Hofu yatanda: Msanii Q-Chillah hajulikani alipo siku ya tatu sasa

Ameacha wizi wa vifaa vya magari pale mlimani city?Asije kua amewaibia watu wasiojulikana wakaamua kumpeleka kusikojulikana.
 

Nashukuru kwa kunielewa Mkuu.
 
miaka ilee huyu jamaa alikuwa ustaz pale magomeni kabla ya ngoma yake ya NAMTAFUTA....Sasa leo anatafutwa yeye
 
Wasiojulikana.....wamempeleka kusikojulikana

Wasiojulikana ni kundi la watu(mafia) waliozuka /wanazuka Tanzania baada ya kukosa marupurupu, mali za magendo, walikuwa wamezoea kula bila kinawa mikono( kama waligawa Airtel, Mlimani City) na kujitajirisha na sasa wamekosa nafasi kama hizo, wanafanya maasi ili raia wa kawaida na waliowaadilifu wachukie serikali ya Dr Rais Magufuli lakini yote haya yatafichuka tu.
 
Kajiteka labda ili atafute kik ....nitoke vp

Ova
 
Acha kuropoka,hivi hata mkitekana kuhusiana na unga walaumiwe polisi?
 
Msiniambie na yeye katekwa Kama Roma
Maana hana historian ya kuikosoa serikali,
Bila shaka atakuwa yuko zake kafungiwa na jimama
Unachekesha sana.
Roma yupo hai,ni lini alisema alitekwa na serikali?
 
Acha kuropoka,hivi hata mkitekana kuhusiana na unga walaumiwe polisi?

Mbona unaongea kama Pimbi. Kuuza unga inaruhusiwa? Ina maana hata wewe ni mmojawapo ndio maana hata unajua waliomteka.
Ama unafahamu alipo maana kama ni genge la madawa limemteka wewe unafahamu.


Kwanini usitoe taarifa rasmi kwa mamlaka au kwa ndugu zake.
 
Huyu atakua amekula vitu vyake kasizi tu mahali hadi vitapopungua kichwan atarud tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…