiwa unashiba ni rahisi kumwaga chakula.
Ukimudu kupanda daladala uamini mtembea kwa miguu ni mjinga mvivu.
Ungetembea hata kijiji kimoja uyajue maisha halisi ungeelewa.
Bongo nimetembea sana!! si hapo tu mpaka Lesotho vijijini huko, swaz vijijini hasa, Bongo na kenya ndo usinambie kabisaaa!! tena kwa east Africa kenya wako njema sana! ktk kuishi kikawaida!

Mtwara nilikaa kabisaa nikaweka kambi hawana strategic plan za kawaida kabisaaa!! hata kujenga nyumba zao tu za kuishi ni msala! Matope makuti yapo hapo tena mazuri kuliko ya Bukoba! nitofauti sana na wahaya! wanyamwezi na wasukuma!!

Mahurunga yooote ile na vijiji jirani ni mapori mazuri sana kwa kilimo na ufugaji kabisaa. na hata wafugaji wengi mtwara ni kutoka mikoa mingine!! tatizo kubwa ni mahali alipo kaa mwarabu ndo pana shida sana! chunguza!

Hkn watu wanao jituma kuzalisha mashambani nakutunza mazingira km wachaga, wasukuma, wanyakyusa, wakurya nk!! huko nimeishi nao! na kuwajua kwa karibu mno!!

hao hawaoni tabu wanashinda mashambani kula ni hukohuko! ni km wamefanya burudani flani hivi kuzalisha mali, na kweli na wanavyakula tele!...msukuma kulima mwili unamsisimka kufanya ivo!
 
Makala yako ni parochial , narrow minded.
Africa population 1.34 bil
China peke yske1.43 bil
India 1.38 bil
Kwanini threat iwe Africa tu wakati Asia peke yake ina 4.6 bil.
Binafsi naamini hilo andiko hata kama ni narrow. Nina sababu dhaifu zifuatazo
+Sensa za waafrika huwaacha watu wengi bila kuhesabiwa. Takwimu hizo ni za kukadiria tu. Waafrika wako zaidi ya hao.
+Hao mabilioni ya wa Asia na huko ulaya ni pamoja na waafrika.
+Kampeni kali ya uzazi wa mpango kwa gharama kubwa kiasi hiki ni ishara kuwa race hii inafanyiwa mpango ipotee.
+nyongeza ni kuwa, licha ya kuogopa ongezeko la race hii, wanahangaika kuibakiza Afrika na watu wachache watakaomezwa na weupe ili iwe rahisi kuvuna mali asili za Afrika.
 
Facts and figures can never make a narrow argument.
Counter the facts and figures by your own.
Hii kuota na kuwa na opinions baada ya ndoto, is what makes us Africans very un scientific.
 
Ulichokisahau ni kuwa wazungu wako opposite na kila kitu cha Afrika. Tafiti zetu hazipewi nafasi hata kama zina uhalisia ndani yake. Gunduzi zetu hupigwa vita kali zisitumike duniani hasa zile za kuchochea maendeleo yetu na zenye kujenga misingi ya kujitegemea.

Kama kweli hawaogopi kwanini hutishia, huhonga na hata kuwaua viongozi wa Afrika wanaoonekana kupinga sera dhulumaji zao? Jibu ni moja Afrika ni tishio kwao.

Unekaririshwa mrengo wao utakuwa kwao daima.
 
Facts and figures buddy, not hot air!
 
