Hofu ya Upinzani ni CCM kuwa imara tena chini ya Mzalendo Mwenyekiti Magufuli

Hofu ya Upinzani ni CCM kuwa imara tena chini ya Mzalendo Mwenyekiti Magufuli

Mkuu be honest siasa zina mipaka yake

Tunataka tufanye siasa 24/7 nyie wanasiasa mna mishahara sisi tunategemea shamba kutafuta riziki lini tutapata Maendeleo

Hebu fikiria Tanzania Kuna vyama vya siasa zaidi ya 10 hivyo vyote vikiamua kila siku kuwa jukwaani kupiga mdomo sisi Wananchi tutafanya saa ngapi Shughuli za maendeleo?

Kwanini tusmpe muda Rais tuliyemchagua atekeleze ilani yake ili Baada ya miaka mitano turudi tena kupiga kampeni?
wewe umruhusiwa kufanya siasa kwa miaka yote minne lakini bado unasaidiwa na usalama na WEO kuharibu uchaguzi wa serikali za mitaa unachama wewe? ivi umeshawahi fanya research wewe? japo najua kama ulifanya uliandikiwa wewe ulitia saini tu
 
CCM wameanza kwa kupitisha sheria katili ya kumpa kinga msimamizi wa uchaguzi kwa kutokushtakiwa kwa kosa lolote atakalolitenda wakati wa uchaguzi ndiyo maana watendaji wamefata maelekezo ya kuharibu form za wapinzani na kuwakimbia ofisini.

Hii ni ramani wameichora muda mrefu kupitia bad law iliyopitishwa na wabunge waliowengi bungeni ambao ni CCM chini ya magwiji kina palamagamba kabudi, mtemi chenge et al.

Hii inamaanisha uwepo wa wabunge wengi wa CCM bungeni ndiyo kichocheo kikubwa cha haya masarakasi ya Jafo na uchaguzi mdogo na chaguzi zote zitakazofuatia kama vyama vya upinzani vitakubali kushiriki uchaguzi chini ya sheria hiyo.
 
Mkuu mtoro son punguza munkari twende taratibu
Umejibu hoja kwa kupanik bila kuwa na uhalisia hiyo kisomi haitakiwi hata kidogo usije ukarudia tena

Umesma wanavaa nguo za chama ni maharamia wanaojificha kwenye chama! Hapa umeonyesha kwamba Wewe sio critical kabisa Mkuu
Kwahiyo hata Mzee mangula anavaa ili kujuficha? Ajifiche na nini? Nyie wapinzani mnakosea sana,mnakosea Kwasababu hamtaki kukubali ukweli, mnaishi kwenye koti la uwongo
Mnaishi kwenye fake zone, how long Will stay in darkness
Siku zote nimekuwa nikiwaambia toka 2015 kwamba Upinzani msipobadilisha siasa zenu mtakuwa mnapiga marktime kila mwaka
Kwasababu Hakuna malengo mnayojiwekea Zaidi ya kupinga kila kinachofanywa na Serkali

Angalia kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani Wapinzani walikuwa wanasema Nchi isiyomiliki usafiri wa anga ni sawa na Nchi iliyokufa kiuchumi leo wanasema Ndege za kazi Gani!

Unaweza kuona wapinzani wa Tanzania walivyo, hawana wanachosimamia wanasubiria Rais akosee neno moja wajazane Twitter kupeana ndoto fake

Hawa utawaita wapinzani au wachumia tumbo?
Think twice bro
Hata jina rangu tu umekosea, utumbo ulioandika ndani unakufunua zaidi jinsi ulivyo. Endelea kutetea ugali wako. Hakuna haja ya kubishana na wewe, sawa...? Tuchukulie CCM ipo makini, imetulia kiutendaji, Magufuri oyeeee
Serikali ikifanya wajibu wake ni sawa wala hakuna haja ya kusifiwa ni mpaka pare ifanye extra... YAANI ZAIDI YA MATARAJIO. KWA HILI BADO NAWAANGALIA.Magufuri na nchi yake oyeee.....
(Hapo vipi, umeridhika)
 
