Huijui kivipi wakati kuna maandiko tele kuelezea kuhusu mbinguni au peponi jinsi kulivyo kuzuri, hakuna shida, hakuna kufa, hakuna njaa, hakuna huzuni n.kShida ni ule uhamisho wa ghafla tena bila malipo. Hofu ni kubadilisha mazingira, kutoka sehemu uliyoizoea na kwenda sehemu ngeni kabisa ambayo haujui mazingira yake wala huna uzoefu nayo. Hapo ndipo hofu kuu ilipo
Chakula cha kule kinaleta ukakasi maana hatujakizoea kuwa ndiyo chakula kikuu huku tulipo. Hakuna kiepe, kitimoto, ugali wala wali maharage tuliouzoea.Huijui kivipi wakati kuna maandiko tele kuelezea kuhusu mbinguni au peponi jinsi kulivyo kuzuri, hakuna shida, hakuna kufa, hakuna njaa, hakuna huzuni n.k
Hazifikii pepo ya Allah.Duniani kuna raha yake bana
BILA USHAHIDI hizi mambo zitabaki mapichapicha tu.Kwenda Mbinguni bado sana. Mwanadam akifariki anakwenda kati ya kuzimu (Ni kama mahabusu kabla hajahukumiwa kutumikia kifungo) au peponi (reception ya kuingia Mbinguni).
Sio kila jambo linahitaji ushahidi. Mengine ni imani tu. Mfano unaamini siku yako ya kuzaliwa. Una uhakika hiyo tarehe walio kuambia wazazi wako ndio ilikua tarehe yako halali ya kuzaliwa?BILA USHAHIDI hizi mambo zitabaki mapichapicha tu.
Angarau waliosema kuna REINCANATION, kidogo wanamashiko kwa mbaaaali.
hapana mkuu, siku ya kuzaliwa sio iman.Sio kila jambo linahitaji ushahidi. Mengine ni imani tu. Mfano unaamini siku yako ya kuzaliwa. Una uhakika hiyo tarehe walio kuambia wazazi wako ndio ilikua tarehe yako halali ya kuzaliwa?
Kwahiyo uliiona siku yako ya kuzaliwa?hapana mkuu, siku ya kuzaliwa sio iman.
Ile inajulikana kama alama yako.
Sasa hyo imani yakusadikika sio yakusadiki sana, huenda ipo au haipo.
Kwan hamna marehem aliye enda kule kuzim na kurudi kutujuza yaliyoko kule kuzimu yanafananaje.
Taarifa zinasema huko ni bora kuliko huku,swali la mleta mada kama taarifa hizo zimeaminiwa hofu inatoka wapi,Shida ni ule uhamisho wa ghafla tena bila malipo. Hofu ni kubadilisha mazingira, kutoka sehemu uliyoizoea na kwenda sehemu ngeni kabisa ambayo haujui mazingira yake wala huna uzoefu nayo. Hapo ndipo hofu kuu ilipo
siku yangu yakuzaliwa siku iona ila inamashahid wengi na wote wanasema siku ni ileile na ninaamin wasemavyo.Kwahiyo uliiona siku yako ya kuzaliwa?
Yesu mwenyewe pamoja na usafi wake aliogopa; alihisi anahitaji muda zaidiWapo wanafunzi wanaopenda mitihani na wanaotamani mitihani au tests kila wakati
Kati ya waumini wote hakuna hata mmoja aliyejiandaa vya kutosha??
Hakuna anayeogopa kufa maana unakufa mara moja tuKwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa?
Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema.
Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini anayetamani kufa mapema ili akaishi maisha ya raha mbinguni, wote wanaomba kuishi maisha marefu.
Labda wanaharakati wa dini wanaojilipua na kufa kwa kujitoa mhanga ndio wanaoamini kuna Pepo kweli yenye kila raha.
Total contradictionsKuna wale wasabato wa rwanda waliimba kwao pazuri (mbinguni) wamepakumbuka wanayo hamu kwenda huko ila wakiwa safarini kwenda shoo moja wakapata ajali waenzao wakafariki wakatoa tena wimbo wanalia kwa uchungu na kumuhoji mungu kwanini kayafanya hayo kuwachukua wenzao! Nikabaki what? Mbona hawakiishi wanachotuhubiria
Unatumia akili kiduchu kujua kuwa mbinguni na motoni ni "fix"Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa?
Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema.
Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini anayetamani kufa mapema ili akaishi maisha ya raha mbinguni, wote wanaomba kuishi maisha marefu.
Labda wanaharakati wa dini wanaojilipua na kufa kwa kujitoa mhanga ndio wanaoamini kuna Pepo kweli yenye kila raha.