Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

Naanza kuona uhalisia ,Kuna watu wakifika Level fulani za utawala wanakuwa Kama ..
..sijui niiteje,uzezeta!
Inawezekana hupumbaxwa!?4
 
Mnao Amini Ushirikina shauri yenu, mtashindwa kufanya mambo yenu kisa mwenge umezuia Chadema ushindi,

Na kama ni mwenge umezuia ushindi wa Chadema, iweje watu wanakesha kulaumu muundo wa Tume?

Kwa nini kulaumu Magufuli anawanunua wapinzani?

Kama kweli mwenge ndio kikwazo cha Vyama pinzani kutokushika Dola, Kwa nini sasa vinahangaikia mambo ambayo hayana sababu?

Tatizo letu sio mwenge na Wala sio mazindiko, Sisi ni watu waoga na ni watu duni, Sina hakika na Elimu yetu kama huwa inatusaidia

Elimu yetu imekuwa ndio sababu ya haya yoote, tafiti zetu zote ni za uongo na hatujawahi kujiamini hata kama tukifanya utafiti sahihi bado tutataka aje mtu mweupe atuthibitishie utafiti wetu

Mnao Sema Mwenge kwamba Ni Zindiko, mwenge umezindika Akili zetu Watanzania hembu thibitisheni hapa, leteni utafiti wa kisayansi na mthibitishe hapa, na utakuta mtu amekomalia Mwenge kuwa ni Zindiko la akili zetu naye ni msomi

Acheni uoga na sababu zisizo na Maana, jipangeni, tengenezeni Sera zenye kushawishi watu, mwenge si lolote ni kibatali tu kile kinamaliza Kodi zetu Ila hauwezi kuathiri akili na ufahamu wetu
 
Sasa ndio umeandika nini ewe punguani? Inaonekana na wewe ushafanywa zindiko tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ume
Wewe ndio pita mbali kwa unayoona hayakuhusu.
Inaelekea hujui kuwa chama chako kimekuwa kinaendeshwa kwa nguvu za Giza na makafara kila kukicha.

Sent using Jamii Forums mobile app
umeanza lini kuwa hivi, Kwa hiyo na wewe unaamini nguvu za Giza siyo?

Ni Kwa nini sasa isiwe agenda maalumu kwenye Chama chako Ambacho mmeshindwa kuing'oa CCM mkiamini ni ndumba kupitia mwenge, mkawekeza nguvu zote kuhakikisha mnaondoa Kwanza hicho kikwazo?

Kwa nini kuwekeza nguvu kwenye Tume huru ambapo mnajua kabisa kwamba, bado CCM itakuwa inashida tu Kwa kuwa shinda yake ni Mwenge,

Mbona mnauhadaa umma Kwa mambo ambayo siyo?
 
Rushwa imeisha? Mauaji ,utekaji na kufunguliwa kesi za uongo kwa Wapinzani vimeshamiri sana awamu hii.
 

Sikubaliani na muelekeo wako wa kuona kuwa Mwenge ni zindiko.
Maneno yaliyotolewa juu ya mwenge ni ya kuhamasisha wananchi na kuhimiza umoja.
Umoja ndio uchawi mkubwa wa kuondoa matatizo katika jamii.
Nakubali mwenge usipoendelea basi umoja huo utatoka wapi?
Ila kusema kukimbiza mwenge ni zindiko huko ni kuturudisha kwenye ujima kuamini kafara na tabia zisizopendeza.
 
Kikubwa uovu wa nchi umeondolewa kwa sasa,..... Thoughtful..

Jr[emoji769]
Kwaamaana hiyo sasahivi nikiona namba moja mbele yangu basi niamini kwamba nimoja?

Namaanisha kwasasa tutakuwa tunaona nakusikia vitu halisi maluelue ndio basi tena?

Mnamaanisha giza lilipozidi ndio ilikuwa dalili yahaya yote?

Mnamaanisha mchawi kayaula kasahau nguvu zake zilipo?

Au Mnamaanisha wazee wamemzira nahawajamwambia nini siri yaurembo?

Au yawezekana nayeye anamacho kama yetu yakuutazama mwenge kama kibatari kikubwa au limoto lisilokuwa namaana kumbe kuna kingine nyumba yapazia?

Nakama mwenge kumbe ulikuwa hauna maana yoyote zaidi yakuwaka2 kwanini isiwe ndio mwanzo na mwisho wake kurandaranda mitaani kila mwaka? Vilevile tukae Chini tutasmini toka uanzwe kukimbizwa miaka yote hiyo umetutia hasara kiasi gani kama taifa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Giza ndio asili ndio chanzo....kwenye uumbaji - JamiiForums
Siku gani sijui utaacha kufikiria kila kitu kwa giza

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…