Binafsi naamini hilo andiko hata kama ni narrow. Nina sababu dhaifu zifuatazo
+Sensa za waafrika huwaacha watu wengi bila kuhesabiwa. Takwimu hizo ni za kukadiria tu. Waafrika wako zaidi ya hao.
+Hao mabilioni ya wa Asia na huko ulaya ni pamoja na waafrika.
+Kampeni kali ya uzazi wa mpango kwa gharama kubwa kiasi hiki ni ishara kuwa race hii inafanyiwa mpango ipotee.
+nyongeza ni kuwa, licha ya kuogopa ongezeko la race hii, wanahangaika kuibakiza Afrika na watu wachache watakaomezwa na weupe ili iwe rahisi kuvuna mali asili za Afrika.
Kampeni za uzazi wa mpango zipo nzima kwa race zote, Ingekuwa zipo afrika pekee hoja yako Ingekuwa na mashiko
 
Ulichokisahau ni kuwa wazungu wako opposite na kila kitu cha Afrika. Tafiti zetu hazipewi nafasi hata kama zina uhalisia ndani yake. Gunduzi zetu hupigwa vita kali zisitumike duniani hasa zile za kuchochea maendeleo yetu na zenye kujenga misingi ya kujitegemea.

Kama kweli hawaogopi kwanini hutishia, huhonga na hata kuwaua viongozi wa Afrika wanaoonekana kupinga sera dhulumaji zao? Jibu ni moja Afrika ni tishio kwao.

Unekaririshwa mrengo wao utakuwa kwao daima.
Hizo ni nadharia tu,hizo tafiti za maendeleo je tumezuiwa kuzipractice Ili zilete changes,nani anatuzuia kulima na kuuza China,kupanda miti, kujenga miundombinu ya umwagaliaji, kubadili mifumo mfu ya elimu yetu, kuchimba madini yetu wenyewe,nk.
 
Nina wasiwasi na uelewa wako. Nimeongea kwa lugha nyepesi sana. Nani anapanga bei za bidhaa soko la dunia. Utakima na kuuza kwa nani kwa bei wanayotaka wao au unayotaka wewe. Wakulima wao wana bima, sisi wakulima wetu hawawezi hata kununua mfuko wa mbolea.

Kifupi wameikamata Afrika na baadhi ya nchi kama kwa akina Maduro kwa kuweka vikwazo kwa kila hatua ya maendeleo.

Wanafadhili kondomu bure lakini siyo elimu, maji, umeme na teknolojia. Wanafadhili na kuhimiza kulima maparachichi, kahawa na chai siyo mahindi, maharage na mchele. Raha yao ni kuiona Afrika ina njaa, ujinga na umaskini.

Kifupi wako busy kutuuzia dawa tena za kiwango cha chini, vifaa vya teknolojia ya chini n.k kwa kigezo cha umaskini wetu uliotengenezwa na wao. Jiulize nani amefadhili mradi wa umeme wa mwl Nyerere.
 
Habari za muda huu wadau wote wa Jf!

Naomba niandike nakala fupi tu kwa leo ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema.

Ukweli ni kwamba Mataifa ya ulaya hata magharibi yamekuwa na hofu kubwa sana juu ya waafrika pamoja na bara lao. Hofu hii inakuja baada ya mipango yao kufeli kwa kiasi kikubwa katika bara hili.

Nitazungumzia mipango miwili mikubwa ambayo imefeli wa kwanza ni uzazi wa mpango.

Uzazi wa mpango kwa Afrika umefeli kiasi kikubwa sana, Wazungu walidhani wangeweza kucontrol African population kwa kutumia uzazi wa mpango na kuwaminya viongozi wetu kuhakikisha uzazi wa mpango unafanya kazi pia kuwapa conditions kali za kuwafanya watu wasizaane hasa mimba za mapema. Pia walileta organizations mbali mbali kuhakikisha wanafuatilia population ya Africa kwa umakini, Organizations ambazo hata sasa baadhi bado zipo hata Tanzania. Pamoja na hilo walihakikisha uzazi wa mpango unawafikia wa Africa upesi sana na bure au kwa gharama nafuu hii yote ni kucontrol population ya waafrica.

Njia ya pili ilikuwa ni kuwagombanisha Waafrica. Yaani kuwapa support waasi na kuanzisha mapigano dhidi ga serikali kuu. Waliiamini Taifa lenye mali kama mafuta, dhahabu na almasi yatakuwa ni mataifa imara siku moja na yenye watu wengi. Hivyo walitumia njia hizi ambazo kwa sasa zinaenda zikiisha nguvu kwa kasi kubwa sana.