Mkuu DAUDI Mtambuzi Tuwe wakweli tu Upinzani unapwaya sana
Upinzani unaotegeshea Rais akosee kidogo ndio watu wapate sera za chama hiyo haikubaliki

Chama makini husoma falsafa za kiongozi aliyeko madarakani na kuamua kuja na kitu ambacho kita m pre empty standing President kwa sera nzuri

Sasa wapinzani wa Tanzania wanasubiria Rais akibadilisha waziri inakuwa ndio ajenda ya chama kulalamika ati Kwanini Rais amebadilisha Waziri

Wanasubiria Rais asipoenda kuhutubia U.N. inakuwa ndio ajenda yenu,acheni Hivyo Mkuu you have to wake up from darkness

Hii Nchi inahitaji viongozi kama Magufuli kwa miaka 30 mfululizo then ndio mind set za wabongo zitabadilika
CCM wameanza kwa kupitisha sheria katili ya kumpa kinga msimamizi wa uchaguzi kwa kutokushtakiwa kwa kosa lolote atakalolitenda wakati wa uchaguzi ndiyo maana watendaji wamefata maelekezo ya kuharibu form za wapinzani na kuwakimbia ofisini.

Hii ni ramani wameichora muda mrefu kupitia bad law iliyopitishwa na wabunge waliowengi bungeni ambao ni CCM chini ya magwiji kina palamagamba kabudi, mtemi chenge et al.

Hii inamaanisha uwepo wa wabunge wengi wa CCM bungeni ndiyo kichocheo kikubwa cha haya masarakasi ya Jafo na uchaguzi mdogo na chaguzi zote zitakazofuatia kama vyama vya upinzani vitakubali kushiriki uchaguzi chini ya sheria hiyo.
 
Hizo porojo zinaishia Twitter na Jamii forum
Tembea Tanzania uone Mzee anavyokubalika
Labda inawezekana kweli, ili kupata ukweli angeruhusu vyama vingine vifanye siasa ili tupime huu ukweli wako.
 
Hakuna ukweli zaidi ya ushabiki na uumini. Turn up wakati uchaguzi wa serikali za mitaa itaonyesha.
Kuna hofu sana ndo maana state power na figisu ni nyingi. Mfano watumishi kama walimu walilazimishwa kujiandikisha kwa maagizo.
Mkapa aionya kuwa ccm inatawala kana kwamba hakuna vyama vya upinzani na hii inatokana na ubabe
 
Mkuu ulichokiandika sioni ukweli wake zaidi ya nadharia ambazo mmejengewe na viongozi wenu

Umeotodhesha mambo Mengi yasiyo na chembe ya ukweli Kabisa
Sasa utaonaje ukweli ikiwa kipande cha kaniki kimekufunika macho?.
IMG_20191027_080541.jpeg
 
awamu ipi ccm iliwahi kuimarika?
tangu vyama vingi vianze?

2015 kuna masanduku ya kura yalikamatwa yakiwa na alama ya tiki kwa magufuli.
Lini ccm ilikuwa imara?
Nimesema Wapinzani wanahofu kurudi kwa Ccm iliyoimarika kwani itapelekea Upinzani kukosa mashiko
 
Unaushahidi huo? Unatoa takwimu za uwongo
Nyie Ndio mnamtia kijana wa watu melo matatizoni kuwatetea watu km nyie mnaoropoka



awamu ipi ccm iliwahi kuimarika?
tangu vyama vingi vianze?

2015 kuna masanduku ya kura yalikamatwa yakiwa na alama ya tiki kwa magufuli.
Lini ccm ilikuwa imara?
 
Mkuu Unachokiongea una uhakika au mihemuko tu ya kisiasa
Hakuna ukweli zaidi ya ushabiki na uumini. Turn up wakati uchaguzi wa serikali za mitaa itaonyesha.
Kuna hofu sana ndo maana state power na figisu ni nyingi. Mfano watumishi kama walimu walilazimishwa kujiandikisha kwa maagizo.
Mkapa aionya kuwa ccm inatawala kana kwamba hakuna vyama vya upinzani na hii inatokana na ubabe
 
Mkuu be honest siasa zina mipaka yake

Tunataka tufanye siasa 24/7 nyie wanasiasa mna mishahara sisi tunategemea shamba kutafuta riziki lini tutapata Maendeleo

Hebu fikiria Tanzania Kuna vyama vya siasa zaidi ya 10 hivyo vyote vikiamua kila siku kuwa jukwaani kupiga mdomo sisi Wananchi tutafanya saa ngapi Shughuli za maendeleo?

