Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
.
Jr[emoji769]
Hakuna kitu kama hicho cha zindiko. Amekufa Forojo, Shekhe Yahya na nchi bado inasonga mbele.
Mimi siamini kabisa katika mazindiko na kusema kweli hayana nafasi kwenye ulimwengu wa leo. Sisi waafrika kama hayo yangekuwa msaada, tungetetemesha dunia. Look at us! Choka mbaya na bado tunajitutumua na mambo ya kishetani
Pia inawezekani, ikawa ni njia bora ya kuthibitishia umma wa watanzania wanao amini kuwa ni zindiko kuwa siyo zindiko,Ikiwa hakutakuwa na lolote wala chochote kitachotokea..
Jr[emoji769]