Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

Habari za muda huu wadau wote wa Jf!

Naomba niandike nakala fupi tu kwa leo ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema.

Ukweli ni kwamba Mataifa ya ulaya hata magharibi yamekuwa na hofu kubwa sana juu ya waafrika pamoja na bara lao. Hofu hii inakuja baada ya mipango yao kufeli kwa kiasi kikubwa katika bara hili.

Nitazungumzia mipango miwili mikubwa ambayo imefeli wa kwanza ni uzazi wa mpango.

Uzazi wa mpango kwa Afrika umefeli kiasi kikubwa sana, Wazungu walidhani wangeweza kucontrol African population kwa kutumia uzazi wa mpango na kuwaminya viongozi wetu kuhakikisha uzazi wa mpango unafanya kazi pia kuwapa conditions kali za kuwafanya watu wasizaane hasa mimba za mapema. Pia walileta organizations mbali mbali kuhakikisha wanafuatilia population ya Africa kwa umakini, Organizations ambazo hata sasa baadhi bado zipo hata Tanzania. Pamoja na hilo walihakikisha uzazi wa mpango unawafikia wa Africa upesi sana na bure au kwa gharama nafuu hii yote ni kucontrol population ya waafrica.

Njia ya pili ilikuwa ni kuwagombanisha Waafrica. Yaani kuwapa support waasi na kuanzisha mapigano dhidi ga serikali kuu. Waliiamini Taifa lenye mali kama mafuta, dhahabu na almasi yatakuwa ni mataifa imara siku moja na yenye watu wengi. Hivyo walitumia njia hizi ambazo kwa sasa zinaenda zikiisha nguvu kwa kasi kubwa sana.

Mfano Congo ambao wamepigana mda mrefu na sasa mapigano yakienda kutulia baadhi ya sehemu. Na pia Congo kukataa uzazi wa mpango nchini kwao nakusema watu wazaane nchi bado ni kubwa mapori ni mengi.

Wazungu waliona jambo hili mapema sana kwao wakadhani watamwadaa mwafrika katika maisha yao yote sababu hana uwezo wa kufikiri.

Kwanini Population ya waafrika ni tishio ulaya?

Population ya waafrika ni tishio kubwa sana Katika nchi za ulaya. Hii kwamba wanaamini ndani ya miaka hamsini ijayo hadi mia basi sehemu kubwa ya dunia itakuwa inatawalia na waafrika.

Pia wamekuwa na hofu kubwa sana juu Race yao na kupotea kwa origin yao. Hii ni kutokana na dhana yao ya "Civilisation" kwamba mtu aliye elimika basi kuwa na mtoto mmoja au wawili.

Sera hii ambayo kwa sasa imewafanya nchi zao kuwa na wazee wengi na vijana wachache ambao wanazaa watoto wachache tena uzeeni au mwanzo wa uzee.

Wakati Afrika ni ngumu sana kumkuta mwanamke wa miaka 28 hana mtoto. Tafiti zilizofanyika na shirika la watoto duniani. Mwaka 2019 zilisema katika nyumba kumi za waafrika, kuna watoto kumi hadi kumi na tano wenye umri chini ya miaka nane, pia katika nyumba hizi kumi ni nyumba mbili ambazo unaweza kuta hamna watoto maani ni asilimia 20 tu. Wewe pia unaweza fanya tafiti hii ndogo hapo mtaani kwako.

Ongezeko la waafrika limekuwa ni hofu kubwa sana kwa mataifa ya Ulaya kama nilivyosema hapo awali. Hii ni kutokana na waafrika wengi kuondoka nchini mwao au barani mwao kwenda kutafuta maisha Ulaya na nchi za magharibi. Wakifika huko waafrika wamekuwa na utamaduni ule ule wa kuzaa na kuendelea kuongezeka hata huko walipo na kufanya wazidi kuendelea kuongezeka kwa kasi.

Wikipedia inasema hivi,

Since the 1960s, the main source countries of migration from Africa to Europe have been Morocco, Algeria and Tunisia, resulting in large diasporas with origins in these countries by the end of the 20th century. In the period following the 1973 oil crisis, immigration controls in European states were tightened. The effect of this was not to reduce migration from North Africa but rather to encourage permanent settlement of previously temporary migrants and associated family migration. Much of this migration was from the Maghreb to France, The Netherlands, Belgium and Germany. From the second half of the 1980s, the destination countries for migrants from the Maghreb broadened to include Spain and Italy, as a result of increased demand for low-skilled labour in those countries.[8]

Spain and Italy imposed visa requirements on migrants from the Maghreb in the early 1990s, and the result was an increase in illegal migration across the Mediterranean. Since 2000, the source countries of this illegal migration have grown to include sub-Saharan African states.[8]

During 2000–2005, an estimated 440,000 people per year emigrated from Africa, most of them to Europe.[9] According to Hein de Haas, the director of the International Migration Institute at the University of Oxford, public discourse on African migration to Europe portrays the phenomenon as an "exodus", largely composed of illegal migrants, driven by conflict and poverty. He criticises this portrayal, arguing that the illegal migrants are often well educated and able to afford the considerable cost of the journey to Europe.

Migration from Africa to Europe, he argues, "is fuelled by a structural demand for cheap migrant labour in informal sectors". Most migrate on their own initiative, rather than being the victims of traffickers. Furthermore, he argues that whereas the media and popular perceptions see irregular migrants as mostly arriving by sea, most actually arrive on tourist visas or with false documentation, or enter via the Spanish enclaves, Ceuta and Melilla. He states that "the majority of irregular African migrants enter Europe legally and subsequently overstay their visas".[8] Similarly, migration expert Stephen Castles argues that "Despite the media hysteria on the growth of African migration to Europe, actual numbers seem quite small – although there is a surprising lack of precision in the data".[10]

According to the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD), migration from African countries to more developed states is small in comparison to overall migration worldwide. The BBC reported in 2007 that the International Organization for Migration estimates that around 4.6 million African migrants live in Europe, but that the Migration Policy Institute estimates that between 7 and 8 million illegal migrants from Africa live in the EU.[11]

Kwa sasa Tafiti zinasema kwamba kwa siku waafrika zaidi ya elfu kumi wanahamia Ulaya kwa njia ambazo sio halali. Hii ni kila siku unayoiona wewe waafrika elfu kumi wanavuka Mediteranian sea kwenda ulaya.
Kumekuwa na njama nyingi za kuwaua waafrika hawa na kusema boat zao zimezama watu kadhaa wamefariki ila ukweli kuna jambo nyuma ya pazia. Nadhani wachangia hoja wataweka baadhi.

Ukweli ukitafakali sana mwendo anaoenda nao mwafrika ni kweli ipo siku hii Race itakuwa ni race yenye nguvu duniani sio kwa Teknolojia au Elimu bali kwa wingi wao. Miaka inayokuja viongozi wa mataifa ya ulaya tusishangae kuona ni wamatumbi. Kama Tulivyoanza na USA na amini ipo siku itakuwa duniani kote.

Na waasa sana Waafrika tujichunge sana maana Ongezeko letu sio pendezo kwa mataifa mengine. Chunga uhai wako tuwe wadadisi kwa vitu tunavyoletewa. Pia waafrika wenzangu tuwatunze watoto tunaowazaa kwa kuwalea vyema kwa kufanya kazi kuwalisha ili waweze kuwa imara wenye afya.
baada ya kutuletea Corona,wakasema wanategemea katika miezi sita ijayo maiti zitajaa barabarani kwenye bara la Afrika, matokeo yake wao ndio maiti zinajaa kwenye majumba yao, pia wamewalazimisha viongozi vilaza kuhumiza wanachi wao wapate chanjo kwa lazima,hizi chanjo tunazopewa bure hata huku kwao hawazitumii na muda wake wa matumizi umeshapita wao ndio hutuletea huku,sote tunajua kutumia dawa iliyopita muda wake wa matumizi ni kuleta madahara kwa anayetumia, hapa hutasikia serikali zetu zikisema,pia uhifadhi wa hizo chanjo huku kwetu ni wa kiwango cha chini sana kiasi kwamba ubora wa hizo chanjo pamoja na kuwa zimeexpire huwa wa kiwango duni kabisa.Kwa kifupi wazungu si watu wazuri, miaka ya mwishoni mwa 80 walileta chanjo ambayo wanafunzi wengi walichanjwa mashuleni,hadi sasa wengi wao ni tasa na wanapata matatizo ya uzazi na siku zao. Mwendazake alituonya lakini ndivyo hivyo.
 
Sababu kubwa ni wazungu ambao wanawatumia viongozi wetu wasiyo jielewa
Wazungu wanasababisha matatizo ulimwengu mzima si Africa pekee
Nani anaeweka viongozi wasiojielewa madarakani,kama awajielewi kwann msiwatupe jela,ni afrika pekee ndipo kiongozi anayo kinga ya kutokushtakiwa hata akifanya uovu wowote ruksa kuiba,kuuwa,kupora wake za watu, kuweka ndugu zake madarakani,kujipendelea kwao,mabara mengine kiongozi ukifanya hivyo utapotea jela milele.
Kule Wana viongozi afrika kuna watawala ambao wengi wamejiweka wao madarakani.
Afrika sanduku la kura haliheshimiwi ni la kutimizia wajibu tu kuwahadaa watoa misaada yaani wafadhili.
 
Mtutu wa bunduki wa nini dogo!!!...jiwe kaondoka kwa mtutu wa bunduki weye? usilazimishe mtutu bana.....nani akakae porinia umwe na mbung'o? eti ale kwa mashaka! hiyo ni zamni bin kale...nchi yetu wenyewe tukakae porini unaumwa au?
Yanayoendelea congo ni kushindwa kwa serikali ya congo.
Mobutu ndie asili ya vita endelevu vya congo ambapo mnufaika ni kagame na m7 kuvifadhili vikundi vya waasi Ili wapore congo.Hao wakifa na vita vitakwisha congo
 
Loool! ujiweke madarakani nani kasema??? tutakuchalaza fimbo tu mpaka uipate...jiwe kajiweka!! yuko wapi??.....tena na ccm hao hao wakamkolimba! yuko wapi leo???.....

usijidanganye sisi tunakuondoa kimyakimya tu dakika sifuri..... tena kwa amani weka hata helikopta mia tano...lkn heee! dogo yulee nani vile kondakta sijui nani vile???? alijifanya mjanja...sasa anakufa polepole tu kwa sononi ....hajaguswa hapo!

Mzee wa Msoga alipendwa mnoo! na wabongo huyo hapo!! mguse uone.... sasa weye nae kiongozi atajiwekaje madarakani wkt tunaitisha uchaguzi huru na haki...ivi Africa na AU unaionaje?? dogo...
Ndo maana nilikuambia penye haki Hakuna vita.Panapo haki amani Utawala.
Vita vyote Afrika chanzo ni watawala kuwanyima haki wanaotawaliwa,vita ni mlipuko wa hasira za miaka mingi sababu ya ukosefu wa haki.
Wale wa Msumbiji waliovurushwa kibiti zile ni takataka yaani wahuni wachache waliomudu kupata silaha nchi za vita Mzungu hawezi tuma takataka kama zile hawana tofauti na panyaroad wao uvamia na kupotea.
Takataka za nini gharama yote ile hali chochote wakitakacho afrika ukipata tena kwa kutupa oda,nataka tani 200 za copper,chokaa,shaba popote panapo soko tunawapelekea.
Hii hoja ya wao ndio wanaanzisha vita Ili wapate wakitakacho ni propaganda za kijamaa tu za miaka ya 70.
Nini kinachowazuia kukipata afrika hadi waingie gharama kuanzisha vita Ili ndo wapate,hali wao ndio wanaoingia gharama kuhudumia wakimbizi,pili afrika sio mnunuzi mkuu wa silaha za viwanda vya ulaya na hata tukinunua ni zile outdated used na nyingi uuzwa na wafanyabiashara haramu.
 
Hujui Vita ilianzia mbinguni!! uroho wa shetani......sasa hapa Duniani kwa nini kusiwe na vita!! wkt kuna mifani ilile ya Mungu? nashetani?

eti amani itawale ndg umesomakweli wewe?...hata hujui maana ya Maadui wa ndani na nje mweee! rudi drsani dogo! sasa km Mbinguni tu kulikuwa hkn amani duniani je?
 
Yanayoendelea congo ni kushindwa kwa serikali ya congo.
Mobutu ndie asili ya vita endelevu vya congo ambapo mnufaika ni kagame na m7 kuvifadhili vikundi vya waasi Ili wapore congo.Hao wakifa na vita vitakwisha congo
Muongo!! hujui yaani kamtu kaje tu!! li nchi kubwa lile tuanze kupigana, si na wao wapigane?
 
