Pre GE2025 Hofu: Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria aliwazuia Wajumbe kumpigia Makofi Mnyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa nini wamzuie kisa maoni?
 
Siku ikifika ya mh rais nae kutoa maoni mbele ya kamati ya katiba na sheria nistueni Nike nisikilize nondo zake naye.
 
HIyo ni nongwa sasa take it easy!
 
Mnyika katika kushusha nondo hatarii na madini yaliyojitosheleza yuko vizuri sana tena sana.
 
Unafiki wao wa 4R inawekwa wazi.
 
Thanks bro!! Always, you disclosed out nothing but the material facts. Ndugu zangu CDM wanapenda kuongea uzushi tu , ili wainekane. Lakin ukweli utasimama daima.
 
Thanks bro!! Always, you disclosed out nothing but the material facts. Ndugu zangu CDM wanapenda kuongea uzushi tu , ili wainekane. Lakin ukweli utasimama daima.
Joined 30 December 2023 , baadaye kidogo ukikomaa utatuelewa
 
Hangaya anazuga tu hana mpango na Uchaguzi huru , ila tutamlazimisha , atake asitake
Zile tani tatu za madawa ya kulevya zilizokamatwa ni za mtu wake wa karibu, sasa wanahaha jinsi ya kumficha wajulikane. Mda utaongea
 
Zile tani tatu za madawa ya kulevya zilizokamatwa ni za mtu wake wa karibu, sasa wanahaha jinsi ya kumficha wajulikane. Mda utaongea
Weeeee !!!! au ndio maana jambo lile limezimika kiaina ?
 
Clip tafadhali
 
Zile tani tatu za madawa ya kulevya zilizokamatwa ni za mtu wake wa karibu, sasa wanahaha jinsi ya kumficha wajulikane. Mda utaongea
Yupi huyo wengine hatujazinasa hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…