Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

.
Pia inawezekani, ikawa ni njia bora ya kuthibitishia umma wa watanzania wanao amini kuwa ni zindiko kuwa siyo zindiko,Ikiwa hakutakuwa na lolote wala chochote kitachotokea..

Jr[emoji769]
 
Mkuu je kuna kafara gani katika ule wimbo wetu wa Taifa??

Alama ya bibi na bwana??

Twiga??

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu je kuna kafara gani katika ule wimbo wetu wa Taifa??

Alama ya bibi na bwana??

Twiga??

Natanguliza shukrani.


Hapa tunazungumzia karatasi la Mwenge heroo
 
Mshana Jr
Hiyo ni story nzuri sana.

Inabidi kuiwekea kumbukumbu
 
Mi naona ni Yaleyale ya doctor shika na Simba vs yanga

Sent from Tapatalk
 
Watu wasichojua, ni kuwa hayo maneno unayosema, ni sala iliyoanzishwa na Mtakatifu Fransisco wa Assissi. Sala hiyo inasema hivi:

"Ee Bwana unifanye niwe chombo cha amani yako;
Palipo na chuki nilete mapendo
Palipo na makosa nilete msamaha
Palipo na shaka nilete tumaini
Pasipo na matumaini nilete tumaini
Palipo na giza nilete mwanga
Palipo na huzuni nilete furaha"

Mwalimu alikuwa mwumini wa imani ya Kanisa Katoliki. Ikumbukwe kuwa hata Uhuru aliamua upatikane usiku wa kuamkia Sikukuu ya Bikira Maria ambayo ni tarehe 10 Desemba. Na hiyo ni baada ya kushauriana sana na mapadre. Lakini yeye alitaka upatikane siku ya tarehe 10 Desemba. Hata maneno ya wimbo wa Taifa yaliandaliwa na Padre.

Nina mashaka sana na baadhi ya maelezo ya mleta mada. Mwalimu aliuweka mwenge kwa fikra zaidi za dini ya kikristo kuliko kwenye fikra za imani za kijadi/matambiko.

Ikumbukwe kuwa moto wakati wa ibada za Kanisa Katoliki, unaashiria uwepo wa Mwanga. Na Mwanga ni alama ya uwepo wa Mungu. Yesu yeye mwenyewe alitamka, Mimi ni Nuru ya Ulimwengu.
 
Vipi kuhusu habari za wazee wa Bagamoyo mbona habari zao ndio rasmi zinaandikiwa hata kwenye kumbukumbu za Kihistoria?
Sipingani na hicho ulichoandika lakini hakiko kwenye kumbukumbu za Kihistoria mbona?

Jr[emoji769]
 
Sasa mbona lilikuwa ni wazo la washirikina lililofanyika mapangoni bagamoyo kwa ushauri wa forozo ganze na shekh Yahya.Soma asili ya mwenge
 
Kupiga picha kanisani sio ukatoliki bali kuishi ukatoliki, ukatoliki na shiriki za matambiko ya mapangoni wapi wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…