Ni suala la mda tu mkuu!Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa?
Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema.
Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini anayetamani kufa mapema ili akaishi maisha ya raha mbinguni, wote wanaomba kuishi maisha marefu.
Labda wanaharakati wa dini wanaojilipua na kufa kwa kujitoa mhanga ndio wanaoamini kuna Pepo kweli yenye kila raha.
Kibwengo 🤡Ambacho nina uhakika nacho hadi sasa ni kwamba story za “Moto wa Jehanam” ni nadharia kama zile za kwenye ile mijitu kwenye kitabu cha Marehemu Shaban Robert
Kwan Yesu kishakufa?Hata Yesu mwenyewe aliogopa kifo aisee mpaka akaomba kikombe kile kimuepuke...🙆🙆🙆
Kifo ni kitu kingine asikwambie mtu
Siku hizi kuna hadi Ai ukitaka kuverify matukio ya hii dunia unaiuliza tu inakupa links kama hakuna inasema hakuna.Wapi huko,au stori za You Tube