Hofu ya kupata HIV baada ya kufanya ngono nzembe na mdada niliekutana nae siku 1

Hofu ya kupata HIV baada ya kufanya ngono nzembe na mdada niliekutana nae siku 1

Pep tumia Kwa kipindi Cha mwezi usi ache hata siku moja,kwenye pombe nilishakutana na msala kama huo ila sikuambukizwa .
 
Pep tumia Kwa kipindi Cha mwezi usi ache hata siku moja,kwenye pombe nilishakutana na msala kama huo ila sikuambukizwa .
asante kwa kinitia moyo mwamba niko naziginga na nina alarm kabisa kunikumbusha i hope ntatoboa man na nitakua mshauri kwa wengine
 
ooh, mwanaume utapigaje nyeto, ilihali wanawake ni wengi mmeumbiwa haya maua muwapelekee moto
eti eeeh, mpaka mseme, majuto juu ya majuto
 
Ila watu ni waovu sana, umeathirika na unajua, lakini unalala na mtu ukijua kabisa any mistake jamaa anaupata. Kweli tuna dhambi sana asee!!
 
Vuna ulichopanda. "For the wage of sin is death..." Romans 6:23
 
Habarini wna JF ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya tele, ningependa ku share hii experience wakati nikiendelea kuishi kwa hofu sana baada ya kukutana na mdada ambae ni muathirika baada ya kumpima.

Story iko hivi nilikutana na mdada sehemu akiwa na rafiki yangu pamoja pia na dem wa rafiki yangu sasa baada ya kutambulishana ikawa ni kama pair tukaanza kupiga mvinyo baada ya masaa kadhaa rafiki yangu akaondoka na dem wake akaniacha mimi na huyu dem mwingine na sisi baada ya muda tukaondoka nimefika gheto ilikuwa kama saa 11 hivi asubuhi nikamuuliza kama ana kondom akasema hana na mimi nilikuwa sina nikaingiwa na pepo la tamaa nikajikuta nimekula kavu round ya kwanza na pili.

Sasa baada ya kufanya hivyo yule dada akalala lakini mimi sikupata usingizi, majuto yakaanza kwanini umefanya hivi hapo hapo akili ikaniijia tafuta vipimo umpime kabla hajaondoka nikaagiza boda nikamwambia hebu nitafutie vipimo kokote kule kweli akavipata akaniletea aisee kumwambia kupima akaanza story mara ooh naogopa, sijapima muda mrefu mara anza wewe nikajua hapa kuna kitu nikamchenjia akakubali aisee ile kupima vipimo vyote tukaviweka mbele wakuu nilibaki nimepigwa na butwaa mithili ya kupigwa short na umeme mkubwa kucheki kipimo cha dem kawaka nilichanganyikiwa nikaanza kuwapigia marafiki ma dockta namna naweza pata msaada.

Ndio mmoja wa madakitari marafiki zangu kunishauri nianze PEP so baada ya kufanya ngono zembe baada ya masaa kama nane hivi nikaanza dozi ya PEP mpaka sasa naendelea nayo.

Ila funzo kwetu sisi vijana ambao bado tunapambana tuwe makini, aisee unaweza pote chap na kwa muda mfupi tu tusipende miteremko umeona dem tu kwasababu kajaa na wewe unamuamini, ni hayo tu wakuu nimejifunza na nimekoma.

Asanteni sana kwa kusoma muda huo naendelea kusubiria zifike siku 28 nipime.
Utakuwa sawa uwe na amani halafu halikuwa pepo, zilikuwa ni nyege, pepo halijapiga bao mara mbili.
 
Ila watu ni waovu sana, umeathirika na unajua, lakini unalala na mtu ukijua kabisa any mistake jamaa anaupata. Kweli tuna dhambi sana asee!!
Bro hatari sana hawa watu wanaroho ngumu sana aisee
 
Back
Top Bottom