Kama

Kama tumeshindwa kuvigeuza fursa Ili tupate basic needs vinatufaa nini sasa.
Kwa raslimali tele tunawazidi lkn kama hazitusaidii tunatofauti gani na mfugaji mwenye ng'ombe elf 2 lakini apati basic needs
Ukikosa basic needs si unakufa mbona hawajafa au mie ndo si elewi
 
Muongo!! hujui yaani kamtu kaje tu!! li nchi kubwa lile tuanze kupigana, si na wao wapigane?
Soma asili ya vita vya congo.
Mobutu alimsaidia savimbi Angola aliwasaidia waaasi wa Rwanda na uganda ikiwemo Joseph Kony waasi wote hawa walizipiga nchi hizo tokea Congo kwa msaada wa mobutu.
Kabila baba akaungana na Rwanda, Uganda na Tza kwa upande wa mashariki kumpiga mobutu angola akaungana na south africa, zimbabwe,na zambia kumpiga mobutu toka kusini,mobutu akiwa na jeshi dhaifu akazidikiwa akatoroka nchini.Savimbi akauliwa.Waasi wa uganda na Rwanda wakafatwa hadi congo, m7 na PAKA walipoingia congo wakakuta mali tele wakaanza uporaji kwa kisingizio cha kuwafurusha waasi wao ukosefu wa usalama congo mashariki ukazaliwa makundi mengi ya waasi kujinufaisha na utajiri wa congo.
 
Ukikosa basic needs si unakufa mbona hawajafa au mie ndo si elewi
Watz wanakosa 500 ya dawa,wanaishi nyumba za nyasi na udongo kama panya,maji mtihani kupata,wengi wanaishi stone age chini ya dola 1,watu wamepigika haswa vijijini
 
Hujui Vita ilianzia mbinguni!! uroho wa shetani......sasa hapa Duniani kwa nini kusiwe na vita!! wkt kuna mifani ilile ya Mungu? nashetani?

eti amani itawale ndg umesomakweli wewe?...hata hujui maana ya Maadui wa ndani na nje mweee! rudi drsani dogo! sasa km Mbinguni tu kulikuwa hkn amani duniani je?
Ukitenda haki maadui watoke wapi,mbona Iran, China hazijasambaratika jibu ni sababu serikali zao uwatendea haki watu wao.
 
Makala yako ni parochial , narrow minded.
Africa population 1.34 bil
China peke yske1.43 bil
India 1.38 bil
Kwanini threat iwe Africa tu wakati Asia peke yake ina 4.6 bil.
India na china hawana resource's kama Africa!!hizo data unaziaminije???we huoni hata bara la africa ni kubwa lenye rasilimali nyingi ambazo wao wanazitegemea?kwanini ppn ya Africa usiwe threat kwao???halafu race ya muafrika mweusi inarithowa bila kupoteza kama ya mzungu!!!muafrika akizaa na mzungu lazima mtoto awe half-caste tu hivyo race ya mzungu kuwa hatarini kutoweka!!
 
Ukitenda haki maadui watoke wapi,mbona Iran, China hazijasambaratika jibu ni sababu serikali zao uwatendea haki watu wao.
wao ni wao sisi ni sisi tuna taratibu zetu zifuate hutaki si kaishi nao! uone muziki wake!! km hujakuja huku unalia....MUZiki wa china urusi uko kivingine kabisa wala haufanani na wa iraq
 
Ndo maana wengi wanakufa vijijini
wanastahili kufa tena wachapeni viboko mahiti zao maana ni mikosi.......ardhi yooote hii!...ukicheka na nyani ndo hao sasa!!! sawa na walee watumishi waliopewa talanta na bwana wao wakachimbia.......
 
