ok.🐒Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa?
Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema.
Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini anayetamani kufa mapema ili akaishi maisha ya raha mbinguni, wote wanaomba kuishi maisha marefu.
Bwana Yoda labda tunachanganya mtu kuogopa kifo na mtu kuogopa kinachokuja baada ya kifo. Mtu anaweza kuamini kabisa kwamba kuna maisha mazuri baada ya kifo, lakini akaogopa mchakato wenyewe wa kufa maumivu, mateso, kutengana na watu anaowapenda, au kutokujua kifo chake kitakuwaje.Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa?
Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema.
Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini anayetamani kufa mapema ili akaishi maisha ya raha mbinguni, wote wanaomba kuishi maisha marefu.
Labda wanaharakati wa dini wanaojilipua na kufa kwa kujitoa mhanga ndio wanaoamini kuna Pepo kweli yenye kila raha.
Duniani kuna raha yake banaKwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa?
Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema.
Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini anayetamani kufa mapema ili akaishi maisha ya raha mbinguni, wote wanaomba kuishi maisha marefu.
Labda wanaharakati wa dini wanaojilipua na kufa kwa kujitoa mhanga ndio wanaoamini kuna Pepo kweli yenye kila raha.
Wahi mbinguni mtumishi ukaabudu na kusifu milele bila kuchoka, kusikia njaa au kuumwa.Bwana Yoda labda tunachanganya mtu kuogopa kifo na mtu kuogopa kinachokuja baada ya kifo. Mtu anaweza kuamini kabisa kwamba kuna maisha mazuri baada ya kifo, lakini akaogopa mchakato wenyewe wa kufa maumivu, mateso, kutengana na watu anaowapenda, au kutokujua kifo chake kitakuwaje.
Fikiria mtoto aliyeko tumboni mwa mama yake. Kama angekuwa na uwezo wa kufikiri na kuelewa mazingira yake, huenda angeona tumbo la mama ndiyo dunia yake yote. Ana joto, ulinzi na kila kitu anachokijua. Wakati wa kuzaliwa unapofika, njia ya kutoka katika mazingira hayo inaweza kuwa ya kutisha na yenye changamoto. Lakini kuzaliwa hakumaanishi mwisho wa maisha yake; ni kuingia katika hatua nyingine ya maisha ambayo ni kubwa kuliko mazingira aliyokuwa anayajua.
Kwa mfano huo, mtu anaweza kuyaona maisha ya duniani kama hatua moja ya uwepo na kifo kama njia ya kuvuka kwenda hatua nyingine. Anaweza kuamini upande mwingine ni bora lakini bado asiipende au asiitamani njia ya kufika huko.
Kwa hiyo kusema, “Kama mtu anaamini kuna maisha mazuri baada ya kifo basi anapaswa kutamani kufa mapema,” si lazima iwe hitimisho sahihi. Anaweza kutamani anakoenda bila kutamani safari ya kwenda huko ianze leo.
Na kutaka kuishi maisha marefu hakumaanishi lazima mtu ana mashaka kuhusu maisha baada ya kifo. Anaweza kuthamini maisha ya sasa, familia yake, watoto wake, kazi zake na mambo ambayo bado hajayakamilisha.
Kwahiyo bwana Yoda mtu anaweza asiogope anakoamini anaenda, lakini akaogopa namna atakavyofika huko. Kama mtoto tumboni angepewa uchaguzi, huenda angependa kubaki katika mazingira anayoyajua, bila kujua kwamba nje kuna dunia kubwa zaidi ambayo hajawahi kuiona.
Eeeh babanguuuuUngependa kwenda mbinguni leo ?
Kwenda Mbinguni bado sana. Mwanadam akifariki anakwenda kati ya kuzimu (Ni kama mahabusu kabla hajahukumiwa kutumikia kifungo) au peponi (reception ya kuingia Mbinguni).Wahi mbinguni mtumishi ukaabudu na kusifu milele bila kuchoka, kusikia njaa au kuumwa.
Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa?
Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema.
Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini anayetamani kufa mapema ili akaishi maisha ya raha mbinguni, wote wanaomba kuishi maisha marefu.
Labda wanaharakati wa dini wanaojilipua na kufa kwa kujitoa mhanga ndio wanaoamini kuna Pepo kweli yenye kila raha.
Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa?
Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema.
Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini anayetamani kufa mapema ili akaishi maisha ya raha mbinguni, wote wanaomba kuishi maisha marefu.
Labda wanaharakati wa dini wanaojilipua na kufa kwa kujitoa mhanga ndio wanaoamini kuna Pepo kweli yenye kila raha.
Wapo wanafunzi wanaopenda mitihani na wanaotamani mitihani au tests kila wakatiSWALI LAKO NI SAWA NA MTU AKUULZE, HOFU YA KUFANYA MTIHANI INATOKA WAPI WAKATI, UKIFANYA MTIHANI VIZURI UNAELEKEA KWENYE MAISHA MAZURI (KAZI NZURI NK)
SUALA HAPO NI, JE UMEFANYA MAANDALIZI YA KUTOSHA KUFANYA MTIHANI ILI, UKAPATE HIYO KAZI NZURI?
HAPA DUNIANI TUPO KWENYE MTIHANI, HIVYO KINACHO TUOGOPESHA NI KUWA, HATUNA UHAKIKA NA MAANDALIZI TULIYOFANYA KUWA YANATOSHA KUFAULU MTIHANI NA KWENDA KUWA NA MAISHA MAZURI YALIYO AHIDIWA..
Ndrooo hivyo babanguuuuUnataka ufe saa ngapi leo?
Ambacho nina uhakika nacho hadi sasa ni kwamba story za “Moto wa Jehanam” ni nadharia kama zile za kwenye ile mijitu kwenye kitabu cha Marehemu Shaban RobertKwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa?
Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema.
Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini anayetamani kufa mapema ili akaishi maisha ya raha mbinguni, wote wanaomba kuishi maisha marefu.
Labda wanaharakati wa dini wanaojilipua na kufa kwa kujitoa mhanga ndio wanaoamini kuna Pepo kweli yenye kila raha.
Kinachokufa ni housing (mwili) wenye matamanio ya mapambo,maringo ,maumbile ,shibe sasa ukifa huu mwili utakufa na ile spirit uko iendako inaweza kuishi bila mwili...tungeishi kiroho tusingeogopa kifo tunavyoishi kimwili tunaogopa sana kifo.Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa?