Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Moja kabisa ni utata juu ya kifo cha Shujaa Magufuli na wasaidizi wake wa karibu. Hii itakuwa mjadala mkubwa kipindi cha uchaguzi.
Ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sasa hivi pesa za umma zinatafunwa kama njugu sio kama kipindi hayati JPM shujaa wa Afrika yupo.
Utekaji ubambikiaji kesi. Hii inakwenda kuwa mjadala mkubwa maana raia wengi wanaumia mioyoni mwao.
Wizi wa kura unaofanywa na CCM kama alithibitisha Nape Nnauye na Yule kada wa CCM aliyekuwa Ngorongoro
Japokuwa CHADEMA hawatashiriki uchaguzi wananchi wazalendo watahoji.