Kwanini tusmpe muda Rais tuliyemchagua atekeleze ilani yake ili Baada ya miaka mitano turudi tena kupiga kampeni?
katiba ilipotungwa tulijua kuna wakulima japo wewe sio mmojawapo katiba iliwapa watu uhuru wa kutoa maoni
sheria ya vyama vya siasa ilipotungwa ilivipa haki ya vyama vyote kushiriki bila hoja wala viroja kwenye siasa za wazi . wakulima walikuwepo na bado wapo .
mkutano mmoja wa LIVE wa MAGUFULI unachukua masaa 3-4 wATU HADI WANATANGAZIWA kuangalia bila kukosa... wajinga kama wewe mlibinua makalio mkitwaminisha kwamba inatufanya tusifanye kazi.
Pamoja na kujidanganya kwamba kuna maendeleo mpaka leo kuna upungufu mkubwa wa MATUNDU YA VYOO sm tanzania, hakuna ajira, unga wa mahindi umepanda bei, wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu wanapungua kila uchao na wagonjwa wanalala chini
 
Polisi wanapata faida gani kukisaidia chama kushinda chaguzi huku polisi hao hao wakivihujumu vyama vya upinzani?
Mfumo wa mashariki Wa kijamaa tuliorithi kazi ya polisi ni kulinda chama.Ndo maana ya neno chamadola.Mfumo wa siasa za magharibi kazi ya polisi ni kulinda maslai ya nchi na haijishughulishi na siasa ya chama chochote.Mfumo wa polisi bado ni wa chama kimoja kwenye zama hizi za vyama vingi,mwasisi ni mwalimu.
 
Hizi hasira za upinzani za kuhisi wanaonewa ni hofu inayowaumiza kisaikolojia juu ya kupuuzwa na Watanzania

Kabla ya Rais Magufuli,Wanaccm walikuwa wanaona aibu kuvaa nguo za chama,na kuna Sehemu walikuwa wakitupiwa makopo wakikatiza mtaani

Wanaccm walificha sare zao ndani kutokana na masuala ya ufisadi kukithiri, kutokana na huduma za kijamii kudhorota

Lakini Upepo ulibadilika ghafla baada ya 2015
Mwenyekiti wa ccm akairudisha Ccm kwenye makali yak,Wananchi wakaanza kurudisha amani na CCM,wakaanza kuwapuuza wale wanaopinga serkali

Wananchi Wengi wamekimbia upinzani kimya kimya wamerudi CCM kutokana na kishindo cha awamu ya tano

Saaa nguo za chama zimetamalaki mtaani,kila mwananchi anajivunia kuwa CCM

Ukweli mchungu ni kwamba wapinzani wanaogopa sana CCM iliyotulia ,wanajua Ccm iliyotulia ni hawana chao

Ukiangalia hata wapinzani kushinda ubunge ilitokana na kukorogeka kwa ccm kulikopelekea kugawanya kura

Ccm iliyotulia,upinzani utaambulia viti vitatu tu vya Ubungo

Hata hii janja janja inayoendelea ya kususia Uchaguzi hisia zangu zinanituma tu hawa jamaa wamepima kina cha maji wakaona hapana hapa tutaaibika
Ndio mambo ya kubeba mpira kwapani yakaja



Tuendelee kumuunga mkono mh Rais katika juhudi zake za kuleta Maendeleo
Kama Una muamini Mungu basi amini na hili ...HAKUNA CCM DHAIFU KAMA HII .....
 
Ilikuwa 24/10/2015.

Labda kama ulikuwa bado haujazaliwa.ilikuwa njombe iringa
Unaushahidi huo? Unatoa takwimu za uwongo
Nyie Ndio mnamtia kijana wa watu melo matatizoni kuwatetea watu km nyie mnaoropoka
 
Back
Top Bottom