Is he a pusher??Kwani wamejaribu kupitapita hadi kwenye vijiwe vyote vya mapusha napo hayupo?
ACT yuko na afande selle,20%,...Ni mshabiki wa cdm?
ACT yuko na afande selle,20%,...
Stimu za ngada kacz sehem,itaibuka tenaBas hatakua kapotea kisiasa
Hapana zubery ni Anko yakeHuyu ni mtoto wa kocha (Zubeir Katwila) wa Mtibwa, (mtanirekebisha)! hapo tu miguu miwili upo Morogoro, Turiani, Inakuwa je asitafutwe na babake?
Waliomtekawakina nani hao?