Hofu ya kupata HIV baada ya kufanya ngono nzembe na mdada niliekutana nae siku 1

Pep tumia Kwa kipindi Cha mwezi usi ache hata siku moja,kwenye pombe nilishakutana na msala kama huo ila sikuambukizwa .
 
Pep tumia Kwa kipindi Cha mwezi usi ache hata siku moja,kwenye pombe nilishakutana na msala kama huo ila sikuambukizwa .
asante kwa kinitia moyo mwamba niko naziginga na nina alarm kabisa kunikumbusha i hope ntatoboa man na nitakua mshauri kwa wengine
 
ooh, mwanaume utapigaje nyeto, ilihali wanawake ni wengi mmeumbiwa haya maua muwapelekee moto
eti eeeh, mpaka mseme, majuto juu ya majuto
 
Ila watu ni waovu sana, umeathirika na unajua, lakini unalala na mtu ukijua kabisa any mistake jamaa anaupata. Kweli tuna dhambi sana asee!!
 
Vuna ulichopanda. "For the wage of sin is death..." Romans 6:23
 
Utakuwa sawa uwe na amani halafu halikuwa pepo, zilikuwa ni nyege, pepo halijapiga bao mara mbili.
 
Ila watu ni waovu sana, umeathirika na unajua, lakini unalala na mtu ukijua kabisa any mistake jamaa anaupata. Kweli tuna dhambi sana asee!!
Bro hatari sana hawa watu wanaroho ngumu sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…