Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,502
- 3,525
Unakumbuka kilichotokea katika uandikishaji juzi? Na tarehe zikaongezwa? Naomba nirudie kusema hili.... ITAFIKA WAKATI UKIMYA ULIOPO MIOYONI MWA WATU UTABAINIKA HADHARANI SIKU NA SAA ISIYOJULIKANA.....Mkuu DAUDI Mtambuzi Tuwe wakweli tu Upinzani unapwaya sana
Upinzani unaotegeshea Rais akosee kidogo ndio watu wapate sera za chama hiyo haikubaliki
Chama makini husoma falsafa za kiongozi aliyeko madarakani na kuamua kuja na kitu ambacho kita m pre empty standing President kwa sera nzuri
Sasa wapinzani wa Tanzania wanasubiria Rais akibadilisha waziri inakuwa ndio ajenda ya chama kulalamika ati Kwanini Rais amebadilisha Waziri
Wanasubiria Rais asipoenda kuhutubia U.N. inakuwa ndio ajenda yenu,acheni Hivyo Mkuu you have to wake up from darkness
Hii Nchi inahitaji viongozi kama Magufuli kwa miaka 30 mfululizo then ndio mind set za wabongo zitabadilika
Hhaaaah!
Kumbe awali haikiwa imara,
Mbona mlikiwa hadi mnatunga taarabu na kwaya kujinadi kuwa mpo imara,au tafsiri ya neno imara la zamani ni tofauti na neno imara la sasa
Unakumbuka kilichotokea katika uandikishaji juzi? Na tarehe zikaongezwa? Naomba nirudie kusema hili.... ITAFIKA WAKATI UKIMYA ULIOPO MIOYONI MWA WATU UTABAINIKA HADHARANI SIKU NA SAA ISIYOJULIKANA.....
Ilikuwa 24/10/2015.
Labda kama ulikuwa bado haujazaliwa.ilikuwa njombe iringa
Hizi hasira za upinzani za kuhisi wanaonewa ni hofu inayowaumiza kisaikolojia juu ya kupuuzwa na Watanzania
Kabla ya Rais Magufuli,Wanaccm walikuwa wanaona aibu kuvaa nguo za chama,na kuna Sehemu walikuwa wakitupiwa makopo wakikatiza mtaani
Wanaccm walificha sare zao ndani kutokana na masuala ya ufisadi kukithiri, kutokana na huduma za kijamii kudhorota
Lakini Upepo ulibadilika ghafla baada ya 2015
Mwenyekiti wa ccm akairudisha Ccm kwenye makali yak,Wananchi wakaanza kurudisha amani na CCM,wakaanza kuwapuuza wale wanaopinga serkali
Wananchi Wengi wamekimbia upinzani kimya kimya wamerudi CCM kutokana na kishindo cha awamu ya tano
Saaa nguo za chama zimetamalaki mtaani,kila mwananchi anajivunia kuwa CCM
Ukweli mchungu ni kwamba wapinzani wanaogopa sana CCM iliyotulia ,wanajua Ccm iliyotulia ni hawana chao
Ukiangalia hata wapinzani kushinda ubunge ilitokana na kukorogeka kwa ccm kulikopelekea kugawanya kura
Ccm iliyotulia,upinzani utaambulia viti vitatu tu vya Ubungo
Hata hii janja janja inayoendelea ya kususia Uchaguzi hisia zangu zinanituma tu hawa jamaa wamepima kina cha maji wakaona hapana hapa tutaaibika
Ndio mambo ya kubeba mpira kwapani yakaja
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais katika juhudi zake za kuleta Maendeleo
MkuuHoja gani zilizuiwa kuonyeshwa live?
Mbona asubuhi tunaangalia Bunge mubashara?
Mlichukua hatua gani huko nyie wahehe?
Tulikunywa supu na chapati
Ulitaka kuongea nini?!! hauelewekiMkuu mtoro son punguza munkari twende taratibu
Umejibu hoja kwa kupanik bila kuwa na uhalisia hiyo kisomi haitakiwi hata kidogo usije ukarudia tena
Umesma wanavaa nguo za chama ni maharamia wanaojificha kwenye chama! Hapa umeonyesha kwamba Wewe sio critical kabisa Mkuu
Kwahiyo hata Mzee mangula anavaa ili kujuficha? Ajifiche na nini? Nyie wapinzani mnakosea sana,mnakosea Kwasababu hamtaki kukubali ukweli, mnaishi kwenye koti la uwongo
Mnaishi kwenye fake zone, how long Will stay in darkness
Siku zote nimekuwa nikiwaambia toka 2015 kwamba Upinzani msipobadilisha siasa zenu mtakuwa mnapiga marktime kila mwaka
Kwasababu Hakuna malengo mnayojiwekea Zaidi ya kupinga kila kinachofanywa na Serkali
Angalia kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani Wapinzani walikuwa wanasema Nchi isiyomiliki usafiri wa anga ni sawa na Nchi iliyokufa kiuchumi leo wanasema Ndege za kazi Gani!
