Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
- Thread starter
-
- #21
6. Kurubuni wachaguliwa wa upinzani wajitoe kwenye vyama vyao kuwa wakija kwenye chama tawala watarudishiwa nyadhifa walizokuwa nazo.
Kama Chama kiko imara kulikuwa na haja gani
1. kuzuia vyama vingine visifanye siasa baada ya uchaguzi mkuu. Wakati chama kinafanya siasa nchini nzima.
2. kuwatisha watendaji wa serikali wanaosimamia chaguzi kuwa akishinda mpinzani basi nae kapoteza kazi.
3. Kuzuia shughuli za bunge kuoneshwa mubashara mwanzo mwisho.
4. Kuwahujumu viongozi wa upinzani na kuwabambika kesi zisizoisha mahakani
5. Kuingilia mikutano ya upinzani ya kampeni na ya kisiasa kwa nguvu ya polisi badala ya kuipatia ulinzi.
6. Kurubuni wachaguliwa wa upinzani wajitoe kwenye vyama vyao kuwa wakija kwenye chama tawala watarudishiwa nyadhifa walizokuwa nazo.
7. Kuwakebehi viongozi na wachaguliwa wa upinzani katika mikutano ya hadhara ya kiserikali.
8. Kuhujumu michakato ya uchaguzi ndogo na kubwa.
9. Kutumia nguvu ya polisi kukwamisha shughuli za siasa za upinzani.
Hii maanake ni kuwa, katika hali usawa ya kisiasa bado chama tawala hakina uwezo wa kushindana na upinzani.
Tumshukuru tu Mungu wanachini wamekubali kuwa kuwa kama kondoo wa sadaka. Lakini kitakuja kizazi kingine ambacho hakiwaweza kuvumilia haya yote na kutakuwa na mwisho mbaya.
........................................
Chama kijipime kukubalika kwake katika mazingira sawa ya kisiasa na sio mazingira kandimizi na ya kibabe wa wapinzani wako halafu unasema eti chama kimeimarika.
....Ujinga mtupu...
MkuuHizi hasira za upinzani za kuhisi wanaonewa ni hofu inayowaumiza kisaikolojia juu ya kupuuzwa na Watanzania
Kabla ya Rais Magufuli,Wanaccm walikuwa wanaona aibu kuvaa nguo za chama,na kuna Sehemu walikuwa wakitupiwa makopo wakikatiza mtaani
Wanaccm walificha sare zao ndani kutokana na masuala ya ufisadi kukithiri, kutokana na huduma za kijamii kudhorota
Lakini Upepo ulibadilika ghafla baada ya 2015
Mwenyekiti wa ccm akairudisha Ccm kwenye makali yak,Wananchi wakaanza kurudisha amani na CCM,wakaanza kuwapuuza wale wanaopinga serkali
Wananchi Wengi wamekimbia upinzani kimya kimya wamerudi CCM kutokana na kishindo cha awamu ya tano
Saaa nguo za chama zimetamalaki mtaani,kila mwananchi anajivunia kuwa CCM
Ukweli mchungu ni kwamba wapinzani wanaogopa sana CCM iliyotulia ,wanajua Ccm iliyotulia ni hawana chao
Ukiangalia hata wapinzani kushinda ubunge ilitokana na kukorogeka kwa ccm kulikopelekea kugawanya kura
Ccm iliyotulia,upinzani utaambulia viti vitatu tu vya Ubungo
Hata hii janja janja inayoendelea ya kususia Uchaguzi hisia zangu zinanituma tu hawa jamaa wamepima kina cha maji wakaona hapana hapa tutaaibika
Ndio mambo ya kubeba mpira kwapani yakaja
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais katika juhudi zake za kuleta Maendeleo
Nilitagemea utajaribu kukanusha hoja moja badala ya ingine tena kwa mifanoMkuu ulichokiandika sioni ukweli wake zaidi ya nadharia ambazo mmejengewe na viongozi wenu
Umeotodhesha mambo Mengi yasiyo na chembe ya ukweli Kabisa
Nilitagemea utajaribu kukanusha hoja moja badala ya ingine tena kwa mifano
Wahenga hunenaMimi naona wapinzani wakubali tu uhalisia
Waache kupingana na ukweli
Wananchi wanajionea maendeleo kuna haja gani kuendelea kupinga?
