Mkuu
mtoro son punguza munkari twende taratibu
Umejibu hoja kwa kupanik bila kuwa na uhalisia hiyo kisomi haitakiwi hata kidogo usije ukarudia tena
Umesma wanavaa nguo za chama ni maharamia wanaojificha kwenye chama! Hapa umeonyesha kwamba Wewe sio critical kabisa Mkuu
Kwahiyo hata Mzee mangula anavaa ili kujuficha? Ajifiche na nini? Nyie wapinzani mnakosea sana,mnakosea Kwasababu hamtaki kukubali ukweli, mnaishi kwenye koti la uwongo
Mnaishi kwenye fake zone, how long Will stay in darkness
Siku zote nimekuwa nikiwaambia toka 2015 kwamba Upinzani msipobadilisha siasa zenu mtakuwa mnapiga marktime kila mwaka
Kwasababu Hakuna malengo mnayojiwekea Zaidi ya kupinga kila kinachofanywa na Serkali
Angalia kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani Wapinzani walikuwa wanasema Nchi isiyomiliki usafiri wa anga ni sawa na Nchi iliyokufa kiuchumi leo wanasema Ndege za kazi Gani!
Unaweza kuona wapinzani wa Tanzania walivyo, hawana wanachosimamia wanasubiria Rais akosee neno moja wajazane Twitter kupeana ndoto fake
Hawa utawaita wapinzani au wachumia tumbo?
Think twice bro