Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

#Hapingwi na mtu yyte# mbona alikoswakoswa kupinduliwa mara 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichoona haraka haraka mwenge unahamasisha umoja kwa symbolism yake. Sasa kwa mwenge wetu sijui ni umoja wa aina gani either wa kutupeleka Chaka au kutupeleka sehemu sahihi. Hilo sijui. Kama hakutakuwa na mwenge kama ilivyozoeleka Maana yake kuna aina Fulani ya umoja utavunjika. Either for good or bad. So kama hakuna mwenge kwa mwaka huu tutegemee baadhi ya mabadiliko ya kutengana kwa watu sijui aina ipi na kwa namna gani. Lakini kinyume cha umoja ni utengano. Just my simple logic. Let’s wait and see.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Je..Yesu unayemuamini alifundisha wafuasi wake wafanye ibada za kuwasha MOTO kwa kuwa amesema yeye ni NURU ya ulimwengu?na Je..maandiko matakatifu katika Biblia yanasemaje kuhusu wale wafanyao ibada ziambatanazo na kuwasha MOTO?

Usichanganye mambo Mkuu...Mtakatifu Francisco wa Assissi uliyemnukuu kwa sala yake kwenye hoja yako alikuwa anamwomba Bwana/Mungu....sisi Watanzania kwenye hayo maneno yaliyotamkwa wakati wa sherehe za uwashwaji mwenge tangu siku ya Uhuru na hadi leo hii tunamwomba nani atupe hilo tumaini pasipo na tumaini au atupe upendo penye chuki?au tunamfanyia ibada nani?
 
Leo mkuu wa maskauti wote Tz kafariki ,si ndo watu wa misafara

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Ile zawadi ya tausi wale, wale, wale! Nje ya maagano ya mbio za mwenge wa uhuru, ni balaa tupu, ni misiba baada ya misiba. Ingawaje ni " consipiracy theory" bali yanayokwenda kutokea ni kifo rasmi ya chama tawala[emoji2958][emoji41][emoji848][emoji851]


Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…