Watz wanakosa 500 ya dawa,wanaishi nyumba za nyasi na udongo kama panya,maji mtihani kupata,wengi wanaishi stone age chini ya dola 1,watu wamepigika haswa vijijini
kweli wapo kulee Mahurunga Ntwara njia panda ya mikindani!! sasa wale wana akili au wagonjwa wale!! mtu mzima tena msomi unawaza serkali ikupe dawa bure??

halafu sasa unadharau miti shamba?? quinine ya mzungu imetokana na miti shamba hiyo hiyo! hao wanastahili kifo! Nyumba za nyasi hazina tatizo!! tatizo ni mtu wenyewe anavyo zitengeneza kwanza tope nyasi jua ni bure kabisa!
images.jpg
images (1).jpg
images (2).jpg
angalia wenzako tunavopeta na nyumba za nyasi hapo hata panya anaona aibu kuingia, nenda kanda ya ziwa huko Musoma ukajifunze kujenga km hivi hutaki tukufanyeje sasa!! yaani hizi usione aibu rasili mali kibao ziko chini ya ardhi unazo tena bureee!!

hujui kutumia akili zako vizuri! hata ukipewa mjighorofa utacahafuka tu utaishi na panya tu, plus kubomoka tu utashindwa kulitunza/fanya repair!! kaeni huko huko na panya wenu, make nyie sasa ni mzigo wa taifa!! hata hatutaki kuwaolea!!! nani aoe vimeo!!! sisi huku kwetu ndo kama hivi nyumba rahisiiiiiiii tena ni bora mnooo!!

kifupi mnastahili kubaguliwa sasa km maisha yako mwenyewe yame kushinda utawezaje kukamata sirikali tata???
 
maji mtihani kupata,wengi wanaishi stone age
Nimeishi kijijini mie maji tulivuna ya mvua!! ambayo tulikuwa tuna tumia mwaka mzima tena na mifugo hapo hapo mweee!! unataka maji gani wewe!! hivi huoni una tatizo la msingi weye!!!! tena yale hayana gharama kabisaaaaa!
 
India na china hawana resource's kama Africa!!hizo data unaziaminije???we huoni hata bara la africa ni kubwa lenye rasilimali nyingi ambazo wao wanazitegemea?kwanini ppn ya Africa usiwe threat kwao???halafu race ya muafrika mweusi inarithowa bila kupoteza kama ya mzungu!!!muafrika akizaa na mzungu lazima mtoto awe half-caste tu hivyo race ya mzungu kuwa hatarini kutoweka!!
Nonsense!
Maneno ya vijiweni.
 
Nimeishi kijijini mie maji tulivuna ya mvua!! ambayo tulikuwa tuna tumia mwaka mzima tena na mifugo hapo hapo mweee!! unataka maji gani wewe!! hivi huoni una tatizo la msingi weye!!!! tena yale hayana gharama kabisaaaaa!
Manyara mifugo inakufa ukame
 
kweli wapo kulee Mahurunga Ntwara njia panda ya mikindani!! sasa wale wana akili au wagonjwa wale!! mtu mzima tena msomi unawaza serkali ikupe dawa bure??

halafu sasa unadharau miti shamba?? quinine ya mzungu imetokana na miti shamba hiyo hiyo! hao wanastahili kifo! Nyumba za nyasi hazina tatizo!! tatizo ni mtu wenyewe anavyo zitengeneza kwanza tope nyasi jua ni bure kabisa!View attachment 2085211View attachment 2085212View attachment 2085213 angalia wenzako tunavopeta na nyumba za nyasi hapo hata panya anaona aibu kuingia, nenda kanda ya ziwa huko Musoma ukajifunze kujenga km hivi hutaki tukufanyeje sasa!! yaani hizi usione aibu rasili mali kibao ziko chini ya ardhi unazo tena bureee!!

hujui kutumia akili zako vizuri! hata ukipewa mjighorofa utacahafuka tu utaishi na panya tu, plus kubomoka tu utashindwa kulitunza/fanya repair!! kaeni huko huko na panya wenu, make nyie sasa ni mzigo wa taifa!! hata hatutaki kuwaolea!!! nani aoe vimeo!!! sisi huku kwetu ndo kama hivi nyumba rahisiiiiiiii tena ni bora mnooo!!

kifupi mnastahili kubaguliwa sasa km maisha yako mwenyewe yame kushinda utawezaje kukamata sirikali tata???
Usinichallenge binafsi nazungumzia nyumba za nyasi vijijini zinafanana hivi.
Hii ni picha ya hotel za kitalii na sio nyumba za waafrika wengi vijijini
 
Back
Top Bottom