Mfano Congo ambao wamepigana mda mrefu na sasa mapigano yakienda kutulia baadhi ya sehemu. Na pia Congo kukataa uzazi wa mpango nchini kwao nakusema watu wazaane nchi bado ni kubwa mapori ni mengi.

Wazungu waliona jambo hili mapema sana kwao wakadhani watamwadaa mwafrika katika maisha yao yote sababu hana uwezo wa kufikiri.

Kwanini Population ya waafrika ni tishio ulaya?

Population ya waafrika ni tishio kubwa sana Katika nchi za ulaya. Hii kwamba wanaamini ndani ya miaka hamsini ijayo hadi mia basi sehemu kubwa ya dunia itakuwa inatawalia na waafrika.

Pia wamekuwa na hofu kubwa sana juu Race yao na kupotea kwa origin yao. Hii ni kutokana na dhana yao ya "Civilisation" kwamba mtu aliye elimika basi kuwa na mtoto mmoja au wawili.

Sera hii ambayo kwa sasa imewafanya nchi zao kuwa na wazee wengi na vijana wachache ambao wanazaa watoto wachache tena uzeeni au mwanzo wa uzee.

Wakati Afrika ni ngumu sana kumkuta mwanamke wa miaka 28 hana mtoto. Tafiti zilizofanyika na shirika la watoto duniani. Mwaka 2019 zilisema katika nyumba kumi za waafrika, kuna watoto kumi hadi kumi na tano wenye umri chini ya miaka nane, pia katika nyumba hizi kumi ni nyumba mbili ambazo unaweza kuta hamna watoto maani ni asilimia 20 tu. Wewe pia unaweza fanya tafiti hii ndogo hapo mtaani kwako.

Ongezeko la waafrika limekuwa ni hofu kubwa sana kwa mataifa ya Ulaya kama nilivyosema hapo awali. Hii ni kutokana na waafrika wengi kuondoka nchini mwao au barani mwao kwenda kutafuta maisha Ulaya na nchi za magharibi. Wakifika huko waafrika wamekuwa na utamaduni ule ule wa kuzaa na kuendelea kuongezeka hata huko walipo na kufanya wazidi kuendelea kuongezeka kwa kasi.

Wikipedia inasema hivi,

Since the 1960s, the main source countries of migration from Africa to Europe have been Morocco, Algeria and Tunisia, resulting in large diasporas with origins in these countries by the end of the 20th century. In the period following the 1973 oil crisis, immigration controls in European states were tightened. The effect of this was not to reduce migration from North Africa but rather to encourage permanent settlement of previously temporary migrants and associated family migration. Much of this migration was from the Maghreb to France, The Netherlands, Belgium and Germany. From the second half of the 1980s, the destination countries for migrants from the Maghreb broadened to include Spain and Italy, as a result of increased demand for low-skilled labour in those countries.[8]

Spain and Italy imposed visa requirements on migrants from the Maghreb in the early 1990s, and the result was an increase in illegal migration across the Mediterranean. Since 2000, the source countries of this illegal migration have grown to include sub-Saharan African states.[8]

During 2000–2005, an estimated 440,000 people per year emigrated from Africa, most of them to Europe.[9] According to Hein de Haas, the director of the International Migration Institute at the University of Oxford, public discourse on African migration to Europe portrays the phenomenon as an "exodus", largely composed of illegal migrants, driven by conflict and poverty. He criticises this portrayal, arguing that the illegal migrants are often well educated and able to afford the considerable cost of the journey to Europe.