Wahenga hunenaView attachment 1262232
Usijaribu ku combine zote mkuuMkuu ameandika vitu vingi vyenye ujumbe mmoja tu
Amerudia kuonewa,kuhujumiwa ni maneno hayo
Sasa Ccm imemuonea nani Mkuu? Tukiacha ulaghai wapi Ccm imemuonea mpinzani au kumhujumu mpinzani
Mfn kuna wabunge wa upinzani wamekimbia upinzani na kuhamia Ccm hapo utasema upinzani imeonewa au Ccm imehujumiwa
Mkuu pamoja na kuunganisha hizo point za huyo mdau lkn umeshindwa kutupatia maelezo sahihi...Mkuu ameandika vitu vingi vyenye ujumbe mmoja tu
Amerudia kuonewa,kuhujumiwa ni maneno hayo
Sasa Ccm imemuonea nani Mkuu? Tukiacha ulaghai wapi Ccm imemuonea mpinzani au kumhujumu mpinzani
Mfn kuna wabunge wa upinzani wamekimbia upinzani na kuhamia Ccm hapo utasema upinzani imeonewa au Ccm imehujumiwa
Mkuu pamoja na kuunganisha hizo point za huyo mdau lkn umeshindwa kutupatia maelezo sahihi...
Mf jamaa amesema bunge kutokuwa live... Nadhani tuanzie hapo
Mkuu Unataka kuniambia Hata hoja namba mbili kuzuia hoja za bunge zisionyeshwe mubashara ni nadharia tumemezeshwa na viongozi wetu?Mkuu ulichokiandika sioni ukweli wake zaidi ya nadharia ambazo mmejengewe na viongozi wenu
Umeotodhesha mambo Mengi yasiyo na chembe ya ukweli Kabisa
Mkuu Unataka kuniambia Hata hoja namba mbili kuzuia hoja za bunge zisionyeshwe mubashara ni nadharia tumemezeshwa na viongozi wetu?
NADILIKI KUJIBU kama mpinzani japo sina chama, ila mshabiki wa upinzani.Hizi hasira za upinzani za kuhisi wanaonewa ni hofu inayowaumiza kisaikolojia juu ya kupuuzwa na Watanzania
Kabla ya Rais Magufuli,Wanaccm walikuwa wanaona aibu kuvaa nguo za chama,na kuna Sehemu walikuwa wakitupiwa makopo wakikatiza mtaani
Wanaccm walificha sare zao ndani kutokana na masuala ya ufisadi kukithiri, kutokana na huduma za kijamii kudhorota
Lakini Upepo ulibadilika ghafla baada ya 2015
Mwenyekiti wa ccm akairudisha Ccm kwenye makali yak,Wananchi wakaanza kurudisha amani na CCM,wakaanza kuwapuuza wale wanaopinga serkali
Wananchi Wengi wamekimbia upinzani kimya kimya wamerudi CCM kutokana na kishindo cha awamu ya tano
Saaa nguo za chama zimetamalaki mtaani,kila mwananchi anajivunia kuwa CCM
Ukweli mchungu ni kwamba wapinzani wanaogopa sana CCM iliyotulia ,wanajua Ccm iliyotulia ni hawana chao
Ukiangalia hata wapinzani kushinda ubunge ilitokana na kukorogeka kwa ccm kulikopelekea kugawanya kura
Ccm iliyotulia,upinzani utaambulia viti vitatu tu vya Ubungo
Hata hii janja janja inayoendelea ya kususia Uchaguzi hisia zangu zinanituma tu hawa jamaa wamepima kina cha maji wakaona hapana hapa tutaaibika
Ndio mambo ya kubeba mpira kwapani yakaja
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais katika juhudi zake za kuleta Maendeleo
wewe umruhusiwa kufanya siasa kwa miaka yote minne lakini bado unasaidiwa na usalama na WEO kuharibu uchaguzi wa serikali za mitaa unachama wewe? ivi umeshawahi fanya research wewe? japo najua kama ulifanya uliandikiwa wewe ulitia saini tuMimi naona wapinzani wakubali tu uhalisia
Waache kupingana na ukweli
Wananchi wanajionea maendeleo kuna haja gani kuendelea kupinga?
kwa sababu ameshindwa kuwaendeleza watu na kuminya democrasia, Hili ndio kubwa kuliko yote. Na hii naiona kama Gadaffi routeHofu ya ccm na Rais Magufuli ni WANANCHI KUTOKUIPENDA CCM NA KUTOKUMPENDA Magufuli.