Unaweza kuona wapinzani wa Tanzania walivyo, hawana wanachosimamia wanasubiria Rais akosee neno moja wajazane Twitter kupeana ndoto fake
Hawa utawaita wapinzani au wachumia tumbo?
Think twice bro
Kwani maspika yanazuia nvua au kuleta ukame? wakienda kwenye mikutano weww kalime mazao yako hakuna aliyekuzuia kulima.Mkuu be honest siasa zina mipaka yake
Tunataka tufanye siasa 24/7 nyie wanasiasa mna mishahara sisi tunategemea shamba kutafuta riziki lini tutapata Maendeleo
Hebu fikiria Tanzania Kuna vyama vya siasa zaidi ya 10 hivyo vyote vikiamua kila siku kuwa jukwaani kupiga mdomo sisi Wananchi tutafanya saa ngapi Shughuli za maendeleo?
Kwanini tusmpe muda Rais tuliyemchagua atekeleze ilani yake ili Baada ya miaka mitano turudi tena kupiga kampeni?
Nyie watoto mnamdanganya huyo mwenyekiti wenu, wananchi watamfurusha 2020 pamoja na hayo madege yake,Hizi hasira za upinzani za kuhisi wanaonewa ni hofu inayowaumiza kisaikolojia juu ya kupuuzwa na Watanzania
Kabla ya Rais Magufuli,Wanaccm walikuwa wanaona aibu kuvaa nguo za chama,na kuna Sehemu walikuwa wakitupiwa makopo wakikatiza mtaani
Wanaccm walificha sare zao ndani kutokana na masuala ya ufisadi kukithiri, kutokana na huduma za kijamii kudhorota
Lakini Upepo ulibadilika ghafla baada ya 2015
Mwenyekiti wa ccm akairudisha Ccm kwenye makali yak,Wananchi wakaanza kurudisha amani na CCM,wakaanza kuwapuuza wale wanaopinga serkali
Wananchi Wengi wamekimbia upinzani kimya kimya wamerudi CCM kutokana na kishindo cha awamu ya tano
Saaa nguo za chama zimetamalaki mtaani,kila mwananchi anajivunia kuwa CCM
Ukweli mchungu ni kwamba wapinzani wanaogopa sana CCM iliyotulia ,wanajua Ccm iliyotulia ni hawana chao
Ukiangalia hata wapinzani kushinda ubunge ilitokana na kukorogeka kwa ccm kulikopelekea kugawanya kura
Ccm iliyotulia,upinzani utaambulia viti vitatu tu vya Ubungo
Hata hii janja janja inayoendelea ya kususia Uchaguzi hisia zangu zinanituma tu hawa jamaa wamepima kina cha maji wakaona hapana hapa tutaaibika
Ndio mambo ya kubeba mpira kwapani yakaja
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais katika juhudi zake za kuleta Maendeleo
Mhhhh jamaa,hata kama ni njaa,nenda taratibu,Hizi hasira za upinzani za kuhisi wanaonewa ni hofu inayowaumiza kisaikolojia juu ya kupuuzwa na Watanzania
Kabla ya Rais Magufuli,Wanaccm walikuwa wanaona aibu kuvaa nguo za chama,na kuna Sehemu walikuwa wakitupiwa makopo wakikatiza mtaani
Wanaccm walificha sare zao ndani kutokana na masuala ya ufisadi kukithiri, kutokana na huduma za kijamii kudhorota
Lakini Upepo ulibadilika ghafla baada ya 2015
Mwenyekiti wa ccm akairudisha Ccm kwenye makali yak,Wananchi wakaanza kurudisha amani na CCM,wakaanza kuwapuuza wale wanaopinga serkali
Wananchi Wengi wamekimbia upinzani kimya kimya wamerudi CCM kutokana na kishindo cha awamu ya tano
Saaa nguo za chama zimetamalaki mtaani,kila mwananchi anajivunia kuwa CCM
Ukweli mchungu ni kwamba wapinzani wanaogopa sana CCM iliyotulia ,wanajua Ccm iliyotulia ni hawana chao
Ukiangalia hata wapinzani kushinda ubunge ilitokana na kukorogeka kwa ccm kulikopelekea kugawanya kura
Ccm iliyotulia,upinzani utaambulia viti vitatu tu vya Ubungo
Hata hii janja janja inayoendelea ya kususia Uchaguzi hisia zangu zinanituma tu hawa jamaa wamepima kina cha maji wakaona hapana hapa tutaaibika
Ndio mambo ya kubeba mpira kwapani yakaja
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais katika juhudi zake za kuleta Maendeleo
Mkuu be honest siasa zina mipaka yake