Migration from Africa to Europe, he argues, "is fuelled by a structural demand for cheap migrant labour in informal sectors". Most migrate on their own initiative, rather than being the victims of traffickers. Furthermore, he argues that whereas the media and popular perceptions see irregular migrants as mostly arriving by sea, most actually arrive on tourist visas or with false documentation, or enter via the Spanish enclaves, Ceuta and Melilla. He states that "the majority of irregular African migrants enter Europe legally and subsequently overstay their visas".[8] Similarly, migration expert Stephen Castles argues that "Despite the media hysteria on the growth of African migration to Europe, actual numbers seem quite small – although there is a surprising lack of precision in the data".[10]

According to the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD), migration from African countries to more developed states is small in comparison to overall migration worldwide. The BBC reported in 2007 that the International Organization for Migration estimates that around 4.6 million African migrants live in Europe, but that the Migration Policy Institute estimates that between 7 and 8 million illegal migrants from Africa live in the EU.[11]

Kwa sasa Tafiti zinasema kwamba kwa siku waafrika zaidi ya elfu kumi wanahamia Ulaya kwa njia ambazo sio halali. Hii ni kila siku unayoiona wewe waafrika elfu kumi wanavuka Mediteranian sea kwenda ulaya.
Kumekuwa na njama nyingi za kuwaua waafrika hawa na kusema boat zao zimezama watu kadhaa wamefariki ila ukweli kuna jambo nyuma ya pazia. Nadhani wachangia hoja wataweka baadhi.

Ukweli ukitafakali sana mwendo anaoenda nao mwafrika ni kweli ipo siku hii Race itakuwa ni race yenye nguvu duniani sio kwa Teknolojia au Elimu bali kwa wingi wao. Miaka inayokuja viongozi wa mataifa ya ulaya tusishangae kuona ni wamatumbi. Kama Tulivyoanza na USA na amini ipo siku itakuwa duniani kote.

Na waasa sana Waafrika tujichunge sana maana Ongezeko letu sio pendezo kwa mataifa mengine. Chunga uhai wako tuwe wadadisi kwa vitu tunavyoletewa. Pia waafrika wenzangu tuwatunze watoto tunaowazaa kwa kuwalea vyema kwa kufanya kazi kuwalisha ili waweze kuwa imara wenye afya.
kweli mkuu pia umesahau mnamna walivotengeneza virusi vya ukimwi,ebola na corona
 
Yale yale ya mfalme farao wa Misri aliyowafanyia wayahudi original...na Mungu alimwambia Musa wayahudi wasipo zishika amri zangu wata rudi Misri kwa mitumbwi.....safari ambayo hawatarudi tena ktk nchi yao ya ahadi....Misri ni Africa. Na kweli viafrica vilivyo bskia israel/palestina ni vichache mnoo...havitambuliki wengi tulikimbilia Misri yaani africa....lkn wkt ule wa zama za utawala wa wagiriki na waroma. Tulipofika Misri tu..nao wakatufukuza wakisema viyahudi (wabantu)vime fukuzwa kwao vinakuja huku kwetu...nao wakatufukuza zaidi tukaelekea kusini zaidi na magharibi zaidi ndo maana lugha zetu africa ya wabantu zina fanana saaana.....lkn pia wakatufuata kusini ya afeica na tukauzwa km watumwa Ulaya na USA.biashara ambayo imeisha hivi karibuni tu miaka takribani 100 ilopita.naabaki yapi hapo zanzi bar .bagamoyo nendeni mkajioneee!!.....watumwa ni waafrica tuu!! Muarabu wala mzungu...hana historia hiyo......Biblia ni kitabu cha Historia ya mweusi.....tu hata iweje! Mkisome muelewe.angalia sasa bongo tuko million 60. Kutoka millio 5-10....baada ya uhuru.....kabla tulikuwa millioni moja...tusingeuzwa/family planning tungekuwa milllion mia tatu mpaka sasa.....lkn hata wafanyeje waafrica tutazaa sana tu......mana tuna vizalio vitamu sana. hata wao wana kili sisi weusi ni watamu mnooo! Ukibisha uliza demu anaye chepuka na Mzungu........
 