Huna hoja una virojaTusiwe wakali tunapozidiwa hoja
NADILIKI KUJIBU kama mpinzani japo sina chama, ila mshabiki wa upinzani.
(Rejea kwenye blue hapo juu) Una uhakiki kuwa wananchi wana imani na CCM? Angalia kama wataitikia wito wa kujitokeza kupiga kula hiyo Nov. 24
(Rejea kwenyenjano) Waliorudi ni kwa njaa zao baada ya kuongwa au kuhakikishiwa pesa kwa njia ya madaraka. Tuonyeshe wengine waliorudi kimya kimya, au Nov. 24 tutawaona wakiwapigia kura?
(Rejea kwenye italiki) Wanaovaa nguo za chama ni kukwepa ugaidi wenu na kupata maslahi flani toka vyombo vya usalama. Ukitaka pitisha figisu zako sasa vaa kijani, ndipo mlipotupeleka huko. Mmepiga na kuumiza watu waliovaa jezi zingine.
(Rejea nilipopigia msatari) Jitahidi kuweka hoja nzito sio utoto, kweli wapinzani wanaogopa CCM iliotulia? Hivi ccm unaiona imetulia ........... hivi wanavyolukaluka akina Jafo na Mwenzie Kangi kweli mmetulia nyie au kuna sehemu viti vinawasha apakaliki. Hapo mmewafunga wapinzani mdomo lakini hamjatulia! point yako haina mashiko.
(Rejea kwenye blue italiki hapo juu) Wapinzani kushinda uchaguzi ilitokea na kuaminiwa zaidi na wananchi. Kama mlikorogana ni kwa maovu yenu kutokana na historia ya mfumo wenu na ndivyo mnavyokorogan sasa, hakuna jipya.
Mwisho kaBISA HAKUNA CCM ILIOTULIA KUANZIA KIONGOZ WENU MKUU, kauli hazijatulia vipaumbele havieleweki SIJUI KESHO ATAAMKIA NINI, KUZINDUA KIWANDA ama.... mwenyewe alishukuru wapinzani kujitoa kwenye uchaguzi unafikiri kwa nini?
KATULIA kweli huyu...?
sasa Jafo Kageuza gia angani, Kangi nae nimesikia "Akibwatuka hakuna kuzima simu hiyo 31 Disemba" kwa wasiosajili line.
Yaani Matamko mapya kila siku, tena bila aibu anamsingizia RAIS katamka!! Mmetulia kweli nyie??!\
NCHI NDIO INAENDESHWA KWA MATAMKO HAYA?
Hakuna hata washauri wenye busara wakawaelimisha namna nchi inavyoendeshwa........ sio kwa matamko Mara hiv mara vile... Uchumi unazidi kuyumba Tulieni
Mwisho kabisa umesema "wapinzani wamepima kina cha maji wakaweka mpira kwapani" Hafadhali wao wameweka kwapani unaonekana, nyie mmeuficha kabisa kwa figisu zenu. Ni afadhali kuweka mpira kwapani kuliko kushindana mbio na NYATI asieelewa alama za nyakati, akijimwambafai kwa maguvu yake(ya dola).
CCM MNAJIALIBIA WENYEWE MSITAFUTE MCHAWI mana mchawi ni nyie wenyewe. Propaganda zenu humu mitandaoni ndio tunawachora vizuri, mnavyokengeuka. Kila anae wajibu CHADEMA, haya na mimi niiteni CHADEMA kwa kupangua hoja zako mfu.
Vitu Maalum vinamhusu, huyu dada anajua kujilengeshaHahahahaha upo vzur mkuu.....baba ake jesca lazima akufikirie hata ujumbe wa NEC.