Nani anaeweka viongozi wasiojielewa madarakani,kama awajielewi kwann msiwatupe jela,ni afrika pekee ndipo kiongozi anayo kinga ya kutokushtakiwa hata akifanya uovu wowote ruksa kuiba,kuuwa,kupora wake za watu, kuweka ndugu zake madarakani,kujipendelea kwao,mabara mengine kiongozi ukifanya hivyo utapotea jela milele.
Kule Wana viongozi afrika kuna watawala ambao wengi wamejiweka wao madarakani.
Afrika sanduku la kura haliheshimiwi ni la kutimizia wajibu tu kuwahadaa watoa misaada yaani wafadhili.
acha uongo weye!!! Viongozi wa kule wako juu ya sheria na wanachaguliwa kufuata blood line tu!! Kwa mfano Bush family....kennedy family.mervengian family na hawa ni mtajiri wa kutupwa taaangu zama za mataifa ya ulaya yanyanyuke kiuchumi......familia hizo zooote ndo zina control uchumi wa Duniani kote.ndo wamiliki wa Bank kuu zote Duniani isipokuwa nchi chache mnoo na africa hkn km urusi.iran.china.cuba nk.
Familia hizo ziko juu ya sheria Duniani kote! Hutakaa uwashtaki mahakama yeyote Duniani...mfano mtoto wa M.Thatcher alitaka kupindua serikali ya Equatorial guinea akashindwa na utamu zaidi alikamatwa live....na akaachiliwa bila msharti.......Rais mponea chupu chupu akapewa mihela ya kifa mtu mpaka leo ni tajiri mzee ameoza.na wese anauza km kawa......
 
Una KILA kitu ambacho wao hawana unashindwa vitumia unawalaumu wazungu, yaani una chuma una makaa ya mawe kuchimba udongo uyeyushe upate chuma uwauzie huwezi,umepewa udongo unashindwa kufyatua tofali na vigae vya kuezekea mbao misitu tele porini Ili ujenge nyumba bora huwezi unalaumu Mzungu,umepewa ardhi yenye rutuba mito tele imejaa mwaka mzima kulima huwezi unalaumu Mzungu,eti sijui ukoloni,mara sijui mamboleo ni matakataka ya kuhalalisha uvivu tu hizo nchi zingine zilizoendelea huko Hakuna ukoloni mamboleo,au hazikutawaliwa?
Ooh walituibia,ooh walitunyonya,sasa sweden denmark Norway, switzerland, canada, finland, japani, wao walitawala nchi gani afrika wakaiba wakaenda jenga kwao.
Hadi sasa kwa takwimu kilichochukuliwa afrika hakizidi robo ya moja ya still mali tele zilizojaa afrika,kama Mimi tu nafukua mita mbili tatu nakuta chini madini tele nawauzia wao napata utajiri maisha yanasonga, wilaya moja tu ya TANZANIA thamani ya raslimali zake tu iliyo nayo inalipaa deni lote la taifa sembuse ya nchi nzima.
Tunashindwa nini kuwa na maendeleo? Kuwatupia lawama wazungu juu ya kushindwa kwetu.
Lawama ni kitendo cha kukiri udhaifu.
watuache tu.Africa yetu...(Mayahudi original). ... bila kutugusa miaka kumi tu. naku hakikishia Africa tutakuwa mbali bin mnooo...tutawapa misaada mpaka wanye...sisi ni kiboko ya njia tuko vizuri baba.....nchi yeyote Ulaya iliyoendelea leo ni kwa sababu ilifuga watumwa weusi tiii....wao wanajua moto wetu si wa kitoto wakituachia huru...hivi umewahi jiuliza kwa nini walipigana vita kuelekea Africa na siyo kuelekea ulaya yao???.....sababu ya utajiri wetu..kiafya na kimasrahi..wale mazeruzeru hawana lolote wale! ..hata kuzaa/kutia ke mimba tu mtihani...bao mbili tu atahema siku nzima haamki. Lkn mweusi ni dakika sifuri tu....hata dadake akijipendekeza anao mche mweusi anatapika hovyo. Tuko vizuri mnooo.tunawahesabia tu wajinga hao.
 
Back
Top Bottom